Kwanini hakuna ubalozi wa Uingereza hapa nchini wakati Sisi ni koloni lake?

Kwanini hakuna ubalozi wa Uingereza hapa nchini wakati Sisi ni koloni lake?

Ndo British council?
Ubalozi mbona uko tangu zamani sana. Ni masuala ya viza tu ndiyo yanashughuhulikiwa Nairobi. Zamani viza zilikuwa zinatolewa pale kwenye mzunguko wa askari mjini. Ukienda mjini saa 12 enzi hizo unakuta foleni ya waomba viza tayari ipo.
 
Uko Nairobi ni bure?

well, kuna kitu kinaitwa “priorities” au kipaumbele maishani, na pia maamuzi yoyote ya binadamu makini yanaendana na gain vs loss au mzani wa kupima faida vs hasara ya uamuzi xyz na hapa siongelei khs goli la mama, nimeongelea binadamu makini kumbuka …
 
Ubalozi upo ulizia uelekezwe
Hazi ya kibalozi imepunguzwa kuna ofizi zinazohusika na mambo ya kibaloz machache mfano Kitengo cha viza hakuna. Zamani Walikuwa Posta round about ya askari. Wakaamia Umoja house ukienda utakuta flag yao pale. Ndio shughuli za kibalozi hufanyika lakini huwezi mpata balozi wa Uk pale, hayupo kwa maana nilioeleza. Vitu hiv vyombo vya habari kimya
 
Ubalozi upo sema hauitwi ubalozi unaitwa High Commission

Aisee kwani si hata unge google mdau?
Fanya hivyo basi halafu uombe huu uzi ufutwe
Ana maana yake usimshambulie. Ukiomba viza ya uk usitegemee kwenda kuipata kwenye ofisi za ubalozi wa uingereza au British High commission.
Huyo ndugu amekutana au kasikia jambo hili, ndio mana ameuliza. Mimi niliacha passport yangu nikaambiwa inaenda South Afrika kule itapigwa Viza km nimekubaliwa na kurudishwa nikaichukue opposite na makao makuu ya Nmb, ground flour kuna representative wao pale, Unaanza kuomba online ndio unaitwa ukielekezwa wapi upeleke. so kama ofisi bado zipo wamejificha kama hawajaishusha hazi ya ubalozi ili msipereke pua zenu. Siku mkimuona balozi wa uk hapa Tz mniambie, hata mkisikia kaenda Ikulu
 
Ana maana yake usimshambulie. Ukiomba viza ya uk usitegemee kwenda kuipata kwenye ofisi za ubalozi wa uingereza.
Huyo ndugu amekutana au kasikia jambo hili, ndio mana ameuliza. Mimi niliacha passport yangu nikaambiwa inaenda South Afrika kule itapigwa Viza km nimekubaliwa na kurudishwa nikaichukue opposite na makao makuu ya Nmb, ground flour kuna representative wao pale, Unaanza kuomba online ndio unaitwa ukielekezwa wapi upeleke. so kama ofisi bado zipo wamejificha kama hawajaishusha hazi ya ubalozi ili msipereke pua zenu. Siku mkimuona balozi wa uk hapa Tz mniambie, hata mkisikia kaenda Ikulu
Ficha hii mdau.
Au hata wewe unge google basi.
Kwani ukiomba Visa ya Ujerumani unaanzia Ubalozi wa Ujerumani?
 
Hazi ya kibalozi imepunguzwa kuna ofizi zinazohusika na mambo ya kibaloz machache mfano Kitengo cha viza hakuna. Zamani Walikuwa Posta round about ya askari. Wakaamia Umoja house ukienda utakuta flag yao pale. Ndio shughuli za kibalozi hufanyika lakini huwezi mpata balozi wa Uk pale, hayupo kwa maana nilioeleza. Vitu hiv vyombo vya habari kimya
Unachekesha sana mdau.
Google basi.
Ila ujue tu!
Baada ya USA, mission kubwa ya ubalozi inayofuatia ni Uk 🇬🇧.
Na wanamiradi mikubwa tu hapa Tz!
Mfano; Shule Bora (google)
Corridor for growth (google)
Mambo ya Family planning na climate change(google)
Juzi tu hapo Kwenye karibia tv zote zimetoa habari za balozi wa UK akitoa msaada wa Billions kwa Tanesco kuwezesha clean cooking.
mbona hivi ni vitu vidogo tu?
Wekeni utaratibu wa Kufuatilia mambo kufuta ujinga

Visa kwao wanafanya kampuni binafsi.
 
British High Commission Dar es Salaam
Umoja House, Hamburg Avenue, P.O. Box 9200
Dar es Salaam
Dar es Salaam
Tanzania

Balozi anaitwa Mariane Young. Alianza kazi August 2024 kuchukua nafasi ya David Concar
Secret service member
 
Kuna mwenzie hapo anamuunga mkono kwa sauti kubwa kabisa.
Eti hakuna balozi wa UK hapa Tanzania
Hahahah vitu vingine unajionyesha namna ulivyombumbu mbele za watu,muda mwingine inafaa uonekane kama mjinga ili upate maarifa kuliko kuwa mjuaji
 
Huyu msengerema atakua hajawahi hata kufika Dar tokea azaliwe, ubalozi wa kwanza tokea uhuru ni ubalozi wa uingereza...
 
Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
Uliza tembelea usiwe wa kwanza kuandika hii inaitwa pre mature conclusion ubalozi uliosema upo namba zake ni T116CD na huo unaosema haupo angalie gar zenye T115CD uje na majibu
 
Basi mkuu nishaona
British High Commission Dar es Salaam
Umoja House, Hamburg Avenue, P.O. Box 9200
Dar es Salaam
Dar es Salaam
Tanzania
Hee! Ule mtaa ulikuwa unaitwa Garden, kwahiyo siku hizi wameupa jina la Kijerumani!! Au kwa sababu ya hiyo Umoja House?
 
Back
Top Bottom