Kwanini hakuna ubalozi wa Uingereza hapa nchini wakati Sisi ni koloni lake?

NDIO KUNA TATIZO, USHAMBA KAMA HUU NA UJINGA USINGEUPOST, MAANA UNGEKATIZA MITAA YA MJINI UNGEUONA UBALOZI NA USINGEANDIKA UJINGA KAMA HUU
Ushamba ndo huo ulio nao wewe kwa sababu kuifahamu sehemu ni lazima uwe na shida nayo! Wapo ambao hadi babu zao wamezaliwa Dar es salaam na wenyewe wamezaliwa na kukulia Dar es salaam lakini bado hizo sehemu wanaweza wasizijue kwa sababu hawajahi kuwa na shida nazo! Na mtu aliyeingia jana Dar kutoka Ileje anaweza kufahamu ubalozi upo wapi kwa sababu huenda ameingia Dar kama transit kwenda UK! Na watu aina yako ndo wale wakati bado wapo Mbwinde walikuwa wanasikia kuna sehemu inaitwa K/koo kwahiyo wakifika Dar lazima waende K/koo wakaona panafanana fanana vipi! Wakifika mjini ni mwendo wa kushangaa na kusoma vibao kwenye majengo.
 
Uwe unaenda google kwanza mdau kujiridhisha kabla ya kuandika uzi.
 
Hapo ulipomalizia ndio hoja ya mleta mada ilipo. Ukimuona balozi wa Uk hapa Tz hata kusikia anatajwa utuambie. Ubalozi ilikuwa zamani, sasa hivi ofisi imeshushwa hadhi wapo maofisa wengine.
 
Hahahaa we jamaa kumbe upo "shalo" namna hii!!!!
 
Wameona haitapita siku pasipo kuwazungumzia. Mtakuwa mnawatolea Mifano ya kila aina na mtashindwa kufanya mambo yenu kiinchi. Ubalozi haupo na Bado mnawazungumza...je wakija wakakaa hapa hapa si mtawaomba tena wawatawale, majengo yao Bado tunayatumia nyie yakwenu yanaanguka anguka hovyo..na huduma zingine kedekede
 
Sisi si koloni la Mwingereza bali hapo zamani tuliwahi kuwa koloni la hao Waingereza. Kwa sasa sisi ni Taifa huru.
 
Hapo ulipomalizia ndio hoja ya mleta mada ilipo. Ukimuona balozi wa Uk hapa Tz hata kusikia anatajwa utuambie. Ubalozi ilikuwa zamani, sasa hivi ofisi imeshushwa hadhi wapo maofisa wengine.
 
Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
We ni mtanzania kwl? Uko wapi, Namanjere au Najilinji? Kweli nimeamini watanzania wengi hawajui mambo mengi
 
We mpuuzi ubalozi wa Uingereza upo, acha kudandia ujinga. Km ht hamjui ht hilo ndio kusema vijana wengi hawajui mambo mengi, ni kubwabwaja tu
 
We mbwa koko ndio kichwa chako kimejaa giza km ht hujui km kuna ubalozi wa Uingereza nchini. We ni msela mavi
 
Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
Tanzania haijawahi kuwa koloni la muingereza wewe

Mkoloni alikuwa mjerumani

Tanzania ilikabidhiwa na umoja wa mataifa kwa uingereza kama protectorate sio koloni la mwingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…