Mwenzio kakupa facts wewe unaleta leta porojoIran na wingi wao WATU milion 87 budget $53billion
Israel WATU milion 9 budget yao $130 billion yaan kiufupi mkuu Iran NI nchi maskin na Kwa ajil ya upuuzi wao bado wataendealea kuwa dhwaifu
Hakuna asiejali yanayoyokea ghaza landa awe mpenda uovu kama israhell marekani na vibaraka wakemi nadhan badala ya kuwapongeza hamas tukazane kuwaombea wanakufa wengi kuwapongeza hamas ni kujifariji ili tusijari yanayotokea gaza
La hamas kuondoka musahauIsrael hatakama akipewa mateka wote msimamo wake NI ule ule atahakikisha Hama's wataondoka
Mkuu hujaelewa point yangu... point yangu ni kuwa lengo la hamas lilikuwa lini hasa?.. maana wote tunajua kuwa siku zote reaction ya Israel pale Hamas wanapojaribu kufight back inakuwa deadly.. so what is the point of starting the fight that will turn deadly on your side.....what will be the point ikiwa unaanzisha kitu ambaco unajua huwez kukimudu na kinahatarisha ku wipe the whole nationality ambayo ndo unapigania kuilinda..
Na hapo umesema sahihi Hamas anapata kila kitu kutoka israel.. lakini jua kuwa Hamas anaungwa mkono na baadhi ya mataifa ikiwemo Iran... unataka kunambia Hamas yote na Iran hawana makamanda wa vita waliobobea na wenye uweledi hadi kuja na plan mfu namna ile...ya kuingia na pick up na bidabioda utadhani kikundi cha kihalifu ambacho hakijulikani motive yake... watu hawaingii vitan ili onyeshe jinsi unavyopigwa war is not a game... kama hakuna jinsi ya kwuez akuwapa magari vita au zana kubwa za kijeshi then watafute plan B... mkiwa mateka hamkurupuki kuanzisha mapigano tu mnatafuta weakest link ya adui ili mjue mkilianzisha ni ushindi
mataifa Rafiki ya Palestina ambao wanatoa misaada ya Kijeshi kwa Hamasi.. they are simply using them and the whole palestians for their own benefits.. hawajali how muchpalestians life will be ruined or are going to be killed.. wangekuwa wako sincere wasingewaruhusu Hamas wakaanzisha hii vita namna ile... Hamas sio kama kikundi cha Al shabab ambacho hamjui what is their motives maana wanavamaia na kuua yoyote... Hamas wanabase na wanautawala maana yake kama wanajinasibu wanawapigania palestians basi walipaswa kuhakikisha chochote watakachoanzisha wana minimize at all cost maafa ya watu wanaowapigania
walichofanya Hamas ni sawa mtoto wako aje kukushtakia kuwa kapigwa na mtu na ww unachokifanya unakwenda kumpiga mtoto wa huyo jamaa.. yaani yeye akipiga wa kwako na ww unapiga wa kwake.. sasa hapo umemlinda kweli huyo mtoto au unazidi kumpa maumivu
Tatizo siyo uarabu ila kama una chuki na uarabu sawa kwani wamizi hapo ni akina wazayuni au waarabu watu wanatetea nchi yao kisha wanaitwa ni maharamia katika nchi yaokwan hawakuyajua haya kipind wanaenda shambulia na kuteka raia wa israel pamoja na mtz mwenzio ? Hv nyie watu weusi mmelogwa na waarabu , wakijamba pia mtasema walivaa chupi ya mzayuni ndio maana walijamba ili ionekane mzayuni ndo kasababisha ila mjambaj hana baya
Ni magaidi kwenye inchi yao hao mazayuni wapo Palestine kwa muda ganiwaislam dini imewatia ukichaa , mlishangilia shambulio la kigaid la hamas , kisha mkajibiwa mkasema waje gaza wanaume wapo gaza ss h mnasema wawamalize hamas watawamaliza mtabadili story mtasema hamas hawakuwai kuwepo ni vita dhidi ya waislam bas mtaomba wawamalize waislam , NYIE KIMA HIYO DINI YENU INAEZA KUWA MNAMWABUDU SHETANI HKN MUNGU ANAFUNDISHA WAUMIN WAKE KUWA WEHU KIAS HICHO
Makao makuu ya Hamas apartment na hospital na Kambi za wa kimbizihamas sio wajinga kuteka na kwenda kuwaweka hapo gaza kaskazin penye vita kali , gaza kusini hakuna mashambuliz mengi so lzm walikuwa huko , na idf hajataka ionekane anashambulia gaza nzima bali anajikita kwenye kuangamiza makao makuu ya hamas ambayo ni gaza kaskazini
Ila hii ya mashoga ndiyo dinikwamba na yule mtz anaendelea na shughui zake akiwa huko mateka ? huon kuwa wanampotezea muda ? uislam ni nusu ushetan haujali utu , mf humu waislam hawajal lolote kuhusu watz wenzao waliotekwa na hamas na mmoja akafa kbs
Unakubaliana na Israel kufyeka pori kumsaka nyoka?Anachofanya Israel ni uharifu WA kivita,Hana uwezo WA kuwasaka Hamas mguu Kwa mguu anamalizia hasira zake Kwa kurusha ovyoovyo makombara,anapoulizwa anajibu wamejifichamo Hamas na watoto.walichofanya Hamas ni sawa mtoto wako aje kukushtakia kuwa kapigwa na mtu na ww unachokifanya unakwenda kumpiga mtoto wa huyo jamaa.. yaani yeye akipiga wa kwako na ww unapiga wa kwake.. sasa hapo umemlinda kweli huyo mtoto au unazidi kumpa maumivu
brazaj Mimi sijifariji,ukiangalia yanayotokea pale,na uwezo tunaoaminishwa kwenye makaratasi ni tofauti.
