Utakuwa naive wa geopolitics au sio mwanafunzi mzuri wa school of reality mengi yamebadilika ktk world politics baada ya vita ya ukraine .Russia hamsupport Hamas hata kidogo.Kama ilivyo Marekani Mrusi anamtegemea Muisrael kuliko unavyodhani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa naive wa geopolitics au sio mwanafunzi mzuri wa school of reality mengi yamebadilika ktk world politics baada ya vita ya ukraine .Russia hamsupport Hamas hata kidogo.Kama ilivyo Marekani Mrusi anamtegemea Muisrael kuliko unavyodhani
Urusi na Marekani wana mtegemea Israel kwa lipi?Russia hamsupport Hamas hata kidogo.Kama ilivyo Marekani Mrusi anamtegemea Muisrael kuliko unavyodhani
Ushabiki huu....dahKwenye hii vita Israel kachapika sana kuliko vita yoyote ile aliyopigana na Hamas.
Wanajeshi wake wengi wameuwawa na vifaru vyake mwenywewe ndio alikuwa anaona funga kazi, vimeonekana si lolote si chochote yaani vinabondwa kama vile vimetengenezwa kwa kutumia udongo na ndio baada ya kuona mtanange unamtoa jasho amaamua kupiga/kuuwa ovyo ovyo watoto, wamama na wagonjwa
Hii kusema mtanange bado unaendelea ni kama vile kujitoa kimasomaso kwa aibu kibwa aliyoipata na kwasababu anakiburi, basi ktk hii vita Israel inakwenda kuumbuka vibaya sana
Iran na wingi wao WATU milion 87 budget $53billionMkuu una elimu gani kuhusu masuala ya kiuchumi mbona una andika vichekesho?
Shiling ya kenya ina thamani kuliko hela ya Japan na S. Korea lakini ebu jaribu kulinganisha uchumi wa Kenya na hayo mataifa ni sawa na mbingu na ardhi.
Shiling ya Tz ina thamani kuliko fedha ya Iran lakini Iran anatengeneza karibia kila bidhaa hapa duniani kuanzia Magari, pikipiki, silaha za kila aina, mitambo ya umeme ,madawa ,wana miundo mbinu bora kuanzia barabara na tandao wa reli za umeme nchi nzima.
Wakati tz hata sindano tu tunategemea wachina watuletee ,kwenye miundo mbinu ndo usiseme maana ni mibovu kupitiliza, pia GDP ya Iran ni kubwa karibia mara tano ya ile ya Tz.
Pia tambua kuwa fedha ya Kuwait ina thamani zaidi ya mara tatu kuizidi $ ya kimarekama lakini jaribu kulinganisha nguvu za kiuchumi za USA na kuwait.
Mkuu kuazia leo tambua kuwa thamani ya pesa ya nchi husika hakuna mahusiano yeyote na nguvu za kiuchumi za nchi husika.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] basi sawa huo ndio uwelewa wako siwezi kukulaumu.Iran na wingi wao WATU milion 87 budget $53billion
Israel WATU milion 9 budget yao $130 billion yaan kiufupi mkuu Iran NI nchi maskin na Kwa ajil ya upuuzi wao bado wataendealea kuwa dhwaifu
Wapalestina walishagawanyika tokea kitambo sana.
mi nadhan badala ya kuwapongeza hamas tukazane kuwaombea wanakufa wengi kuwapongeza hamas ni kujifariji ili tusijari yanayotokea gazaMimi na wewe tumpongeze Kwa kweli Hamas,siku zaidi ya 46 waisrael wamekosa Mateka wao.
Hivi angesaidiwa ingekuaje.(Kwa maelezo yako)
Israel hana jipya US. na Europe walikuwa wanawatumia kwa faida zao, karibu watawakimbia wameona hata apewe silaha vipi hawawezi kupigana na Hamasi.Hasira za Nini?Kama Israel anaomba vita iishe body language yako ingesema.Kwa namba ulivyohamaki inaonekana ndugu zako katika Imaaan wanachapika kisawasawa.Na bado
Mimi ninacho amini Iran kamzidi Israel idadi ya WATU na eneo hata GDP ya Israel na Iran NI ardhi na mbingu Acha kuruka ruka leta fact kama unazo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] basi sawa huo ndio uwelewa wako siwezi kukulaumu.
brazaj Mimi sijifariji,ukiangalia yanayotokea pale,na uwezo tunaoaminishwa kwenye makaratasi ni tofauti.kuwapongeza hamas ni kujifariji
Israel hatakama akipewa mateka wote msimamo wake NI ule ule atahakikisha Hama's wataondokabrazaj Mimi sijifariji,ukiangalia yanayotokea pale,na uwezo tunaoaminishwa kwenye makaratasi ni tofauti.
Hamas jeuri ya kumlazimisha Israel asitishe vita kaitoa wapi?,mateka kwatafuta Kwa mtutu kawakosa ilihali wapo umo humo Gaza tunakoambiwa ameizingira.
Mjiandae kisaikolojia Kuna nchi inafutika Huko,China ameshaitoa Israel kwenye ramani anajua kifuatacho.
