DOKEZO Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wengi walidhani Dodoma ni jiji la biashara kumbe sio Magufuli aliwadanganya lakini fulemu nyingi za watumishi wa umma hata wakazifunga sawa tu hawanaga hasala hao pesa kwao ya kuchota
 
Unaongelea mawaziri sio au na watu wakawaida?
 
Laki saba kwa mzungo gani wa biashara ,
700000/30= 23,333.33
Kwa siku lazima aweke 23,334 kwa ajili ya Kodi.
Alipe Kodi TRA
Alipe umeme
Alipe ushuru
Alipe usafiri per day
Ili biashara iwe vizuri lazima uwe na uwezo wa kupata faida laki moja na nusu kwa siku hafu ukitoa gharama zote hapo ubaki na hata 50000 kama net profit per day. Hapo biashara itasonga .
 
Npo Dodoma aseeh maisha mji huu yapo juu na pesa kuipata ni hadi kuhenya sanaa
 
Ni kweli Tena iwe faida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…