B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Sina haja ya kuanza kukuelekeza wakati una resources za kukupatia info hizo.Wanatoka Nchi gani? Sio kosa langu kama Geographia ina kushinda, kamlaumu mwalimu wako na wanaokuzunguka kwa kushindwa kukuelimisha.
Kama hajavaa gauni wala brezia wala hata gaguro basi huyo sio wa kumsema maana ni kichaa huyo anaokota makopo na kama wa sampuli hiyo ndio unawasema basi huna hoja maanake unaongelea wehu.Mwanamke anaye tembea uchi maziwa unayaona na chupi unaiona huyo utasema hatembei uchi. Kumbe ulifukuzwa huko uarabuni sio hahaha
Kama Kenya wanao huo uhuru lakini njaa mpaka kwenye makalio serikali imejaa rushwa na uhuru wao hamna kazi hospitali hamna dawa.Watu pia wanahitaji kuwa huru kutoa mawazo yao kisiasa, kidini, uchumi, geopolitics n.k sio kushiba ugali na matembele tu.
Kenge wewe ulikuwa unasema Ismail sio mwarabu wakati ndio anajulikana baba wa warabu. Wewe unaongelea lugha au jinsia?Kasome acha kucheka kama Mtume wako alikuwa na Mapengo meno yote ya mbele ya juu na chini just imagine mapengo akachoka.
Ibrahim yes alitokea eneo kwa sasa ni Iraq ndio Sumerian ilipokuwa jamii hiyo ambayo haipo tena jamii iliyokuwa imeachiwa records zote za Dunia ilivyokuwa kwa details. So Ibrahim aliondoka na kwenda eneo lake na lugha aliyotumia ni Aramaic. So Ishmail amezaliwa katikati historia hiyo kama Wa aramaic. Lugha ya kiarabu waliongea kabila la Quraish peke yao tena lilitokea Yemen.
Ujinga wa Dawahgandi mnachukua aya maneno out of content weka aya torati ikisema atakuja mtume anayefanana na Musa. And sio sisi tunasema Yesu ni Mungu ni maandiko na yeye ndie alisema hata viongozi wa Kiyahudi walitaka kumuua kwa kusema yeye ni Mungu, mungu na yeye ni Moja uzushi kwangu huwezi weka Quran iimekuonya usiukane ukweli wakati unajua nitakukumbusha kila mara. Quran 2:42
Weka tu hiyo aya tukucheke hapa Jf au unaogopa? Sisi hatuokoti okoti maneno mtaani au madrassa ya kuambiwa tunatumka ushahidi wa Aya
mbona walimuambia turudishe Misri kuna Nyama n.k husomi vitabu au wewe ni iblis mpotoshaji? Unawajua waisrael au lengo lako ni udanganyifu? Wayahidi hata chakula kutoka peponi walikikataa ni heshima hiyo?
Wayahudi walikataa kuingia nchi ya Ahadi wakapewa Adhabu 40 years wahangaike kwanza jangwani.. Tabia zako za Uislam umekuwa muongo satisfied
Kwa hiyo unachukulia nchi nzima? Kumbuka Yesu alikuwa anakusanya makundi makubwa kila aendapo its was Amazing akiponya na kusamehe dhambi, Yesu alichukiwa na Viongozi tu wa Dini ya Kiyahudi na walikuwa wakiona aibu walikosa kila singizio la kumfanya aonekane amefanya dhambi akiwaambia yeye ndio same Mungu wanayemuabudu in human form maneno azungumzayo na sheria afanyazo. Kasome Bible utaenjoy
Mohammad we know Alipookoyeza Sheria everything alichosema source zake tunajua hata mnavyosali wudu ni za Sabians, alitumia ujinga wa waarabu kuishi maisha matamu. Unaweza leta Sheria yake nikupe source just any
Weka tu aya kuna mwenzio alileta aya akaelewa na kusema Mohamed hana mfanano wowote ni taperi jambazi tu lilikuwa, kuwa mtume wa Mungu na tabia lazima ziwe za kimungu, sio kusema wanawake waumini nikiwapenda waje niwatie.. huoni umungu ushetani?
Wewe katika kusoma kwako umeona huyo prophet mwenye kutumia maneno ya Mungu direct anafanana na nani? Maana Quran inasema Yesu ni Prophet, Yesu ni Nano la Mungu na ni Roho iliyomo kwa Yesu ikipumua yaani Mungu ndani ya mwili wa Yesu.
