Jamani msameheni kuuliza sio ujinga inatasha wakuuUlikuwa
umeshindwa hata ku google kujiridhisha kabla ya kukurupuka kuja humu? Au huku umejiunga juzi juzi hivyo ukitaka kuharibu kuanzia topic yako mwenyewe?
Matumizi ya nini wanayoyabana?
Uko Nairobi ni bure?kuendesha ubalozi kuna gharama kubwa tu au unafikiri ni bure?
Ubalozi mbona uko tangu zamani sana. Ni masuala ya viza tu ndiyo yanashughuhulikiwa Nairobi. Zamani viza zilikuwa zinatolewa pale kwenye mzunguko wa askari mjini. Ukienda mjini saa 12 enzi hizo unakuta foleni ya waomba viza tayari ipo.Ndo British council?
Tanzania siyo koloni la mwingereza. Uhuru 1961.Basi mkuu nishaona
British High Commission Dar es Salaam
Umoja House, Hamburg Avenue, P.O. Box 9200
Dar es Salaam
Dar es Salaam
Tanzania
October Atatusumbua Sana Huyo MwambaMjini umeingia lini?
Uko Nairobi ni bure?
Ubalozi upo sema hauitwi ubalozi unaitwa High Commission...Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
Hazi ya kibalozi imepunguzwa kuna ofizi zinazohusika na mambo ya kibaloz machache mfano Kitengo cha viza hakuna. Zamani Walikuwa Posta round about ya askari. Wakaamia Umoja house ukienda utakuta flag yao pale. Ndio shughuli za kibalozi hufanyika lakini huwezi mpata balozi wa Uk pale, hayupo kwa maana nilioeleza. Vitu hiv vyombo vya habari kimyaUbalozi upo ulizia uelekezwe
Ubalozi upo sema hauitwi ubalozi unaitwa High Commission
Ana maana yake usimshambulie. Ukiomba viza ya uk usitegemee kwenda kuipata kwenye ofisi za ubalozi wa uingereza au British High commission.Aisee kwani si hata unge google mdau?
Fanya hivyo basi halafu uombe huu uzi ufutwe
Ficha hii mdau.Ana maana yake usimshambulie. Ukiomba viza ya uk usitegemee kwenda kuipata kwenye ofisi za ubalozi wa uingereza.
Huyo ndugu amekutana au kasikia jambo hili, ndio mana ameuliza. Mimi niliacha passport yangu nikaambiwa inaenda South Afrika kule itapigwa Viza km nimekubaliwa na kurudishwa nikaichukue opposite na makao makuu ya Nmb, ground flour kuna representative wao pale, Unaanza kuomba online ndio unaitwa ukielekezwa wapi upeleke. so kama ofisi bado zipo wamejificha kama hawajaishusha hazi ya ubalozi ili msipereke pua zenu. Siku mkimuona balozi wa uk hapa Tz mniambie, hata mkisikia kaenda Ikulu
Unachekesha sana mdau.Hazi ya kibalozi imepunguzwa kuna ofizi zinazohusika na mambo ya kibaloz machache mfano Kitengo cha viza hakuna. Zamani Walikuwa Posta round about ya askari. Wakaamia Umoja house ukienda utakuta flag yao pale. Ndio shughuli za kibalozi hufanyika lakini huwezi mpata balozi wa Uk pale, hayupo kwa maana nilioeleza. Vitu hiv vyombo vya habari kimya
Secret service memberBritish High Commission Dar es Salaam
Umoja House, Hamburg Avenue, P.O. Box 9200
Dar es Salaam
Dar es Salaam
Tanzania
Balozi anaitwa Mariane Young. Alianza kazi August 2024 kuchukua nafasi ya David Concar
Kuna mwenzie hapo anamuunga mkono kwa sauti kubwa kabisa.ungekuwa" unauliza kwanza
Hahahah vitu vingine unajionyesha namna ulivyombumbu mbele za watu,muda mwingine inafaa uonekane kama mjinga ili upate maarifa kuliko kuwa mjuajiKuna mwenzie hapo anamuunga mkono kwa sauti kubwa kabisa.
Eti hakuna balozi wa UK hapa Tanzania
Uliza tembelea usiwe wa kwanza kuandika hii inaitwa pre mature conclusion ubalozi uliosema upo namba zake ni T116CD na huo unaosema haupo angalie gar zenye T115CD uje na majibuSina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
Hee! Ule mtaa ulikuwa unaitwa Garden, kwahiyo siku hizi wameupa jina la Kijerumani!! Au kwa sababu ya hiyo Umoja House?Basi mkuu nishaona
British High Commission Dar es Salaam
Umoja House, Hamburg Avenue, P.O. Box 9200
Dar es Salaam
Dar es Salaam
Tanzania