Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

Russia hamsupport Hamas hata kidogo.Kama ilivyo Marekani Mrusi anamtegemea Muisrael kuliko unavyodhani
Utakuwa naive wa geopolitics au sio mwanafunzi mzuri wa school of reality mengi yamebadilika ktk world politics baada ya vita ya ukraine .
 
Kwenye hii vita Israel kachapika sana kuliko vita yoyote ile aliyopigana na Hamas.
Wanajeshi wake wengi wameuwawa na vifaru vyake mwenywewe ndio alikuwa anaona funga kazi, vimeonekana si lolote si chochote yaani vinabondwa kama vile vimetengenezwa kwa kutumia udongo na ndio baada ya kuona mtanange unamtoa jasho amaamua kupiga/kuuwa ovyo ovyo watoto, wamama na wagonjwa

Hii kusema mtanange bado unaendelea ni kama vile kujitoa kimasomaso kwa aibu kibwa aliyoipata na kwasababu anakiburi, basi ktk hii vita Israel inakwenda kuumbuka vibaya sana
Ushabiki huu....dah
 
Mkuu una elimu gani kuhusu masuala ya kiuchumi mbona una andika vichekesho?

Shiling ya kenya ina thamani kuliko hela ya Japan na S. Korea lakini ebu jaribu kulinganisha uchumi wa Kenya na hayo mataifa ni sawa na mbingu na ardhi.

Shiling ya Tz ina thamani kuliko fedha ya Iran lakini Iran anatengeneza karibia kila bidhaa hapa duniani kuanzia Magari, pikipiki, silaha za kila aina, mitambo ya umeme ,madawa ,wana miundo mbinu bora kuanzia barabara na tandao wa reli za umeme nchi nzima.
Wakati tz hata sindano tu tunategemea wachina watuletee ,kwenye miundo mbinu ndo usiseme maana ni mibovu kupitiliza, pia GDP ya Iran ni kubwa karibia mara tano ya ile ya Tz.

Pia tambua kuwa fedha ya Kuwait ina thamani zaidi ya mara tatu kuizidi $ ya kimarekama lakini jaribu kulinganisha nguvu za kiuchumi za USA na kuwait.

Mkuu kuazia leo tambua kuwa thamani ya pesa ya nchi husika hakuna mahusiano yeyote na nguvu za kiuchumi za nchi husika.
Iran na wingi wao WATU milion 87 budget $53billion
Israel WATU milion 9 budget yao $130 billion yaan kiufupi mkuu Iran NI nchi maskin na Kwa ajil ya upuuzi wao bado wataendealea kuwa dhwaifu
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] basi sawa huo ndio uwelewa wako siwezi kukulaumu.
 
Mimi na wewe tumpongeze Kwa kweli Hamas,siku zaidi ya 46 waisrael wamekosa Mateka wao.

Hivi angesaidiwa ingekuaje.(Kwa maelezo yako)
mi nadhan badala ya kuwapongeza hamas tukazane kuwaombea wanakufa wengi kuwapongeza hamas ni kujifariji ili tusijari yanayotokea gaza
 
Hasira za Nini?Kama Israel anaomba vita iishe body language yako ingesema.Kwa namba ulivyohamaki inaonekana ndugu zako katika Imaaan wanachapika kisawasawa.Na bado
Israel hana jipya US. na Europe walikuwa wanawatumia kwa faida zao, karibu watawakimbia wameona hata apewe silaha vipi hawawezi kupigana na Hamasi.

Wanajeshi 2000 wanampinga Natanyahu, hawataki kurudi kwenye vita na bado, chezea kipigo walicho pewa na Hamasi
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] basi sawa huo ndio uwelewa wako siwezi kukulaumu.
Mimi ninacho amini Iran kamzidi Israel idadi ya WATU na eneo hata GDP ya Israel na Iran NI ardhi na mbingu Acha kuruka ruka leta fact kama unazo
 
Na siku Iran itaingia vitan na nchi yeyote mtajua yakuwa NI taka taka
 
kuwapongeza hamas ni kujifariji
brazaj Mimi sijifariji,ukiangalia yanayotokea pale,na uwezo tunaoaminishwa kwenye makaratasi ni tofauti.
Hamas jeuri ya kumlazimisha Israel asitishe vita kaitoa wapi?,mateka kwatafuta Kwa mtutu kawakosa ilihali wapo umo humo Gaza tunakoambiwa ameizingira.
Mjiandae kisaikolojia Kuna nchi inafutika Huko,China ameshaitoa Israel kwenye ramani anajua kifuatacho.

