FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hayo yite unasema wewe, hakuna aliyesema hayo.walisema hawana mpango wa kuivamia gaza mkasema wanaogopa kuingia gaza , wameingia washakamata bunge , mahakama , hospital kuu etc , ss hiko kichapo mnawapa mkiwa wap? ss hv mmeomba ceasefire
Kwani ghaza imevamiwa au wameanza kuuwa wagonjwa kwa ndege na misaili za kutokea mbali?
Walipoingia chini, eti kuwafyeka Hams, ndiyo wakabamizwa na vifaru na gari zao za deraya wakala unyoya.
Hujayaona?