Ishamail hakuwa Muarabu umenoa hili hahahaha
Huwezi kuwa mtume bila ujumbe na ujumbe unawafikia watu kuwaonya au kuwafundisha jinsi ya kuishi kwa kumuabudu Mungu wao, Ishmail hakuwa Mtume wala prophet hakuna alichofundisha zaidi ya kuwa mtoto wa Kambo wa Ibrahim.
Mitume imeandikwa kwenye Quran ni Uzao wa Isaka na Yakobo hakuna Mwingine nje ya hiyo Ahadi.
Unauliza auto maelezo
Wewe ndio umesema Mwarabu sisi tumekataa
Uyahudi umeanzia kwa Yakobo mtoto wake akiitwa Yudah waisrael ni Watoto wa 12 wa Yakobo una swali jipya lingine?
QURAN 2:136
Ujinga wako unadhani Mohammad ni Mtume au nabii Quran inasema yeye ni Muonyaji tu kwa watu wa Mecca na Jirani pekee.
"And thus we have revealed to you an Arabic Quran, so that you may warn the mother of the cities (Makkah) and those around her." ( Quran 42:7)
Nyie wakristo hata mwanamke akitembea na chupi, mnasema kavaa nguo hahahaKama hajavaa gauni wala brezia wala hata gaguro basi huyo sio wa kumsema maana ni kichaa huyo anaokota makopo na kama wa sampuli hiyo ndio unawasema basi huna hoja maanake unaongelea wehu.
Uwe mtu anayeelewa na inaonekana wewe darasani ulikua mgumu sana kuelewa kama kweli ulisoma shule za kawaida tofauti na madrasa.Nyie wakristo hata mwanamke akitembea na chupi, mnasema kavaa nguo hahaha
Waislam always wanajifanyaga victims umesoma wapi kuwa Hindu na Christians wanawachukia Waislam? Nyie ndio mna chuki za kufundishwa na Mohammad na Allah, sisi tumefundishwa kumpenda jirani na Adui, like me sichukii muislam ila nimeamua kuwasema muache uongo na unafiki japo unafiki ni sehemu ya ibada yenu its ok for meBora umempa panadol atajua wengi wamekimbilia uarabuni haswa hao wakristo na mahindus na hao wote wana chukia Uislam lakini ajabu wamejazana uarabuni.
Nilikuwekea Aya za Qur'an inayosema mitume itatokea kwenye Uzao wa Isaka na Yakobo tuanze kukuita Mkristo sawa na ubatizwe kabisa umpokee kristo kama mwokozi wako,Kenge wewe ulikuwa unasema Ismail sio mwarabu wakati ndio anajulikana baba wa warabu. Wewe unaongelea lugha au jinsia?
Hivi wewe unadhani kila mwarabu anajua kiarabu , au kila mhindi anajua kihindi. Ibrahim kwanza ni jina la kiarabu kwa hio ni mwarabu na aliongea kiarabu, leo mtu akiongea kizungu kisha kuwa mzungu hahaha.
Ibrahim aliongea lugha ya Aramaic kuna jinsia ipo inaitwa Aramaic ni lugha, si utaifa. Ni lugha ya Kisemiti iliyoanzia Syria ya kale na kuenea katika Mashariki ya Kati, wewe kenge fahamu hivi lugha na jinsia ni vitu viwili tofouti. Lugha kuna watoto wa kiarabu leo wanaishi uarabuni hawajui kiarabu na wako wayahudi leo hawajui kiyahudi au unabisha.
Qur'an ilisha sema Ibrahim si Myahudi wala si Mkristo kama mnabisha leteni dalili zenu hamna, mnaishia kuropoka tu. Kuongea lugha ya Aramaic si kwamba yeye si Mwarabu. Nabii Ibrahim anaaminika kuwa alizungumza kweli Aramaic na pia kuwa alikuwa akifahamu Kiarabu. Vyanzo vingine pia vinadokeza kuwa huenda alifahamu lugha nyingine za Kisemiti kutokana na safari zake na mwingiliano na watu mbalimbali.
Yesu hawezi kuwa kama Mussa sababu Yesu hakupewa utume kama walivyo pewa Mussa na Mtume Muhammad. Yesu hawezi kuwa kama Mussa sababu hakuzaliwa kama Mussa na Mtume Muhammad wana baba na mama. Yesu hawezi kuwa kama Mussa sababu hakuwa na mke na watoto. Mwenye sifa kama za Mussa ni Mtume Muhammad tu.
Yesu alizaliwa kimaujiza na tokea utoto wake yeye ni Mtume, wakati Mussa alipewa utume kisha kuwa ana umri mkubwa yeye na Mtume Muhammad.
