ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
Sina uhakika mkuuUna uhakika mkuu?
Wanaoenda uingereza wanapataje visa?Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
Ubalozi upo ulizia uelekezweSina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
Mjini umeingia lini?Sina uhakika mkuu
Ndo British council?Duuuh...sogea hapo Kisutu wambie wakusindikize hadi ofisi za UK.
Basi mkuu nishaonaMjini umeingia lini?
British High Comission.Ndo British council?
Upo lakini visa zinatoka NairobiUbalozi upo ulizia uelekezwe
Una uhakika visa zinatoka tzSasa kila mtu kashajua wewe ni mjinga sijui itakuwaje
Na visa zinatoka haphapaBritish High Comission.
Karibu na Kanisa fulani nimesahau jina.
Vp kuhusu visaBritish High Commission Dar es Salaam
Umoja House, Hamburg Avenue, P.O. Box 9200
Dar es Salaam
Dar es Salaam
Tanzania
Balozi anaitwa Mariane Young. Alianza kazi August 2024 kuchukua nafasi ya David Concar
Wanaenda kenyaWanaoenda uingereza wanapataje visa?
Vp visaUbalozi upo ulizia uelekezwe