Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Hakika tumetengwa sana.. na naweza kuamini hawa mitume na manabii waliojaa AFRICA ni malipizi na sisi WAAFRICA tujidai na kujipambanua sema tatizo manabii na mitume yetu inazingua sana au kwa vile wamekuja zama moja kwa mpigo kwa wingi sana
Hivi hawa mitume na manabii "wajasiria dini" aina ya gwajiboy, unawaweka kundi la mitume wa kwenye vitabu vitakatifu?

Mbona unaleta mkanganyiko usio wa lazima kwenye mada?
 
Hakuna dini inayofuatwa iliyoanzishwa na mtu mweusi
Hakuna dhehebu la kiafrika
Yesu hakuwa mtu mweusi
Mtume hakuwa mtu mweusi
Hela zinazoendesha dunia au kujulikana siyo za mtu mweusi
Binadamu anayeendesha dunia ni mtu mweupe mwanaume
 
Kama kuna anayejua.. atuelezee.. wale wanafunzi wa YESU 12-mitume yesu aliwaagiza watawanyike kwenda kufundisha/kulitangaza NENO ..JE? Kuna aliyefika AFRICA na kama walifika AFRICA walifikia mji gani? na atupe mchanganuo mzuri please [emoji1431]
 
Leo hii tuna mitume na manabii kibao ambao ni weusi lakini bado tunawakataa na kuwapinga, sasa enzi hizo hata wangekuwepo (na huenda walikuwepo) nani angewakubali?

Hawa wana kosa kwanza kujiita mitume na manabii.. wangetafuta wadhifa mwingine tu hata (USPIKA)
 

Hoja ya nyani [emoji1431]
 

Hapa naona sisi WAAFRICA tuna tamaduni zetu ambazo zilizofanywa na mababu zetu ambazo sasa tumezibadili jina tunaziita USHIRIKINA.. ukiendelea kidogo tu kuelezea ntakuelewa uzuri MKUU.. Asante
 
Hivi hawa mitume na manabii "wajasiria dini" aina ya gwajiboy, unawaweka kundi la mitume wa kwenye vitabu vitakatifu?

Mbona unaleta mkanganyiko usio wa lazima kwenye mada?

Mkuu .. wao si ndio wanajipa wadhifa huo.. tunajaribu kuwatoa huko .. mtoto akizaliwa leo baada ya miaka 15 asipopata elimu nzuri anaweza akajua huu ndio uzao wa YESU..
 
Hakuna dini inayofuatwa iliyoanzishwa na mtu mweusi
Hakuna dhehebu la kiafrika
Yesu hakuwa mtu mweusi
Mtume hakuwa mtu mweusi
Hela zinazoendesha dunia au kujulikana siyo za mtu mweusi
Binadamu anayeendesha dunia ni mtu mweupe mwanaume

Kizazi cheusi kimetengwa duniani na hakihitajiki: tuongeeni ukweli banah.. wanatunyanyasa sana
 

Tunacho kosea sisi tuna-focus na dini badala ya ku-focus na M/MUNGU na nakuhaidi tuki-focus kwa M/MUNGU; tutafanikiwa sana .
KIUJUMLA .. M/MUNGU wa dini zote ni MMOJA TU.. ila wao wamekuja kutugawanya kwa kutuletea DINI ili watutawale.. sema hatuna muongozo wa kumjua M/MUNGU vyema mpaka tupitie kwenye DINI.. hapa ndio pagumu
 
Hapa naona sisi WAAFRICA tuna tamaduni zetu ambazo zilizofanywa na mababu zetu ambazo sasa tumezibadili jina tunaziita USHIRIKINA.. ukiendelea kidogo tu kuelezea ntakuelewa uzuri MKUU.. Asante
Mkuu hapa Focus sio dini ni piritual knowledge, hila watu wengi wanafocus na dini, tokea mtu wa kwanza anaumbwa alipewa maarifa namna ya kuwasiliana na muumba wake, alifundishwa kila kitu, hata ukisoma hivyo vitabu vyao wanasema Adam (mweusi) alifundishwa kila kitu.

Na kumbuka spiritual ni part ya mwanadamu so asingweza kuishi bila kuwa spiritual awareness, conscious, well being.

Timeline namaanisha first people kabla yangu mimi na wewe, utaanza na adam, Ni kama mimi na wewe by appearance lakini physical hawafanani mimi na wewe

Adam (mweusi) alikuwa na mita 60 na upana wa mita 20 nusu na uwanja wa mpira, life expectancy ilikuwa kubwa, Adam aliishi almost miaka 1000, baada ya hapo wamekuja kina Noah Suleman miaka 500 wameishi mpaka mimi.na wewe leo tumezidi sana 103 hila average ni 70.

Sasa unaweza ukaona kwann hivi vitabu haviwezi kumention mtu mweusi maana wakati mtu historia yake inakuwa ipo nyuma sana lakini yeye ndio foundation ya spiritual knowledge (SIO DINI),

spiritual knowledge ni somo kubwa na practice kubwa hicho tunachofanya Sasa hivi ni sehemu ndogo mno ya spiritual awareness ambayo hao kina Adam( mweusi) na watu wa mwanzo walikuwa nayo.

Mwafrica naweza kufit kote huko hila kwa real spiritual awakening muafrica lazima turudi kwenye roots zetu za asili na watu wajichimbue kweli hasa.

Hizi stori za mizimu, uchawi, ushirikina zipo kila.jamii ndio katika dini na mila zinawazuia kufanya vitu na hizo philosophy na hayo matatizo hila wao hawawezi kusema, uarabuni uchawi hata muahamad aliwahi.kurogwa, middle , Asia. Hata sisi kuwa na uchawi ushirikina sio ajabu.

Cha msingi tu focus na kumtafuta muumba kwa namna sahihi nje ya uarabu, ujahudi n.k,

Asia mpaka leo wapo na budha wao mpaka kesho huwaambii kitu hawamjui Jesus wala Muhamad. Jenda

Wazungu walishapiga chini hizi habari za dini long time wengi hawaamini kupitia Jesus n.k wao wanasearch spiritual awakening( third eye). Kwa sababu walikuja kugundua hii miyeyusho, Kitu ambacho huko nyuma watu walikuwa na high spiritual awareness hilo jicho la tatu lilikuwepo tu .
 

Shukrani.. mkuu kwa hii
 
Kumbe sio rangi ila ni uafrica ndio unakukereketa. Unajuaje miaka ya huko BC na AD kama kulikua na uafrica na blahblah zote za mabara. Wewe ndio soma historia vizuri maana unabishia kitu usichojua bila kureason mwenyewe
 
Nimependa hapo pa mchina na muhindi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama issue ya kutawaliwa mbona kuna mambo mengi yanafanywa sasa bila kutumia kigezo cha dini na wanatawala vizuri tu. Mchina huyoo ananyemelea kiti na yeye % kubwa ni atheist
 
Kumbe sio rangi ila ni uafrica ndio unakukereketa. Unajuaje miaka ya huko BC na AD kama kulikua na uafrica na blahblah zote za mabara. Wewe ndio soma historia vizuri maana unabishia kitu usichojua bila kureason mwenyewe

Hiyo historia unayoisoma ameandika nan? Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…