Kenge wewe wapi Qur'an imesema utume unatokana na Ishaq na Yaqub, hahaha Qur'an haisemi kwamba mitume wangekuja kupitia Ishaq na Yaqub, Qur'an inataja kwamba Mitume walitumwa miongoni mwa dhuria wa Ibrahim , akiwemo Ishaq na Yaqub, haiwekei mipaka utume kwa nasaba yao tu. Mtume Muhammad, kwa mfano, ametokana na Ibrahim kupitia kwa mwanawe Ismail , sio Ishaq.
Ibrahim hakuwa Mtume, Nuhu hakuwa Mtume kenge mmoja wewe. kwa hiyo Qur'an inapinga Mtume Muhammad sio Mtume, eti Qur'an inasema utume unatokana na Ishaq na Yaqub tu, hahaha Hebu tuwekee Aya hio , kenge kweli wewe, punguza uwongo huna unalo lijua eti Ibrahim hakuwa mwarabu alikuwa ni Aramaic hivi Aramaic ni taifa 😆 😂
Ishmail nimesema hakuwa mwarabu wala hajaanzisha uarabu na ushahidi ni biblia na Qur'an, Wewe ndio ulete ushahidi wako kuwa Baba wa Waarabu kwa njia ipi ya uzalishaji au alipewa cheo kama Baba wa Taifa? Lakini sio vina saba, Mohammad kwao Yemen kwa Wa Quraish, Muslim danganyweni nyie tu not DuniaKenge wewe ulikuwa unasema Ismail sio mwarabu wakati ndio anajulikana baba wa warabu. Wewe unaongelea lugha au jinsia?
huo unatuonesha low IQ question, only mjinga anaweza dhania mwingine anawaza kama yeye, unatakiwa ukatibiwe akili ubongo wako umeozaHivi wewe unadhani kila mwarabu anajua kiarabu
Nyie waislam mnasema jina halitakiwi kubadilishwa kama la Allah, lakini ujinga wa Allah kwenye Quran ameandika Aya moja Abrahim أبرَهٰم na Aya Nyingine ibrahim أبرَهٰم sasa hapo jina la kiislam ni lipi?, au kila mhindi anajua kihindi. Ibrahim kwanza ni jina la kiarabu kwa hio ni mwarabu na aliongea kiarabu, leo mtu akiongea kizungu kisha kuwa mzungu hahaha.
Low IQ argumentm aliongea lugha ya Aramaic kuna jinsia ipo inaitwa Aramaic ni lugha, si utaifa. Ni lugha ya Kisemiti iliyoanzia Syria ya kale na kuenea katika Mashariki ya Kati, wewe kenge fahamu hivi lugha na jinsia ni vitu viwili tofouti. Lugha kuna watoto wa kiarabu leo wanaishi uarabuni hawajui kiarabu na wako wayahudi leo hawajui kiyahudi au unabisha.
Remember nilishakucheka huu ni one of stupid verse on Quran, ndio zimewafanya muslims muwe na Low IQ arguments Yahudi wametokana na uzao wa asili wa babu yao na Wayahudi hawajawahi kusema babu yao Ibrahim alikuwa myahudi ujinga huu ulikuwa miongoni mwa wajinga waarabu pekee, wala Christian hatujawahi dai eti Ibrahim alikuwa mkristo khe inashangaza sanaQur'an ilisha sema Ibrahim si Myahudi wala si Mkristo kama mnabisha leteni dalili zenu hamna,
Sasa ushajijibu swali lako kuwa Ibrahim aliongea kiarabu cha waarabu waliokiwepo tayari so Mwanae pia alijifunza lugha ya waarabu akiwa kijana mdogo so hawezi kuwa Baba wa Waarabu wote, only wajinga wataendeleza mjadala, hapa tumeshafungaia kuropoka tu. Kuongea lugha ya Aramaic si kwamba yeye si Mwarabu. Nabii Ibrahim anaaminika kuwa alizungumza kweli Aramaic na pia kuwa alikuwa akifahamu Kiarabu. Vyanzo vingine pia vinadokeza kuwa huenda alifahamu lugha nyingine za Kisemiti kutokana na safari zake na mwingiliano na watu mbalimbali
unaongea nini? Are Ok?.
Yesu hawezi kuwa kama Mussa sababu Yesu hakupewa utume kama walivyo pewa Mussa na Mtume Muhammad. Yesu hawezi kuwa kama Mussa sababu hakuzaliwa kama Mussa na Mtume Muhammad wana baba na mama. Yesu hawezi kuwa kama Mussa sababu hakuwa na mke na watoto. Mwenye sifa kama za Mussa ni Mtume Muhammad tu.
