DOKEZO Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mji wenyewe umekaa kiboya afu wanajikuta

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama hizo ndio bei zipo ujue kwamba soko lipo na kama halipo bei zingeshuka zenyewe 🤪🤪 Kwa sababu soko ndio huamua
 
Kinachoitwa uchumi wa kisiasa sijui hauna mizizi labda mtueleze ndio uchumi gani huo.

Kama ulizoea mzunguko wa Dar kwenye watu mil.4 ndio uje ulete Dom yenye watu 800k utakuwa huna akili.

Mwisho unachokiona Sasa Dom kuanzia kule Mji wa Serikali nk ndio kwanza hata nusu ya majengo ya taasisi Bado.

Mfano Yale majengo ya Wizara ni awamu ya kwanza,Kila Wizara Bado majengo 2 zaidi maana plan nimekuwa na majengo 3 Kwa Kila Wizara so Dom haipoi Leo Wala kesho.

Mji utazidi kukua huo,hapo ni 40% tuu ya mhitaji ya kiserikali yamekamilishwa maana hata basic miundombinu Bado ikiwemo airports,masoko na stendi za daladala.
 
Tanzania huwezi kufanya biashara kwa kufuwata sheria halafu hiyo biashara ikaja ikakuwa. Ili biashara yoyote Tanzania ikuwe lazima kwanza ujuwe kukwepa kodi au uwe karibu na serikali ya ccm ili msaidiane kuibia watu.
 
Haijawahi kutokea na haitokaa itokee Dodoma ikusanye pesa kuliko Dar. Dom kama mkoa inazidiwa na wilaya za Ilala na kinondoni kila moja ikisimama kivyake. Huo mwaka walilinganisha asilimia siyo kiasi.
 
Safi sna hi Ni hoja Kali San

Mm pia Niko ddm jiji juzi kati nilikwenda kutembelea fremu fln HV maeneo ya nzuguni Kisha nikatembee mbele kidg kucheki zingjne ambazo niliwahi kuomba kupanga tokea mwezi wa Feb 2023 ila mpka leo hazijapata mpangaji Hadi Leo

Na moja nilikuwa namuona mtu anauza samaki na kuku hapo Happ nzuguni boda nae kafunga

Sass ajabu nikauliza Bei za fremu hzo nikaambiwa Ni laki nne [emoji23] na Kuna mtu kalipia kafungu duka la nyumbani na kuweka vikorokor vidogo Sana yenye thamani ya milion moja inafikirisha sna najiuliza anawezaje kulipa Kodi ikiqa hata mtaji wake tu Ni pungufu


Hzi Ni fremu zilizoko nzuguni boda Bei zake Ni laki 400k kwa mwezi View attachment 2895341
 
mji mkuu kwa sasa ni DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…