Kwanini hakuna ubalozi wa Uingereza hapa nchini wakati Sisi ni koloni lake?

Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
Sidhan kama kuwa koloni ni sifa ya kuwepo na ubalozi
Unalozi unategemeana na relationship ya nchi mbili husika
 
Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
Aisee kwani si hata unge google mdau?
Fanya hivyo basi halafu uombe huu uzi ufutwe
 
Mdau haelewi kwanini visa za kwenda UK zinatolewa Nairobi.
Taratibu kwake basi...
Akawaulize wenyewe wampe maelezo kamili Web yao hii hapa

Ubalozi upo po jengo la Umoja House ( Wana share jengo na Ubalozi wa EU, Germany na Netherlands') mtaa zamani ukiitwa Garden Avenue karibu na PPF Tower kama unaelekea Ocean Road Cancer clinic. Kutoa Visa walisitisha kutoa miezi sasa imepita .Visa zitashughulikiwa na ubalozi wao wa Nairobi.
 
Sababu za kugomea kutoa Visa hapa ni zipi?
 
Nafikiri hawajagomea.
Wamebadilisha tu utaratibu! Hicho kitengo cha Visa kinafanywa na Organization binafsi awali ilikuwa TLS ila sasa ni kampuni nyingine iko Kule Masaki karibia na Seacliff jengo lao linaitwa nature house.
Na muda mrefu sasa
 
Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.

🫣
Uwe unasechi unapojiuliza.. Usiposoma njoo andika humu.. Hii kwa wewe maana.. Duh!!! ... U... 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ulikuwa
Basi mkuu nishaona
British High Commission Dar es Salaam
Umoja House, Hamburg Avenue, P.O. Box 9200
Dar es Salaam
Dar es Salaam
Tanzania
umeshindwa hata ku google kujiridhisha kabla ya kukurupuka kuja humu? Au huku umejiunga juzi juzi hivyo ukitaka kuharibu kuanzia topic yako mwenyewe?
 
tanzagiza siyo “koloni” la uingereza, na wala haijawahi kuwa, sisi tulikuwa “protectorate” hata tulifundishwa shuleni kuanzia 1920-1961, kenya ndiyo ilikuwa koloni la uingereza, isitoshe wanabana matumizi, balozi nyingi zimehamishia shughuli zao nairobi, unaona hata wenye fedha wanabana matumizi ila poor tanzagiza ni full kujiachia …
Eti kugawa ajira!
 
Matumizi ya nini wanayoyabana?
 
Back
Top Bottom