Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
HAMAS ni Nini ?; Baadhi ya watu ?, Ideology au Mapambano ya kupata Haki fulani kulingana na wao wanavyoona kwamba hawatendewi Haki ?
Ukigundua hayo huenda ukafahamu kwamba kwa kumuua Hamas mmoja unatengeneza elfu moja kesho...; Hivi vita sio vya kugombana kwa mabavu bali ni through education na kutowapa mwanya wasio na mema kufanya brainwashing na kuwaongezea pool ya recruitment...