Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kwa hiyo mie ndiyo nitafute Hela ya kuwanufaisha wao pekee?, huwezi elewa kama mumeo ndiyo anakutafutia Kila kitu.Huna hela Tu, unatuambia gharama Sana lakini hausemi hizo gharama kwa figure, Yaani unaongea bila takwimu maana yake kama unapiga umbeya Tu.
Mkuu hata kama unamtumia mtu Elfu kumi kutoka benki ya NMB gharama zake zinafika mpaka shilingi Elfu 2700 wewe unaona hiyo ni sawa?Tumia ATM au wakala,,,,ungetueleza hiyo gharama kwa kutumia mifano ingekua bora zaidi.
Ungekuja na takwimu, ukaonesha NMB makato Yao yako vipi, Kisha ukaonesha na uko unapofikiri kupo sahihi makato Yao yako vipi.Kwa hiyo mie ndiyo nitafute Hela ya kuwanufaisha wao pekee?, huwezi elewa kama mumeo ndiyo anakutafutia Kila kitu.
Kwahio mkuu wewe ni mwendo wa tawini na ATM tu? Kuna bank lutoa tawini wanachaji hela hata 5,000 na ATM bank tofauti pia wanachaji hadi 5,000. Kutafuta ATM ya bank yako sometimes pia shida. Na gharama za usafiri nazo kwenda tawini na muda utakaopoteza. Yaani unaona gharama kubwa ila utafanyaje wamebana kila angle.Huduma nilizoacha kutumia
1. Kutoa fedha zilizoko kwenye account ya bank kwa wakala
2. Kutumia apps mbali mbali za fedha kwenye simu
3. Kutuma ama kutoa fedha kwenye account ya bank kwa njia ya simu
Waweza ona imerahisha huduma bali ni garama sanaa
umeambiwa weka gharama hapa tuone ukweli, unaanza kutoa kashfa.Kwa hiyo mie ndiyo nitafute Hela ya kuwanufaisha wao pekee?, huwezi elewa kama mumeo ndiyo anakutafutia Kila kitu.
unahisi mie mjinga kusema haya?umeambiwa weka gharama hapa tuone ukweli, unaanza kutoa kashfa.
Takwimu Gani unataka? Kwa hiyo huamini ama haya mambo ya Kila kitu takwimu wakati hata haya maelezo niliyotoa ni takwimu tosha au mpaka ungeona manamba ndipo ungesadiki?Ungekuja na takwimu, ukaonesha NMB makato Yao yako vipi, Kisha ukaonesha na uko unapofikiri kupo sahihi makato Yao yako vipi.
Ungeiacha tu ili uifanye kama app ya kucheck salio na makato madogo madogo. Jenga utaratibu wa kuchungulia chungulia salio kwa app hata kila baada ya siku tatu, faida ya kwanza ni haina makato, lkn pia itakupa urahisi wa kugundua makato madogo madogo unayokatwa na sababu zake.Nilishauninstall simbanking app.