Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Hapa umetumia nini kufikiri🤔Ni sawa na kusema kuna majambazi, wezi, wakwepa kodi na mafisadi wengi waliofanikiwa sana kwenye maisha kuwazidi hata wafanyabiashara na wafanyakazi waadilifu.
Life nayo ishi dogo we huwezi kuufikia robo yake, we jifurahishe hapa na porojo tu.Mkuu itakuwa una stress sana ya maisha.😂😂😂😂 Kunywa maji mengi mura
Hauendani kivipi? Mfano wako si ni sawa na kusema tu Hata Hitler na Makaburu wa Africa Kusini waliziletea nchi zao maendeleo kwa hiyo tnaweza tu kuwa na tawala za mifumo hiyo ya kikatili ilimradi tunapata maendeleo!Mfano wako wala hauendani na comment niliyotoa
Ni nani anaewafundisha huu ujinga?Democracy ipi yakuwauwa watoto Gaza. Sa we mtoa mada nipe nchi gani ya kikristo ina Democracy.
Si bora hata hao warabu hawana Democracy lakini. Hospital bure, masomo bure, na wengi wao wanaishi kwenye majumba serekali zimewajengea, wengine hawalipi umeme, maji na wakichukua mikopo ya bank wanalipiwa sometimes. Nipe nchi ya kikristo yenye kufanya hayo.
Pauli ntume wa bibiliaNi nani anaewafundisha huu ujinga?
My foot!
Mnaambiwa kuwa uarabuni wanakula bure, kulala bure, kila kitu bure na ukioa unalipiwa mahari kisha unapewa nyumba.Pauli ntume wa bibilia
SawaHuwezi kuelewa kama ni akili ndogo.
Wapi wanakula bure nchi gani hio ili twende, ukristo ni uwongo kama mtume wao Paulo.Mnaambiwa kuwa uarabuni wanakula bure, kulala bure, kila kitu bure na ukioa unalipiwa mahari kisha unapewa nyumba.
My foot!
Demokrasia kwa muktadha upi?...,kupiga kura ?Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?
Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?
Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Kuna nchi inayotekeleza hayo kwa asilimia 100?....haipoKwa muktadha mpama wa uchaguzi huru na haki, uhuru wa mihimili, haki za binadamu, uhuru wa habari, uhuru wa dini, kujieleza n.k
Shida ni kwamba watu wamekariri maana ya demokrasia wakiinasibisha na mfumo wa kisiasa wa vyama vingi sambamba na uchaguzi.Kuna nchi nyingi sana zinazojiita za kidemokrasia zimezidiwa na UAE, Qatar, Kuwait, Saudi Arabia n.k kiuchumi
Huo ni uongo kabisa, tuambie ni nchi gani hiyo.Mnaambiwa kuwa uarabuni wanakula bure, kulala bure, kila kitu bure na ukioa unalipiwa mahari kisha unapewa nyumba.
My foot!
Ndiyo maana nikasema kura za demokrasia,najua hata utawala wa nyerere chini ya chama kimoja walikua wakipiga kuraDemokrasia sio kupiga kura tu
Uliyoyaeleza yanamaanisha kula bure. Mbona unaniuliza tena ni wapi, ilihali wewe ndiye unayetaja.Wapi wanakula bure nchi gani hio ili twende, ukristo ni uwongo kama mtume wao Paulo.
Nacho kijua warabu hata Trump anaenda waomba mpaa kalamu hahaha afu wanamnunulia Rais ndege inayo tengenezwa kwao hio kama sidharau ni nini tena.
Ukweli unauma Qatar mwananchi wake akiwa na deni analipiwa, mishahara yao mikubwa, akitaka kuowa anapewa pesa.
UAE special Abu dhabi na Sharjah wanalipiwa madeni mara kwa mara, mpaa chakula serekali imeweka maduka yanaitwa AlTauwan united au Abu Dhabi Cooperative Societ au mwanachi anapata discount kuanzia 35% mpaa 60%. Mambo mengi sana ambayo hakuna nchi za kikristo wanayafanya.
Kuwait pia wanajitahidi pia.