Yule wa kuludisha tabasamuYuko nabii Malisa mchaga
mungu anawajua viumbe vyake na akili alizowapa. wafrika wangepewa unabii wangekuwa na tamaa ya pesa kuliko kufikisha maneno ya mungu na wangekuwa wazinifu sana. ona tuna manabii feki kanisani angalia wanavyopiga pesa kwa udanganyifu. au ujiulize kwanini wafrica hawatengenezi silaha au magari au tecnology yoyote mpaka tuwategemee watu weupe jibu hapo tu usiende kwenye mitume na manabii
Unataka utuaminishe wao hawaimport vitu kutoka kwetu kama Nyama, Asali? n.k vitabu,barghashia hata huku vinatengenezwa bila kufuata uarabuni.. Sasa nambie vitu wanavyonunua kutoka kwetu unamaanisha tumewatala?Mlazimishe mtu afuate utamaduni na desturi zako ili awe mtumwa wako wa kifikra, awe tegemezi wa bidhaa zako kuanzia mavazi, vyakula na aina ya starehe zako.
Kanunue kanzu, bharaghashia, busati, marashi, vitabu vya dini, tende, marashi, viungo vya chakula, ...., e.t.c.
Kahiji Mecca sijui Madina...
Kifupi mtageuzwa soko la bidhaa zao.
Hamna point strong hata moja! Kuhij Ni Mara ngapi kwa mwaka?Manufaa ya kwanza ni kusambaza utamaduni wao wa kiarabu Kwa wamatumbi,
Pili iliwasaidia kwenye biashara zao tunajua wale Mabwana walileta dini Ili kuhodhi biashara ukanda huu Kwa Karne nyingi Cha kusikitisha zaidi walifanya mpaka biashara za watumwa yaani watu wanaojinasibu ni wa Mungu wanawakamata wenyeji na kuwasafirisha Hadi Nchi za kwao kwenda kua watumwa,
Tatu walileta dini Ili kuteka maeneo hii tunaita ku conquer tunaona waliweka base zao katika maeneo mengi ya afrika na kuanzisha tawala zao,
Pia mpaka Leo wananufaika Kwa kuwapiga Hela wajinga wa kimatumbi wanapoenda kuhiji makka wanawaingizia mapesa ya kutosha unaowawezesha kujenga uchumi wao Huko wewe ukiendelea kubaki maskini na ndio maana waarabu wa saudia hawana njaa Kwa kua na vyanzo vya mapato vya uhakika!
Niendelee mdau?
Wewe nenda kapitie Tena makabrasha Uislam west Africa ulienezwa kwa upanga,historia ipo wazi!Hamna point strong hata moja! Kuhij Ni Mara ngapi kwa mwaka?
Hujui Kama kuna maeneo mf. West Africa uislamu ukiingia kabla ya ukoloni Wala utumwa?
Points zako zngne sjazielewa mkuu
hawezi kuelewa,huyo ashakua Trapped na foreigner religions hasa kutoka middle east na hatakubaliana naukweli amekua brain washed!Mlazimishe mtu afuate utamaduni na desturi zako ili awe mtumwa wako wa kifikra, awe tegemezi wa bidhaa zako kuanzia mavazi, vyakula na aina ya starehe zako.
Kanunue kanzu, bharaghashia, busati, marashi, vitabu vya dini, tende, marashi, viungo vya chakula, ...., e.t.c.
Kahiji Mecca sijui Madina...
Kifupi mtageuzwa soko la bidhaa zao.
Nikisahihishe kidogo chief, Yesu alizaliwa Bethlehem ya Yudah sio Nezareth.Ilikuwa ni nchi ya Yuda na ilikuwa imetabiriwa hivyo,angezaliwa eneo tofauti na Nchi ya Yuda unabii usingetimilika.Ukweli ni kwamba hakukuwa na mtume muafrika kati ya wale mitume wa Yesu
Ila Kuna mitume walikuwa special for gentlies (watu wa mataifa) amabao sio Israel mfano ni mtume Petro.
Kumbuka Yesu alizaliwa alizaliwa Bethlehem huko Nazareth Israel ingawa alibeba package ya Dunia nzima
Ndio maana baada ya wao kujazwa nguvu za Roho mtakatifu aliwaambia
Nendeni muwe mashahidi wa mambo haya hata mwisho wa nchi
So Yesu akawa Mbegu ambayo Leo hii tumekuwa mashahidi wengi wengi Sana bila kujali Rangi, Kabila, Taifa,
Sidhan kama kwenye maandiko wametaja ngozi za watu. Hata kuumbwa kwa adam na eva hawakutaja ni weupe au weusi. Hizi issue za race zinaleta confusion tu. Kuhusu picha za Yesu mweupe hata mweusi yupo.
Mimi siamini kuhusu ngozi naamini kuhusu maandiko matakatifu ambapo naona yeyote mwenye imani yampasa hivyo.
Hamna mweusi hapo,Ezekieli Samweli Samson Walikuwa Weusi
Nimejibu hili ila ngoja nikujibu na wewe personally.(Nitajibu kama Mkristu)Poleni na mizunguuko ya dunia na karibuni
(1) Kwanini hakukua na nabii au mtume MWAFRICA
(2) Nini M/MUNGU ametuficha au kuna baadhi ya mataifa ambayo sio ya AFRICA yametuficha vitu sisi Waafrika
(3) Au hawa manabii na mitume wa sasa wa AFRICA M/MUNGU ametuletea kama malipizi na sisi tupate manabii na mitume kama ni kweli mbona hatuwasikilizi tunawadhalau na wao mbona wanaonekana kama wanaongoza ibada zao kwa tamaa na mambo yasiyo sahihi KIUUNGU
(4) Labda kwa kigezo cha AFRICA tumepewa mali wao wamepewa akili; hapana hata wao mali wanazo tena nyingi kuliko zetu na bado wanakuja kuvuna mali AFRICA
(5) Na mbona wanasema binaadamu wa kwanza mwafrica alikuwa nyani.. na wao hawakuwa nyani mbona hiko kizazi cha nyani cha mwafrica akiendelei au waliwakusanya wale nyani wote waliokuwa wanageuka au wanazaa binadamu wakawaua KUNA HAJA YEYOTE YAKUENDELEA KUTUMIA VITABU(PROTOCOL) AMBAVYO HAVINA MSINGI NA VINA HISTORY MBAYA WALIOPAKAZIWA WAAFRICA..
Mpendwa wenu katika ujenzi wa taifa
Waafruca tunataguta validation kwenye uislam au ukristo, lakini hii dunia ina dini kibao sababu dini ni mila na desturi tamaduni za watu fulani, sababj ya brainwashing ya mzunfu na mwarabu tuna amini lazima huwe muislam au mkristo.
Sasa ni kulazimisha tuu kufit kwenye history book za jamaii za Bible na quaran ni history book, hata ukienda asia utakuta nao wanavitabu vyao, sababu ya strong culture hawana hii inferior na misinformation tunayogace sisi waafrica, ushamuona mchina analalamika kwanini Bible haijamtaja. Bible wanazungumzia timeline yao na baadhi ya matukio kidogo kabla yao same Quran watazungumzia waliopita hila ziadi life ya muhamad, wewe haupo kwenye hiyo timeline na hayo matukio.
In short haupo ukitaka kushiriki shiriki tuu kama spiritual knowledge so far mwanadamu nahitajj lakini usitafute kukubalika au uhalali wa kuwepo aua kutajwa kwenue vitabu au historia ya jamii isiyokuhusu, hata wazungu hawapo kwenye Quran wala Bible na wala hwalalamiki na life linasonga.