Yesu kazaliwa Kimiujiza? Sio tena Kumfakun hahaha Uislam unawavuruga waislam haswaYesu alizaliwa kimaujiza na tokea utoto wake yeye ni Mtume, wakati Mussa alipewa utume kisha kuwa ana umri mkubwa yeye na Mtume Muhammad.
Qur'an 29:27Kenge wewe wapi Qur'an imesema utume unatokana na Ishaq na Yaqub, hahaha Qur'an haisemi kwamba mitume wangekuja kupitia Ishaq na Yaqub, Qur'an inataja kwamba Mitume walitumwa miongoni mwa dhuria wa Ibrahim ,
Mohamed ni Quraish na Quraish ni Yemen people not Arab Two different peopleakiwemo Ishaq na Yaqub, haiwekei mipaka utume kwa nasaba yao tu. Mtume Muhammad, kwa mfano, ametokana na Ibrahim kupitia kwa mwanawe Ismail , sio Ishaq.
ulisema hapo mwanzo kuwa kuna mitume haina Kitabu now unawakana Ibrahim na Nuhu hahaha Nuhu sio Mtume hahaha Kwahiyo alivyokuwa akiwaambia watu waache maasi na waingie kwenye Safina wasije kufa sio utume wala unabii?Ibrahim hakuwa Mtume, Nuhu hakuwa Mtume
Qur'an inapingana yenyewe kwa yenyewe Aya Zote cover to cover ni comedy book me macheka kila nikiisomakenge mmoja wewe. kwa hiyo Qur'an inapinga Mtume Muhammad sio Mtume, eti Qur'an inasema utume unatokana na Ishaq na Yaqub tu,ha Hebu tuwekee Aya hio , kenge kweli wewe, punguza uwongo huna unalo lijua eti Ibrahim hakuwa mwarabu alikuwa ni Aramaic hivi Aramaic ni taifa 😆 😂
Ukiongopa faida kwa Allah au mudy?Kama Kenya wanao huo uhuru lakini njaa mpaka kwenye makalio serikali imejaa rushwa na uhuru wao hamna kazi hospitali hamna dawa.
Haiti ina demokrasia Qatar hawana demokrasia😂
Ibrahim nimekuambia alikuwa Mwarabu kutokea Iraq sa vipi Ismail asiwe mwarabu? Reason ya Ishaq kuitwa Myahudi sababu ni kizazi kimetokea kwa Mama Myahudi hakihusiani kabisa na asili ya Ibrahim.Ishmail nimesema hakuwa mwarabu wala hajaanzisha uarabu na ushahidi ni biblia na Qur'an, Wewe ndio ulete ushahidi wako kuwa Baba wa Waarabu kwa njia ipi ya uzalishaji au alipewa cheo kama Baba wa Taifa? Lakini sio vina saba, Mohammad kwao Yemen kwa Wa Quraish, Muslim danganyweni nyie tu not Dunia
huo unatuonesha low IQ question, only mjinga anaweza dhania mwingine anawaza kama yeye, unatakiwa ukatibiwe akili ubongo wako umeoza
Nyie waislam mnasema jina halitakiwi kubadilishwa kama la Allah, lakini ujinga wa Allah kwenye Quran ameandika Aya moja Abrahim أبرَهٰم na Aya Nyingine ibrahim أبرَهٰم sasa hapo jina la kiislam ni lipi?
Ujinga mwingine hamjui kuwa hilo ni jina la Ki Aramaic, nikusaidie Tafsiri yake maana Waislam hawajui
Mudy alijibebea tu majina huku hajui Tafsir hata Baba yake IAbraham amemuita Azar wakati hilo neno maana yake ni Mjinga so Allah anamuita Ibrahim Mjinga hahaha
Low IQ argument
Remember nilishakucheka huu ni one of stupid verse on Quran, ndio zimewafanya muslims muwe na Low IQ arguments Yahudi wametokana na uzao wa asili wa babu yao na Wayahudi hawajawahi kusema babu yao Ibrahim alikuwa myahudi ujinga huu ulikuwa miongoni mwa wajinga waarabu pekee, wala Christian hatujawahi dai eti Ibrahim alikuwa mkristo khe inashangaza sana
Sasa ushajijibu swali lako kuwa Ibrahim aliongea kiarabu cha waarabu waliokiwepo tayari so Mwanae pia alijifunza lugha ya waarabu akiwa kijana mdogo so hawezi kuwa Baba wa Waarabu wote, only wajinga wataendeleza mjadala, hapa tumeshafunga
unaongea nini? Are Ok?