Ebu tukirejea mzozo WA Urusi na Uikrane, Urusi alishasema atakayeingilia atakiona Cha moto, ukumbuke Waisrael walisaidiwa pa nono na Urusi kule German.wakati Urusi anaanzisha SMO Israel haikutaka kuegamia NATO . Israel ilijua ikifanya hivyo Nini kitafuatia.Sikio la kufa halisikii dawa akatuma siraha Uikrane kosa kubwa alofanya.

Nchini Belarus wapiganaji WA Wagner wapatao 20,000 wamepotea kwenye mazingira ya kutatanisha hawajulikani walipo,UK ililalama.Uk ikaenda mbali zaidi ikasisitiza hao wapiganaji juu ardhi hawapo labda kwenye mahandaki.Haikupita wiki mbili kikawaka Israel ambapo hatosahau.

Aina Yao ya mapigano ya Hamas wanakwambia hayana tofauti na warusi.
20231008_214225.jpg
20231007_211819.jpg
 
brazaj Mimi sijifariji,ukiangalia yanayotokea pale,na uwezo tunaoaminishwa kwenye makaratasi ni tofauti.
Hamas jeuri ya kumlazimisha Israel asitishe vita kaitoa wapi?,mateka kwatafuta Kwa mtutu kawakosa ilihali wapo umo humo Gaza tunakoambiwa ameizingira.
Mjiandae kisaikolojia Kuna nchi inafutika Huko,China ameshaitoa Israel kwenye ramani anajua kifuatacho.

Ebu tukirejea mzozo WA Urusi na Uikrane, Urusi alishasema atakayeingilia atakiona Cha moto, ukumbuke Waisrael walisaidiwa pa nono na Urusi kule German.wakati Urusi anaanzisha SMO Israel haikutaka kuegamia NATO . Israel ilijua ikifanya hivyo Nini kitafuatia.Sikio la kufa halisikii dawa akatuma siraha Uikrane kosa kubwa alofanya.

Nchini Belarus wapiganaji WA Wagner wapatao 20,000 wamepotea kwenye mazingira ya kutatanisha hawajulikani walipo,UK ililalama.Uk ikaenda mbali zaidi ikasisitiza hao wapiganaji juu ardhi hawapo labda kwenye mahandaki.Haikupita wiki mbili kikawaka Israel ambapo hatosahau.

Aina Yao ya mapigano ya Hamas wanakwambia hayana tofauti na warusi.View attachment 2829003View attachment 2829004
Israel hatakama akipewa mateka wote msimamo wake NI ule ule atahakikisha Hama's wataondoka
 
Mimi ninacho amini Iran kamzidi Israel idadi ya WATU na eneo hata GDP ya Israel na Iran NI ardhi na mbingu Acha kuruka ruka leta fact kama unazo
Sasa nikupe fact gani wakati ww umesha amini hivyo? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
brazaj Mimi sijifariji,ukiangalia yanayotokea pale,na uwezo tunaoaminishwa kwenye makaratasi ni tofauti.
Hamas jeuri ya kumlazimisha Israel asitishe vita kaitoa wapi?,mateka kwatafuta Kwa mtutu kawakosa ilihali wapo umo humo Gaza tunakoambiwa ameizingira.
Mjiandae kisaikolojia Kuna nchi inafutika Huko,China ameshaitoa Israel kwenye ramani anajua kifuatacho.

Ebu tukirejea mzozo WA Urusi na Uikrane, Urusi alishasema atakayeingilia atakiona Cha moto, ukumbuke Waisrael walisaidiwa pa nono na Urusi kule German.wakati Urusi anaanzisha SMO Israel haikutaka kuegamia NATO . Israel ilijua ikifanya hivyo Nini kitafuatia.Sikio la kufa halisikii dawa akatuma siraha Uikrane kosa kubwa alofanya.

Nchini Belarus wapiganaji WA Wagner wapatao 20,000 wamepotea kwenye mazingira ya kutatanisha hawajulikani walipo,UK ililalama.Uk ikaenda mbali zaidi ikasisitiza hao wapiganaji juu ardhi hawapo labda kwenye mahandaki.Haikupita wiki mbili kikawaka Israel ambapo hatosahau.

Aina Yao ya mapigano ya Hamas wanakwambia hayana tofauti na warusi.View attachment 2829003View attachment 2829004

Kwa hakika hata jeuri hii ya kukabidhi mateka hadharani si ya kitoto:

2023-11-29T191643Z_1174150821_RC27N4A6VY3Z_RTRMADP_3_ISRAEL-PALESTINIANS-HOSTAGES-1701288135.jpg

Kwamba baada ya makabidhiano haya unarejea wapi unapoita kuwa nyumbani?
 
Mkuu HAMAS hana kifaru Wala ndege 1. Anapata chakula, maji, umeme hadi internet thanks to Israel.

