Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Wataje basi kama wapo,uAfrika wako ni wa kijinga kwani wote mnaoamini katika dini za mapokeo i.e. uislam na ukristo ni wajinga na siyo binadamu hai

Alaf hatutajie historia ya wazi tunayoweza kuipata katika dini elekezi ambazo tunaziamini na kuzifuata.. tufunue kama mstari ya ngapi? Au AYA gani? .. tutamshukuru sana
 
Henoko alikuwa black..
 
Wapo mkuu gwajima, mwingira, lusekelo, mwakasege na wengi si ni weusi tii!
 
Wapo mkuu gwajima, mwingira, lusekelo, mwakasege na wengi si ni weusi tii!

Alafu yulee wa gallilaya alikuwa anahamrisha tutoe mali tugawane na masikini hawa ni tofauti kabsa
 
Ni ujinga wa kiwango Cha SGR mwafrika mweusi kuamini dini na mapokeo ya kiyahudi,kiyunani na kiarabu Katika millennia hii,
Tena ni ujuha Kwa mtu mweusi kumwomba Mungu wa wayahudi Eti ndie aliyeumba Dunia,what a joke!
Ifike pahari watu watumie akili zao timamu kujudge vitu
Mungu na Shetani ni fiction characters walobuniwa na wahuni wachache Ili kutawala watu wengi Tena huu upuuzi umeanza Karne za juzi juzi hapo Byzantine!
 

Na wameiweza AFRICA kwa % zote.. wanatuburuza vile wanataka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…