Kwani kuna tatizo gani kutofika Dar es salaam?Huyu msengerema atakua hajawahi hata kufika Dar tokea azaliwe, ubalozi wa kwanza tokea uhuru ni ubalozi wa uingereza...
Kwani kuna tatizo gani kutofika Dar es salaam?Huyu msengerema atakua hajawahi hata kufika Dar tokea azaliwe, ubalozi wa kwanza tokea uhuru ni ubalozi wa uingereza...
Kwani kuna tatizo
NDIO KUNA TATIZO, USHAMBA KAMA HUU NA UJINGA USINGEUPOST, MAANA UNGEKATIZA MITAA YA MJINI UNGEUONA UBALOZI NA USINGEANDIKA UJINGA KAMA HUUKwani kuna tatizo gani kutofika Dar es salaam?
gani kutofika Dar es salaam?
Ushamba ndo huo ulio nao wewe kwa sababu kuifahamu sehemu ni lazima uwe na shida nayo! Wapo ambao hadi babu zao wamezaliwa Dar es salaam na wenyewe wamezaliwa na kukulia Dar es salaam lakini bado hizo sehemu wanaweza wasizijue kwa sababu hawajahi kuwa na shida nazo! Na mtu aliyeingia jana Dar kutoka Ileje anaweza kufahamu ubalozi upo wapi kwa sababu huenda ameingia Dar kama transit kwenda UK! Na watu aina yako ndo wale wakati bado wapo Mbwinde walikuwa wanasikia kuna sehemu inaitwa K/koo kwahiyo wakifika Dar lazima waende K/koo wakaona panafanana fanana vipi! Wakifika mjini ni mwendo wa kushangaa na kusoma vibao kwenye majengo.NDIO KUNA TATIZO, USHAMBA KAMA HUU NA UJINGA USINGEUPOST, MAANA UNGEKATIZA MITAA YA MJINI UNGEUONA UBALOZI NA USINGEANDIKA UJINGA KAMA HUU
Hapo ulipomalizia ndio hoja ya mleta mada ilipo. Ukimuona balozi wa Uk hapa Tz hata kusikia anatajwa utuambie. Ubalozi ilikuwa zamani, sasa hivi ofisi imeshushwa hadhi wapo maofisa wengine.Unachekesha sana mdau.
Google basi.
Ila ujue tu!
Baada ya USA, mission kubwa ya ubalozi inayofuatia ni Uk 🇬🇧.
Na wanamiradi mikubwa tu hapa Tz!
Mfano; Shule Bora (google)
Corridor for growth (google)
Mambo ya Family planning na climate change(google)
Juzi tu hapo Kwenye karibia tv zote zimetoa habari za balozi wa UK akitoa msaada wa Billions kwa Tanesco kuwezesha clean cooking.
mbona hivi ni vitu vidogo tu?
Wekeni utaratibu wa Kufuatilia mambo kufuta ujinga
Visa kwao wanafanya kampuni binafsi.
Baada ya kugoogle..hahahahahaBasi mkuu nishaona
British High Commission Dar es Salaam
Umoja House, Hamburg Avenue, P.O. Box 9200
Dar es Salaam
Dar es Salaam
Tanzania
Hapo ulipomalizia ndio hoja ya mleta mada ilipo. Ukimuona balozi wa Uk hapa Tz hata kusikia anatajwa utuambie. Ubalozi ilikuwa zamani, sasa hivi ofisi imeshushwa hadhi wapo maofisa wengine.
We ni mtanzania kwl? Uko wapi, Namanjere au Najilinji? Kweli nimeamini watanzania wengi hawajui mambo mengiSina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
We mpuuzi ubalozi wa Uingereza upo, acha kudandia ujinga. Km ht hamjui ht hilo ndio kusema vijana wengi hawajui mambo mengi, ni kubwabwaja tutanzagiza siyo “koloni” la uingereza, na wala haijawahi kuwa, sisi tulikuwa “protectorate” hata tulifundishwa shuleni kuanzia 1920-1961, kenya ndiyo ilikuwa koloni la uingereza, isitoshe wanabana matumizi, balozi nyingi zimehamishia shughuli zao nairobi, unaona hata wenye fedha wanabana matumizi ila poor tanzagiza ni full kujiachia …
We mbwa koko ndio kichwa chako kimejaa giza km ht hujui km kuna ubalozi wa Uingereza nchini. We ni msela mavitanzagiza siyo “koloni” la uingereza, na wala haijawahi kuwa, sisi tulikuwa “protectorate” hata tulifundishwa shuleni kuanzia 1920-1961, kenya ndiyo ilikuwa koloni la uingereza, isitoshe wanabana matumizi, balozi nyingi zimehamishia shughuli zao nairobi, unaona hata wenye fedha wanabana matumizi ila poor tanzagiza ni full kujiachia …
Tanzania haijawahi kuwa koloni la muingereza weweSina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.