Yesu kazaliwa Kimiujiza? Sio tena Kumfakun hahaha Uislam unawavuruga waislam haswa
Qur'an 29:27
tuwekee Aya yako na wewe ikusapoti
Mohamed ni Quraish na Quraish ni Yemen people not Arab Two different people
ulisema hapo mwanzo kuwa kuna mitume haina Kitabu now unawakana Ibrahim na Nuhu hahaha Nuhu sio Mtume hahaha Kwahiyo alivyokuwa akiwaambia watu waache maasi na waingie kwenye Safina wasije kufa sio utume wala unabii?
Wewe ni fake muslim
Qur'an inapingana yenyewe kwa yenyewe Aya Zote cover to cover ni comedy book me macheka kila nikiisoma
Hivi unaogopa kuweka Aya kwa sababu tutakucheka eh ushajua Qur'an ina maandishi ya mtu asiye na akili so huwezi weka aya zil kubaliane na madai yako ya uongo na ujinga katika uislam
Kuhusu dada zetu kwenda kutumikishwa hilo sio swala linalochangiwa na maendeleo yao,ni ila mentality ya kitwana ambayo wako nayo,ulizia kuna chokambaya pia huwa wanaitisha wadada wa kazi.Utajifananisha wewe mdemokrasia unayekula ugali na tembele lililokolea ndimu nyingi na mwarabu wa Qatar au UAE?
Dada zako kutoka Tanzania kila siku wanakimbilia Oman kwenda kuwa housegirls na ukahaba, Demokrasia imepunguzaje wimbi la wao kukimbilia huko?
Wahindi kutoka nchi ya demokrasia wamejazana Iran na Saudia Arabia utafikiri wako Delhi kutafuta kazi. Demokrasia imewasaidia nini?
Hapo umenoa Ishaq Mama yake sio Myahudi, hivyo acha u Allah wewe, ukaleta yai na kuku kipi kilianza! Mama wa Is-haq ni Same tribe na Abraham watu wa Sumerian so uyahudi umekuja kwa mjukuu wao Judah.Ibrahim nimekuambia alikuwa Mwarabu kutokea Iraq sa vipi Ismail asiwe mwarabu? Reason ya Ishaq kuitwa Myahudi sababu ni kizazi kimetokea kwa Mama Myahudi hakihusiani kabisa na asili ya Ibrahim.
Hapana ni Wa sumeri - Katafute Tafsiri ya Arab utaelewa orignal ya watu waitwao Arabs ni Beduin watu wa kutanga tanga jangwani na kuhama hama. Ndio Tafsiri ya Arabs - unaowasikia wakiongea Kiarab ni Kabila la Quraish ambao ndio wameeneza Lugha kote Arabian Peninsula.Ismail kuitwa baba wa warabu sababu yeye ni orignal baba yake na mama yake warabu.
Huu ndio mwisho wa akili yako kuwaza unachowaza na kumuwekea mtu mwingine ni upungufu wa akili. learn and ask mtu ana maoni yapi kuhusu jambo furani zaidi nakuona umewehuka i never though stupididty uliyonayo bongoni mwako uugh..Kuongea lugha ya kiarabu sio sharti wewe uwe mwarabu au kuongea kiyahudi sio sharti wewe uwe myahudi tatizo lako wewe huna akili wewe ni kenge.
Una la kupinga Mtume wenu ni from Yemen? hana lolote la kumuunganisha na Ishmail.Eti Mtume Muhammad ni Quraish katokea Yemen ok hakuna shida.
Naomba uquote popote nilipoandika kuwa Ibrahim ni Myahudi, hizi ni Tabia za Quran kumuita Yesu Issa,John Yahaya n.k And Allah kwenye Quran amewasingizia wayahudi kuwa wanadai Abraham ni Myahudi singizio ambalo lipo nje na time. Allah hakustahili kutuhumu mtu awe na kabila la Mjukuu wake. we know Allah hajui Hesabu ndio chanzo cha Tatizo.Sawa Quraishi kizazi chake kimetokea wapi unasema Yemen kwa dalili ipi, kwanini Quraish wasiwe wametokana na Ismail?
Kwa hio wewe unajua asili ya warabu kuliko warabu wenyewe hahaha. Hivi we unadhani asili za warabu zinatokea Saud Arabia? Hujui warabu asili zao ni kutokea Iraq na Yemen.
We huwezi kutuletea asili ya Nabii Ibrahim ukasema ana asili ya Kiyahudi hata siku moja,
Abraham alianza kuongea lugha ya kwao Kisumeri then Hebrew ni aina ya Aramaic language enzi hizo ni sawa na English kwa sasa ilivyotawanyika maeneo ya middle east.na bibilia zeni zinajidai mara kazaliwa Iraq lakini alikuwa anaongea lugha sio ya kiarabu hahaha makenge kweli nyie.