Hamas jeuri ya kumlazimisha Israel asitishe vita kaitoa wapi?,mateka kwatafuta Kwa mtutu kawakosa ilihali wapo umo humo Gaza tunakoambiwa ameizingira.
Mjiandae kisaikolojia Kuna nchi inafutika Huko,China ameshaitoa Israel kwenye ramani anajua kifuatacho.
Ebu tukirejea mzozo WA Urusi na Uikrane, Urusi alishasema atakayeingilia atakiona Cha moto, ukumbuke Waisrael walisaidiwa pa nono na Urusi kule German.wakati Urusi anaanzisha SMO Israel haikutaka kuegamia NATO . Israel ilijua ikifanya hivyo Nini kitafuatia.Sikio la kufa halisikii dawa akatuma siraha Uikrane kosa kubwa alofanya.
Nchini Belarus wapiganaji WA Wagner wapatao 20,000 wamepotea kwenye mazingira ya kutatanisha hawajulikani walipo,UK ililalama.Uk ikaenda mbali zaidi ikasisitiza hao wapiganaji juu ardhi hawapo labda kwenye mahandaki.Haikupita wiki mbili kikawaka Israel ambapo hatosahau.
Aina Yao ya mapigano ya Hamas wanakwambia hayana tofauti na warusi.View attachment 2829003View attachment 2829004
Hata hueleweki hoja yako ni ipi? Ya kwamba wapalestina wakae wasubirie mpaka siku wakija kuwa na silaha kama za Israel ndo waanze mapambano ya kulikomboa taifa lao au? ebu toa ufafanuzi uweleweke.Mkuu hujaelewa point yangu... point yangu ni kuwa lengo la hamas lilikuwa lini hasa?.. maana wote tunajua kuwa siku zote reaction ya Israel pale Hamas wanapojaribu kufight back inakuwa deadly.. so what is the point of starting the fight that will turn deadly on your side.....what will be the point ikiwa unaanzisha kitu ambaco unajua huwez kukimudu na kinahatarisha ku wipe the whole nationality ambayo ndo unapigania kuilinda..
