Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?

SIERRA LEONE , LIBERIA NAMIBIA NA NIGERIA ni ENGLISH speaking na waliwahi kuwa na vita , Ila tukichukulia idadi ya kiujumla nchi zinazozungumza kifaransa ni nyingi zenye mashaka ya vita....

Namibia imetulia sana almost same na Tanzania kabisa
 
Hivi vita zote zinasababishwa na Ufaransa kuingilia mambo ya ndani ya hizi nchi,wakiona Raisi aliyepo Madarakani anataka kuzuia wasiibe,wanamuundia zengwe apinduliwe.
Hata huyu Conde wa Guinea aliyepinduliwa,aliingia Madarakani kama mpinzani akimtoa mtangulizi wake ambaye alikuwa MLA Rushwa,na yeye alipoingia akanogewa akabsdirisha Katiba atawale Awamu ya tatu,akaongeza bajeti ya bunge,na ofisi ya Raisi,akapunguza mishahara ya watumishi wa umma,
Jeshi likaona limtoe tu,
Rushwa,Ukabila,na beberu Ufaransa ndio sababu zinazo zivuruga hizi nchi.
Mali,Guinea,na pale Ivory coast Kuna mwamba amebadirisha Katiba karudi Madarakani kwa Awamu ya tatu,nafikiri sasa hv,akisikia kinachoendelea kwa jirani yake,mavi yanagonga chupi
 
Baada ya Ufaransa kuipa Sudan Trillion 13 (dollar billion 5) kupitia msamaha wa madeni, mwezi may mwaka huu, leo hii mapinduzi ya kijeshi yanatokea Sudan.

Sisi wenyewe tulikuwa na vita ya uchumi, tena tuliambiwa ni vita mbaya zaidi🏃🏃🏃

Sudan sio francophone country na huo msaada sio chanzo cha mapinduzi yaliyotokea.

Ugomvi wao ni muendelezo wa harakati za wananchi kutaka kuleta utawala wa kidemokrasia nchini. Yaelekea jeshi halitaki kuachia madaraka kwa utawala wa kiraia.
 
Wapi nimesema Sudan ni Francophone? Wapi nimesema huo mkopo ndio chanzo cha mapinduzi?
 
Is
Islam hata wakiwa 10% Tu Ni Shida...kama ufaransa wako chini ya 1% lakini kasheshe wanayowaletea sio ya kitoto
 
SIERRA LEONE , LIBERIA NAMIBIA NA NIGERIA ni ENGLISH speaking na waliwahi kuwa na vita , Ila tukichukulia idadi ya kiujumla nchi zinazozungumza kifaransa ni nyingi zenye mashaka ya vita....
Amemaanisha vita vya wenyewe kwa wenyewe, siyo vita vya kupigania uhuru.
 
Na kisiwa cha Re Union wanajiona ni full wafaransa![emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…