Kiarabu ni lugha ya Wa Quraish ilienea baada ya tawala and Kiarab kimebebwa na Lugha ya Aramaic ni collections ya lugha nyingi kama lugha zingine zilivyo so Arab sio ethnic ni just language na Arabs wenyewe asilia ni Beduin kwani ndio waliokuwa wakiitwa Arabs. So kama Iraq waliokuwa wakiisha maeneo yasiyo na Jangwa hawakuitwa Arabs.Mtu azaliwe Iraq afu asiwe mwarabu sa tuambieni alikuwa nani kama si Mwarabu.
Huwa nacheka sana unapobisha maana unabishana na kuipinga Quran,Allah na Uislam Binashana na Quran 2:124 Ibrahim imeandikwa kwa muundo mfupi bila “ya''Eti Quran imeandika Abraham wapi imeandikika vile hivi we akilini kwako hivi ndio inandikwa Abraham أبرَهٰم crazy kweli wewe, ngojea nikufundishe vipi Abraham inandikwa kwa kiarabu, inandikwa hivi ابراهام kondoa mmoja wewe
Wajua Ishamil alioa kabila la Jurham kabila adui na kabila la Mudy QuraishWewe unanipoteza mda tu huna unalo lijua. Siwezi kupoteza mda na mjinga hajui hata Quraish wametokana na Ismai hahaha.
Weka source kama ume sadiqWacha tukupe elimu wewe kenge, Kabila la Waquraishi, ambalo Mtume Muhammad alitokea hapo, linachukuliwa kuwa linatokana na Ismail mtoto wa nabii Ibrahim.
Ishamil alioa Kabila la Jurhum Wagiriki mara mbili kabila adui la Quraish sasa anawazae sasa? hii story niliisikia kitambo mkewe alikuwa akimpokea vibaya Ibrahimi akija kumtembelea na Ibrahimu akampa ujumbe mke wa Ishmail kuwa abadilishe kufuri la mrango wa nyumba yao na mkewe masikini akampasia ujumbe Muwe wake Ishamil na Ishamil alipousikia moja kwa moja akampa Talak Mkewe akauliza why akamuambia wewe ndio kufuri la kubadilishwa hahaha Sahih al-Bukhari 3364 Book 60, Hadith 38 Hii story nzima ya Ishmail haina uhusiano wowote na Quraish hata Chembe Soma chini hapo Greek mean watu wa Ulaya au Wafilist Kule Israel waliitwa.Hasa, nasaba yao inafuatiliwa nyuma kupitia kwa mwana wa Ismaili anaiwa Kedar, na kisha kupitia Adnan, hadi kwa Maquraish.
Rudi shule wewe huna unalo lijua zaidi ku copy na ku paste hahaha.
Mbona Tunisia, Misri, Algeria na Mauritania wanafanya uchaguzi wa vyama vingi kila baada ya miaka 5. Au wewe unataka Demokrasia ipi? Tanzania tunayo Demokrasia???Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?
Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?
Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Misri hizo huduma zipi ingawa siyo Kwa kiwango kama Cha Libya ya Gadafi. Huko kwingine bila shaka hakuna maana hizo nchi zimeathiriwa na vita vya muda mrefuHizo ni porojo tu za masjid, unataka kutuambia kwamba nchi kama Yemen, Lebanon, Syria, Iraq, Misri, Libya kuna huduma hizo unazoziongelea hapa..!!!
Watu pia wanahitaji kuwa huru kutoa mawazo yao kisiasa, kidini, uchumi, geopolitics n.k sio kushiba ugali na matembele tu.L
Wewe mbishi Kwa vile hujui duniani mambo yanaendaje. Hivi hujui kama 70 ya uchumi wa Afrika kusini ni matokeo ya Makaburu? Hivi hujui kama Ujerumani ya Hitla ilikuwa na nguvu ya kiuchumi na kijeshi kote bara Ulaya. Wewe mbishi asiyejua kitu.Hauendani kivipi? Mfano wako si ni sawa na kusema tu Hata Hitler na Makaburu wa Africa Kusini waliziletea nchi zao maendeleo kwa hiyo tnaweza tu kuwa na tawala za mifumo hiyo ya kikatili ilimradi tunapata maendeleo!
Bla bla bla wacha nikuwekee hi nimecopy na kupaste, itakusaidia, ujuwe Quresh wametokea wapi.Hapo umenoa Ishaq Mama yake sio Myahudi, hivyo acha u Allah wewe, ukaleta yai na kuku kipi kilianza! Mama wa Is-haq ni Same tribe na Abraham watu wa Sumerian so uyahudi umekuja kwa mjukuu wao Judah.