Na hapo umesema sahihi Hamas anapata kila kitu kutoka israel.. lakini jua kuwa Hamas anaungwa mkono na baadhi ya mataifa ikiwemo Iran... unataka kunambia Hamas yote na Iran hawana makamanda wa vita waliobobea na wenye uweledi hadi kuja na plan mfu namna ile...ya kuingia na pick up na bidabioda utadhani kikundi cha kihalifu ambacho hakijulikani motive yake... watu hawaingii vitan ili onyeshe jinsi unavyopigwa war is not a game... kama hakuna jinsi ya kwuez akuwapa magari vita au zana kubwa za kijeshi then watafute plan B... mkiwa mateka hamkurupuki kuanzisha mapigano tu mnatafuta weakest link ya adui ili mjue mkilianzisha ni ushindi
mataifa Rafiki ya Palestina ambao wanatoa misaada ya Kijeshi kwa Hamasi.. they are simply using them and the whole palestians for their own benefits.. hawajali how muchpalestians life will be ruined or are going to be killed.. wangekuwa wako sincere wasingewaruhusu Hamas wakaanzisha hii vita namna ile... Hamas sio kama kikundi cha Al shabab ambacho hamjui what is their motives maana wanavamaia na kuua yoyote... Hamas wanabase na wanautawala maana yake kama wanajinasibu wanawapigania palestians basi walipaswa kuhakikisha chochote watakachoanzisha wana minimize at all cost maafa ya watu wanaowapigania
walichofanya Hamas ni sawa mtoto wako aje kukushtakia kuwa kapigwa na mtu na ww unachokifanya unakwenda kumpiga mtoto wa huyo jamaa.. yaani yeye akipiga wa kwako na ww unapiga wa kwake.. sasa hapo umemlinda kweli huyo mtoto au unazidi kumpa maumivu
Njia pekee ya kuifanya Hamas ikose nguvu na ushawishi kwa wapalestina ni kwa Israel kukubali kuundwa kwa taifa la Palestine na wapalestina waondokane na mateso wanayo yapata sasa tofauti na hapo Hamas na makundi mengine ya wapiganaji yataendelea kuzaliwa na kupata nguvu kubwa ya silaha kitu ambacho sio msitakabari mzuri kwa Israel.HAMAS ni Nini ?; Baadhi ya watu ?, Ideology au Mapambano ya kupata Haki fulani kulingana na wao wanavyoona kwamba hawatendewi Haki ?
Ukigundua hayo huenda ukafahamu kwamba kwa kumuua Hamas mmoja unatengeneza elfu moja kesho...; Hivi vita sio vya kugombana kwa mabavu bali ni through education na kutowapa mwanya wasio na mema kufanya brainwashing na kuwaongezea pool ya recruitment...
Mkuu HAMAS hana kifaru Wala ndege 1. Anapata chakula, maji, umeme hadi internet thanks to Israel.
Kusema kweli hadi hapo alikuwa kajitahidi mno na hakuna anayeweza kuamini aliyaweza hayo.
HAMAS alipigana na bodaboda na pick ups Kwa sababu ndizo alizo nazo.
Fimbo ya mbali tangu lini iuwe nyoka?
HAMAS alijaribu kuliko wote bahati mbaya ni kuwa katelekezewa mtiti na waliopaswa kumwunga mkono.
1. Alianza vizuri HAMAS kuwapigania wapalestina na waarabu kwa ujumla vita vyao dhidi ya mvamuzi wao sugu 7 Oct 2023.
2. Bahati mbaya waarabu hadi wapalestina wa West Bank wameufyata na kumwachia mtiti wote peke yake!
3. Mafanikio yake kwenye vita hivi yalikuwa:
a) Kumpata Israel kukubali kuongea.
b) Kumpata Israel kukubali kubadilishana wafungwa.
c) Kumfanya Israel na Marekani kuitambua sura ya HAMAS. Kumbe nani anaongea na gaidi?
4. Lakini alipo HAMAS sasa, ni heri angeamua kujitoa mhanga; yeye na jamii yake yote.
5. Kwamba wakati wa kubadilishana wafungwa, Israel anaendelea kukamata na kuuwa wapalestina wengine.
6. Kwamba walioachiwa wanaweza kuuwawa na hata kukamatwa tena wakati wowote.
7. Kwamba Israel kasema lengo lake ni kumfuta HAMAS duniani.
8. Kwamba lengo ni kumsubiri amalize kuachilia mateka tu, halafu akione cha mtema kuni!
View attachment 2827378
Kulikoni HAMAS kuendelea kukenua kinyonge hivi?
View attachment 2830078
hivi n nn
Hamas' deadly weapons arsenal: An annotated look | CNN
View attachment 2830094
Mnayodanganyana Tandahimba vijijini huko, yana nafasi gani kwenye dunia iliyo staarabika ndugu?
Waarabu /Wasomali hawa watu kwao wanapofanya maamuzi wanatumia hisia siyo akili .
Huwa hawapigi mahesabu kabisa cost madhara ya maamuzi yao huwa wanaanza kulia dunia iwasaidie…..
Emotion na vita lazima ushindwe! lakini kwao n ushindi[emoji3][emoji23][emoji23]Mungu awasamehe hawa jamaa
View attachment 2830083
Hawa watu n brainless ndo maana hawaongezeki
Nitazungumzia vipi vya Tandahimba hivyo endeleeni navyo wenyewe machakani hukounazungumzia nn maana hata havishabihiani na nilichopost mm
Nitazungumzia vipi vya Tandahimba hivyo endeleeni navyo wenyewe machakani huko