Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wengi walilazimishwa na Jiwe na wengine walifuata Mkumbo , na hasa watumishi wa UmmaMpaka siku tutakapoelewa kwamba jambo lolote linaloanzishwa kwa motives za kisiasa ni bomu la muda. Watu walienda Chato kununua viwanja😅 sijui kama wana hamu ya kuishi huko tena
Hangaya anajua ila amefumba machoBongo yote biashara ni ngumu kwa sasa ,mzunguko wa pesa upo chini vibaya mno
Na poor purchasing power ya mbongo ,ni hatari na nusu .
Dodoma haina tofauti na mji wa Mwanza , pesa h
adimu haswa
FulemuWengi walidhani Dodoma ni jiji la biashara kumbe sio Magufuli aliwadanganya lakini fulemu nyingi za watumishi wa umma hata wakazifunga sawa tu hawanaga hasala hao pesa kwao ya kuchota
Sawa ngoja niondoke niache uendelee kuwatetea wabarikiwaji wenzio 😀Dogo hatukutaki huku baki huko huko international forum uwatetetee mabwana zako miarabu, miajemi na mirusi.
Hao jamaa wanahisi wote ni mafisadi wa CCM kwaiyo mnajichotea tuKuna sehemu niliulizia mkanda wa kuvalia suruali nikaambuwa 150k na 200k
shida sio kukimbilia dodoma shida mazingira yaliyowekwa na serikali kisa wanaona wamepeleka viongoz kuleWalikimbiloa Dodoma kisiasa, acha wazifunge tu
Mwanza usiilinganishe na Dodoma acha uongo! Nchi nzima biashara ni ngumu ila zinazidiana!Bongo yote biashara ni ngumu kwa sasa ,mzunguko wa pesa upo chini vibaya mno
Na poor purchasing power ya mbongo ,ni hatari na nusu .
Dodoma haina tofauti na mji wa Mwanza , pesa ni
adimu haswa
Hahaha nyie watu hamuishiwi vituko. Nimebaki kucheka tu kwa sauti.Sawa ngoja niondoke niache uendelee kuwatetea wabarikiwaji wenzio 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mji wenyewe hauna uzalishaji Hakuna shughuli yeyote ya maana hata maji ni shida ....Hapo panafaa kuishi mijusi na kenge.
Bei za fremu nizakipumbavu mno, wana wa charge kama kariakoo wakati dodoma mzunguko wa biashara ni mdogo mno.Nipo dodoma kikazi ila ninachojionea ni balaa ,
Fremu nyingi zinafungwa na watu wameshindwa biashara,
Najiuliza tatizo ni nini , Nilijaribu kuuliza baadhi ya wadau , wengi wameniambia Cha kwanza bei za fremu ,
Utakuta fremu dodoma Hadi laki 7 ukija hizo Kodi za kufanya biashara mji huu ni utitiri wa Kodi , ambazo hazina kichwa wala miguu
Naomba viongozi wa Jiji la dodoma fatilieni hili swala , Pana haha Gani mtu alipe TBS ,tra, mzani , bibi afya, usafi , mzani ,mlinzi,fire,
Jamani uongozi wa Jiji la DODOMA mnaumiza wafanyabiashara ,
Naomba wenye mamlaka ingilieni kati,
Hii inafanya bidhaa dodoma kuwa kubwaa mno , inafanya watu kuishi dodoma ni changamoto
Naam, na wengi wanauza majengo waliyojenga wakitarajia wangepangisha.Walikimbiloa Dodoma kisiasa, acha wazifunge tu
Hakika!Naam, na wengi wanauza majengo waliyojenga wakitarajia wangepangisha.
Uchumi wa Dodoma ni wa kisiasa, hauna mizizi kwenye jamii, watu hawana hela. Halafu hata bei ya vitu vingi ni inflated.
Siku ujenzi wa majengo ya serikali ukifikia mwisho, wale wafanyakazi wakaondoka, Dodoma ijiandae kwa pigo jingine.
Serikali iangalie namna ya kuibalansi Dodoma kiuchumi, coz hata wakazi wa asili wa Dodoma ni kama wamekumbwa tu na tukio, hawakujipanga
Customer care ni zero kabisa, napataga shida sana kuwa dodoma.Bei kubwa alafu wana kauli chafuu
Serikali imemua kujenga kwa.sura zote 2wamiliki wa frem wajue Dodoma ni mji wa kiserikali sio mji wa biashara wasitoze kodi kubwa.
miji ya biashara kama Dar,Mwanza,Arusha watu wanalipa fren mpaka milioni 20 kwa mwaka na anafanya kazi vizuri.
Bongo yote biashara ni ngumu kwa sasa ,mzunguko wa pesa upo chini vibaya mno
Na poor purchasing power ya mbongo ,ni hatari na nusu .
Dodoma haina tofauti na mji wa Mwanza , pesa ni
adimu haswa
Ukisema mzunguko wa pesa ni mdogo unakuwa hujui unachoongea.Moja ya kiashiria Cha mzunguko.mkubwa wa pesa ni kuongezeka Kwa gharama za maisha hasa kwenye miji lakini mda huo huo Kasi ya ujenzi inazidi kuwepo.Hangaya anajua ila amefumba macho
Na operate law firm nilikodi ofc space mjini kwa 400k per month and still ninalipa makazi 350k kwa mwezi at Kisasa. Nikaona upuuzi, nikarudisha ofc space na kuhamishia ofc nyumbani kwa kugeuza sebule kuwa ofc....the good thing is kuna siku naingia ofcn nikiwa nimevaa boxer [emoji1]Customer care ni zero kabisa, napataga shida sana kuwa dodoma.
kiserikali mafanikio yapo ila kibiashara bado mji unachechemea.Serikali imemua kujenga kwa.sura zote 2
Kodi laki 7 kwa mwaka?Kw Dodoma naona Bado sn Kodi laki 7
Mmmh
Nimekwambia Serikali inajenga Dodoma Kwa sura zote 2 yaani kuwa Mji wa kiserikali na Mji wa biashara.kiserikali mafanikio yapo ila kibiashara bado mji unachechemea.