Kusema kweli hadi hapo alikuwa kajitahidi mno na hakuna anayeweza kuamini aliyaweza hayo.

HAMAS alipigana na bodaboda na pick ups Kwa sababu ndizo alizo nazo.

Fimbo ya mbali tangu lini iuwe nyoka?

HAMAS alijaribu kuliko wote bahati mbaya ni kuwa katelekezewa mtiti na waliopaswa kumwunga mkono.

Mkuu hujaelewa point yangu... point yangu ni kuwa lengo la hamas lilikuwa lini hasa?.. maana wote tunajua kuwa siku zote reaction ya Israel pale Hamas wanapojaribu kufight back inakuwa deadly.. so what is the point of starting the fight that will turn deadly on your side.....what will be the point ikiwa unaanzisha kitu ambaco unajua huwez kukimudu na kinahatarisha ku wipe the whole nationality ambayo ndo unapigania kuilinda..

Na hapo umesema sahihi Hamas anapata kila kitu kutoka israel.. lakini jua kuwa Hamas anaungwa mkono na baadhi ya mataifa ikiwemo Iran... unataka kunambia Hamas yote na Iran hawana makamanda wa vita waliobobea na wenye uweledi hadi kuja na plan mfu namna ile...ya kuingia na pick up na bidabioda utadhani kikundi cha kihalifu ambacho hakijulikani motive yake... watu hawaingii vitan ili onyeshe jinsi unavyopigwa war is not a game... kama hakuna jinsi ya kwuez akuwapa magari vita au zana kubwa za kijeshi then watafute plan B... mkiwa mateka hamkurupuki kuanzisha mapigano tu mnatafuta weakest link ya adui ili mjue mkilianzisha ni ushindi

mataifa Rafiki ya Palestina ambao wanatoa misaada ya Kijeshi kwa Hamasi.. they are simply using them and the whole palestians for their own benefits.. hawajali how muchpalestians life will be ruined or are going to be killed.. wangekuwa wako sincere wasingewaruhusu Hamas wakaanzisha hii vita namna ile... Hamas sio kama kikundi cha Al shabab ambacho hamjui what is their motives maana wanavamaia na kuua yoyote... Hamas wanabase na wanautawala maana yake kama wanajinasibu wanawapigania palestians basi walipaswa kuhakikisha chochote watakachoanzisha wana minimize at all cost maafa ya watu wanaowapigania

walichofanya Hamas ni sawa mtoto wako aje kukushtakia kuwa kapigwa na mtu na ww unachokifanya unakwenda kumpiga mtoto wa huyo jamaa.. yaani yeye akipiga wa kwako na ww unapiga wa kwake.. sasa hapo umemlinda kweli huyo mtoto au unazidi kumpa maumivu
 
Mkuu una elimu gani kuhusu masuala ya kiuchumi mbona una andika vichekesho?

Shiling ya kenya ina thamani kuliko hela ya Japan na S. Korea lakini ebu jaribu kulinganisha uchumi wa Kenya na hayo mataifa ni sawa na mbingu na ardhi.

Shiling ya Tz ina thamani kuliko fedha ya Iran lakini Iran anatengeneza karibia kila bidhaa hapa duniani kuanzia Magari, pikipiki, silaha za kila aina, mitambo ya umeme ,madawa ,wana miundo mbinu bora kuanzia barabara na tandao wa reli za umeme nchi nzima.
Wakati tz hata sindano tu tunategemea wachina watuletee ,kwenye miundo mbinu ndo usiseme maana ni mibovu kupitiliza, pia GDP ya Iran ni kubwa karibia mara tano ya ile ya Tz.

Pia tambua kuwa fedha ya Kuwait ina thamani zaidi ya mara tatu kuizidi $ ya kimarekama lakini jaribu kulinganisha nguvu za kiuchumi za USA na kuwait.

Mkuu kuazia leo tambua kuwa thamani ya pesa ya nchi husika hakuna mahusiano yeyote na nguvu za kiuchumi za nchi husika.
Maelezo yooote haya unadhani ndio atakuelewa
Sidhanii ila acha tuone pengne atakua kakufahamu
 
Kinachonisikitisha mie ni kwa Nini Hamas wameshindwa kuwalinda raia was Ghaza Hadi wauliwe maelfu kwa maelfu.Nilidhani kipaumbele Cha Hamas ni Ulinzi kwa raia wake lakini saa Hz naamini kipaumbele chake ni Ugaidi
Hamas hawajawahi kua magaidi
Mie kinacho nisikitisha nikwanini israhell alikaa kitako kuongea na magaidi wakati alisema hataongea nao
Au magaidi hua wanajuana wakaamua kukaa kukubaliana kutokukubaliana
 
Back
Top Bottom