Ebu tukirejea mzozo WA Urusi na Uikrane, Urusi alishasema atakayeingilia atakiona Cha moto, ukumbuke Waisrael walisaidiwa pa nono na Urusi kule German.wakati Urusi anaanzisha SMO Israel haikutaka kuegamia NATO . Israel ilijua ikifanya hivyo Nini kitafuatia.Sikio la kufa halisikii dawa akatuma siraha Uikrane kosa kubwa alofanya.
Nchini Belarus wapiganaji WA Wagner wapatao 20,000 wamepotea kwenye mazingira ya kutatanisha hawajulikani walipo,UK ililalama.Uk ikaenda mbali zaidi ikasisitiza hao wapiganaji juu ardhi hawapo labda kwenye mahandaki.Haikupita wiki mbili kikawaka Israel ambapo hatosahau.
Aina Yao ya mapigano ya Hamas wanakwambia hayana tofauti na warusi.View attachment 2829003View attachment 2829004
Sasa nikupe fact gani wakati ww umesha amini hivyo? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mimi ninacho amini Iran kamzidi Israel idadi ya WATU na eneo hata GDP ya Israel na Iran NI ardhi na mbingu Acha kuruka ruka leta fact kama unazo
brazaj Mimi sijifariji,ukiangalia yanayotokea pale,na uwezo tunaoaminishwa kwenye makaratasi ni tofauti.
Hamas jeuri ya kumlazimisha Israel asitishe vita kaitoa wapi?,mateka kwatafuta Kwa mtutu kawakosa ilihali wapo umo humo Gaza tunakoambiwa ameizingira.
Mjiandae kisaikolojia Kuna nchi inafutika Huko,China ameshaitoa Israel kwenye ramani anajua kifuatacho.
Ebu tukirejea mzozo WA Urusi na Uikrane, Urusi alishasema atakayeingilia atakiona Cha moto, ukumbuke Waisrael walisaidiwa pa nono na Urusi kule German.wakati Urusi anaanzisha SMO Israel haikutaka kuegamia NATO . Israel ilijua ikifanya hivyo Nini kitafuatia.Sikio la kufa halisikii dawa akatuma siraha Uikrane kosa kubwa alofanya.
Nchini Belarus wapiganaji WA Wagner wapatao 20,000 wamepotea kwenye mazingira ya kutatanisha hawajulikani walipo,UK ililalama.Uk ikaenda mbali zaidi ikasisitiza hao wapiganaji juu ardhi hawapo labda kwenye mahandaki.Haikupita wiki mbili kikawaka Israel ambapo hatosahau.
Aina Yao ya mapigano ya Hamas wanakwambia hayana tofauti na warusi.View attachment 2829003View attachment 2829004
Kwa hakika hata jeuri hii ya kukabidhi mateka hadharani si ya kitoto:
View attachment 2829030
Kwamba baada ya makabidhiano haya unarejea wapi unapoita kuwa nyumbani?
Mkuu HAMAS hana kifaru Wala ndege 1. Anapata chakula, maji, umeme hadi internet thanks to Israel.
Kusema kweli hadi hapo alikuwa kajitahidi mno na hakuna anayeweza kuamini aliyaweza hayo.
HAMAS alipigana na bodaboda na pick ups Kwa sababu ndizo alizo nazo.
Fimbo ya mbali tangu lini iuwe nyoka?
HAMAS alijaribu kuliko wote bahati mbaya ni kuwa katelekezewa mtiti na waliopaswa kumwunga mkono.
Maelezo yooote haya unadhani ndio atakuelewaMkuu una elimu gani kuhusu masuala ya kiuchumi mbona una andika vichekesho?
Shiling ya kenya ina thamani kuliko hela ya Japan na S. Korea lakini ebu jaribu kulinganisha uchumi wa Kenya na hayo mataifa ni sawa na mbingu na ardhi.
Shiling ya Tz ina thamani kuliko fedha ya Iran lakini Iran anatengeneza karibia kila bidhaa hapa duniani kuanzia Magari, pikipiki, silaha za kila aina, mitambo ya umeme ,madawa ,wana miundo mbinu bora kuanzia barabara na tandao wa reli za umeme nchi nzima.
Wakati tz hata sindano tu tunategemea wachina watuletee ,kwenye miundo mbinu ndo usiseme maana ni mibovu kupitiliza, pia GDP ya Iran ni kubwa karibia mara tano ya ile ya Tz.
Pia tambua kuwa fedha ya Kuwait ina thamani zaidi ya mara tatu kuizidi $ ya kimarekama lakini jaribu kulinganisha nguvu za kiuchumi za USA na kuwait.
Mkuu kuazia leo tambua kuwa thamani ya pesa ya nchi husika hakuna mahusiano yeyote na nguvu za kiuchumi za nchi husika.
Hamas hawajawahi kua magaidiKinachonisikitisha mie ni kwa Nini Hamas wameshindwa kuwalinda raia was Ghaza Hadi wauliwe maelfu kwa maelfu.Nilidhani kipaumbele Cha Hamas ni Ulinzi kwa raia wake lakini saa Hz naamini kipaumbele chake ni Ugaidi
Wewe hoja yako iko wapKama huna huja si Bora upotezee tuh kuliko hujib chochote