Wayahudi waliongea Lugha ya Kiebrania, umewaza Jambo ambacho ni against Time.
Hapana ni Wa sumeri - Katafute Tafsiri ya Arab utaelewa orignal ya watu waitwao Arabs ni Beduin watu wa kutanga tanga jangwani na kuhama hama. Ndio Tafsiri ya Arabs - unaowasikia wakiongea Kiarab ni Kabila la Quraish ambao ndio wameeneza Lugha kote Arabian Peninsula
Huu ndio mwisho wa akili yako kuwaza unachowaza na kumuwekea mtu mwingine ni upungufu wa akili. learn and ask mtu ana maoni yapi kuhusu jambo furani zaidi nakuona umewehuka i never though stupididty uliyonayo bongoni mwako uugh..
Una la kupinga Mtume wenu ni from Yemen? hana lolote la kumuunganisha na Ishmail.
Mohammad mwenyewe anajijua ni from ni fromYemen said Allah of Messenger of Allah Said The Best of Men are the men of Yemen, belief is Yemeni and i am from Yemen! - Ahmad
Unajua Story ya Yemen? Once occupied by Christians then Jews take over and Kill all Christians wakaacha watoto tu so there is possibility Mtume wenu ni kizazi cha Marehemu Christians maana Inasemekana the real Father wake ni Waraqah ibn Nawfal
Naomba uquote popote nilipoandika kuwa Ibrahim ni Myahudi, hizi ni Tabia za Quran kumuita Yesu Issa,John Yahaya n.k And Allah kwenye Quran amewasingizia wayahudi kuwa wanadai Abraham ni Myahudi singizio ambalo lipo nje na time. Allah hakustahili kutuhumu mtu awe na kabila la Mjukuu wake. we know Allah hajui Hesabu ndio chanzo cha Tatizo.
Abraham alianza kuongea lugha ya kwao Kisumeri then Hebrew ni aina ya Aramaic language enzi hizo ni sawa na English kwa sasa ilivyotawanyika maeneo ya middle east.
Kiarabu ni lugha ya Wa Quraish ilienea baada ya tawala and Kiarab kimebebwa na Lugha ya Aramaic ni collections ya lugha nyingi kama lugha zingine zilivyo so Arab sio ethnic ni just language na Arabs wenyewe asilia ni Beduin kwani ndio waliokuwa wakiitwa Arabs. So kama Iraq waliokuwa wakiisha maeneo yasiyo na Jangwa hawakuitwa Arabs.
kama Tafsiri neno Arab limetokana na Hebrew language kuwa ni Arav = Desert, ukiserch utaambiwa anyone who live in the desert are called Arabs na watu halisi walioishi kwenye Desert kiuhalisia ni Beduin aka Mabedui
Ukisoma Quran 9:90 Arab(A’raabi) imetafsiliwa kama Beduin na Quran 9:97 Allah anasema Arabs(Beduin) ni watu wa Hovyo - Mudy asingewachukia kama angekuwa ni wa aina ya hao Mabedui Arabs
Al-Barwani
Mabedui wamezidi sana katika ukafiri na unaafiki, na wameelekea zaidi kutojua mipaka ya aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu juu ya Mtume wake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye hikima.
Al A’raabu ashaddu kufranw wa nifaaqanw wa ajdaru allaa ya’lamoo hudooda maaa anzalal laahu ‘alaa Rasoolih; wallaahu ‘Aleemun Hakeem
ٱلۡأَعۡرَابُ أَشَدُّ كُفۡرٗا وَنِفَاقٗا وَأَجۡدَرُ أَلَّا يَعۡلَمُواْ حُدُودَ مَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ عَلَىٰ رَسُولِهِۦۗ وَٱللَّهُ عَلِيمٌ حَكِيمٞ,
Baada ya kuwaponda Beduin aya za mbele anawasifia kuwa ndio wa kwanza kuupokea uislam jama alikuwa amechanganyikiwa kupitiliza
Huwa nacheka sana unapobisha maana unabishana na kuipinga Quran,Allah na Uislam Binashana na Quran 2:124 Ibrahim imeandikwa kwa muundo mfupi bila “ya''
and 4:125 Ibrahim andikwa “ya” (Hafs Quran).
Wajua Ishamil alioa kabila la Jurham kabila adui na kabila la Mudy Quraish
Kama Ishmail na Ibrahim ni Waarabu Quran tayari inapingana kwani Inasema Mohammad ndie Arabs kupewa kitabu na Quran hiyo hiyo inasme Ibrahim alipewa Kitabu Quran 87:19
Al-Barwani
Vitabu vya Ibrahimu na Musa. - The scriptures of Abraham and Moses. - Suhufi(Tablet) Ibraaheema wa Moosaa
Hakuna Warner kabla ya Mohammad 34:44
Na Hakuna mtume asiyezungumza lugha ya jamii yake kamwe mean Ibrahim hakuwahi ongea Kiarabu sababu sio Muarabu - Pingana na Quran 14:4 tena Sura Ibrahim
Weka source kama ume sadiq
Ishamil alioa Kabila la Jurhum Wagiriki mara mbili kabila adui la Quraish sasa anawazae sasa? hii story niliisikia kitambo mkewe alikuwa akimpokea vibaya Ibrahimi akija kumtembelea na Ibrahimu akampa ujumbe mke wa Ishmail kuwa abadilishe kufuri la mrango wa nyumba yao na mkewe masikini akampasia ujumbe Muwe wake Ishamil na Ishamil alipousikia moja kwa moja akampa Talak Mkewe akauliza why akamuambia wewe ndio kufuri la kubadilishwa hahaha Sahih al-Bukhari 3364 Book 60, Hadith 38 Hii story nzima ya Ishmail haina uhusiano wowote na Quraish hata Chembe Soma chini hapo Greek mean watu wa Ulaya au Wafilist Kule Israel waliitwa.
Jurhum (Arabic: جرهم, romanized: Jurhum; also Banu Jurhum or The Children of Jurhum) historically referred to as the Goramenoi (Ancient Greek: Γοραμῆνοι) in the 5th century,[1] was a tribe of Arabia associated with Mecca. Muslim texts state that they were succeeded by Qusayy ibn Kilab, the leader of the Quraysh.
Sikia Mtume wako anasemaje maana akili zako ni kubishana na Mohammad. Japo ni Dhaifu ila Dhaifu pia inakubalika
Jami` at-Tirmidhi 3231
Book 47, Hadith 283
Vol. 5, Book 44, Hadith 3231
Narrated Samurah:
that the Prophet (ﷺ) said: "Sam was the father of Arabs, Ham the father of the Ethiopians, and Yafith the father of the Romans."
sometime huwa nadhani nawasaidia uongo mliodanganywa Madrassa au Misikitini kwenye mawaidha n.k ila mnaniona kama mtu muongo na mbishi wakti nawapa source so huwa nacheka tu its up to you, huwa nacheka unaposhawishiwa eti uni block n.k hao wameblock akili zao. i know wajua am not lie ila for the seek of kuutetea Uislam unapinga i know maana kwa muislam ukikubali unakuwa in danger katika life yako but in Tanzania we are free to choose. Kama hII Issue ya Kuchinja Waislam wanadanganya kuwa Ishmail ndio alikuwa atolewe Sadaka ya Kuchinjwa wakati ni Ishaq unakuta Shehe anahadithia uongo kabisa kuwa ni Ishmail, Na Quran ipo wazi kabisa inamtaja ni Isaac Gifted Son. Quran 37:107 & 11:71 and 6:84 unapata majibu
After Ibrahim
Southern corner of Kaaba (Yamani corner)
When Ishmael grew up, he married the daughter of the chief of the Banu Jurhum, a tribe which had settled in the Makkah valley.
HAPA TUNAONA UZAO WA Ishmail Hauna muingiliano na wa Quraish. Pole sana Ndugu. Kama unay source lete plz najua huwezi kwa aibu.
When Ibrahim died, Ishmael continued to perform Hajj each year and to look after the Kaaba.
After the death of Ishmael, the Kaaba came into the possession of the Banu Jurhum tribe. It remained with the Banu Jurhum tribe for many centuries until the Khuza'ah tribe took it over.
Throughout this period the Kaaba was vulnerable to flooding for it stood in a valley which, from time to time, experienced heavy rainfall. One such flood virtually destroyed the building.
Seeing the Holy Kaaba in a state of disrepair, Qusay bin Kilaab, of the Quraysh tribe, rebuilt it, according to the original design but adding a roof to protect it from the extremes of weather. Qusay, who was born around 400 CE, was renowned for his wisdom. He built the first "town hall" in the Arabian Peninsula where leaders of the tribes could discuss and resolve political, social and commercial issues. He also set out rules for the supply of food and water to the pilgrims who came to Makkah, and he even persuaded the indigenous Arabs to pay a tax towards their support.
Demokrasia ni peremende/Pipi kwa waafrika.Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?
Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?
Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?