Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

Hamasi ni jeshi kubwa sana. Kuwavimbia Israel sio jambo dogo.
1. Wanajeshi huwa wanatangaza vita
2. Wanajeshi huwa wanapambana kufa na kupona kulinda raia na kulinda mali. Hamas wamekimbia mji, umeharibiwa na kuwa magofu. Niliona picha ya majengo ya Gaza kabla ya vita ilikuwa nzuri sana ila majengo mengi sana hayafai kwa kuishi ni kubomoa na kujenga upya
 
Yaani kusema ukweli sehemu yenye Waislam hakunaga amani.

Sio kuwakwaza waislam kwa kauli hii lakini ndio uhalisia unaonekana hivyo.
Waislamu wanashida sana tena kubwa. Wamejaa ugomvi na kuuana ovyo kama kuku
Mfano hai
Somalia, Sudan na Libya.
Ili uishi na muislamu unatakiwa uwe mkatili zaidi yake ndiyo utaishi naye Hapa Tanzania walianza kuchoma moto makanisa na kuwadhuru viongozi wa kikristo. Serikali ikakamata viongozi wote wa UAMSHO weka ndani hakuna cha kesi wala nini. Amani ikapatikana shwari.
Ukisikia kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu, chukua viongozi wa Bakwata na makundi mengine ya kiislamu weka ndani. Amani inapatikana chapu
 
Hukuona huyo myahudi alvyolia kilio cha mbwa koko mpaka wamagharibi wote wakakimbilia kumuokoa?
HAMAS inapigana na Israeli na nchi tano za magharibi na bado wapo ulingoni.
Fikiria mzayuni anapata misaada kila siku na Hamas tangu vita ianze yuko peke yake na juzi kaachia mateka katikati ya Ghaza ambapo myahudi anasema kaikamata.
Uhuru ni damu ba taabu lakini utakuja.
 
Hawa jamaa ni mazwazwa tu, wewe umeona wapi mtu anadanganywa tu ati .ajiue ili akapewe mabikra 72 motoni na amaamini
 
Kwakichapo anachokutana nacho muisrael hapo Ghaza, Hamas wakisema tunaongeza siku tatu za ceasefire baada ya siku mbili hizi kwesha, israel lazima akubali maana wanajeshi wake bado wanamawenge ya mtanange wanaokutana nao hapo Gaza
 
Yaan currency yake NI dwaifu kuliko ya tanzania kwasababu ya vikwazo vya mataifa ya njee saiv anapiga kelele waarabu hawamjali tena Kwasababu Israel NI muhimu maramia kwao kuliko huyo Iran ,Israel NI ya 34 Kwa uchumi mzuri unafaa ufahamu hekima ya maskin haisikilizwi
Alokwambia IRAN ☫ maskini nani wewe kijana
Ulitaka ajibu vipi wakat alizitwanga kambi za Us pale IRAQ [emoji1131] au ulitaka arushe bomu nyuu yoki
 
Hahaaa
 
Iran Reginal power gan uliona wap maskin akawa Reginal power,angejib kipindi kile trump alikuwa madarakan alipouwawa suleman ,reginal power ukisema saud arabia ntakuambia Sawa na yeye akishajiunga na Israel Iran ameisha
Saudia na Iran hawa walishapatanishwa na mchina na wanaheshimiana vizuri tu.Na ndio maana suluhu ya amani ni dialogue. Ila ktk maeneo yote waliyocompete iran yote amewashinda wasaudia. Ila ni ukweli kwa utajiri saudia ni tajiri anawazidi wote israel na iran ila kwa technolojia yuko nyuma ya wote hao
 
Kipindi hao uwamsho wanawekwa ndani serikali zote za Tz na Zanzibar zilikuwa chini ya uongozi wa hao hao waisilamu unao sema wanapenda vurugu, sasa sijui kwann hawakuwaacha maana na wao nadhani walikuwa wanafurahia hizo vurugu kwa sababu ni waisilamu.

Acha chuki za kifala mtu haitaji kuwa dini fulani ili awe muuwaji , hata hapa Tz matukio mengi ya mauaji tanatokea sehemu zenye wagaratia wenzio wengi na sio yenye waisilamu wengi.

Na kuanzia leo unatakiwa kutambua ya kuwa % 80 ya mauaji ambayo yalishafanyika hapa duniani yamefanywa na wagaratia wenzio.
 
Wewe hata huelewi hizo kopi na pesti zako alizoziandika nai. Ujinga huo.

Leo kikosi kile cha siri kabisa cha Wapalestina kimejitokeza kwa mara ya kwanza toka waanze kubadilishana mateka, ni maajabu. Mpaka saa hizi huko Uyahudi mavi debe.
 
Israel Hana miaka mingi Sana atakuwa ni taifa linalotegemewa kiukanda ,yaan kiufupi shiling yetu ya Tanzania inanguvu kuliko fedha ya Irani,yaan Iran alikuwa anashawishi wenzake wasifanye biashara na Israel kuna aliyemsikiliza? Mataifa kama UAE & bharein wamepatana na Israel pasipo kulazimishwa na mtu yeyote na mataifa tajir kwenye ukanda wewe unazan wameona nin?
 
Hao wajomba zake mungu wako, au sivyo?
 
Acha ujinga, usijititimue na ela ambazo haizwezi kuvuka boda. Linganisha uchumi wako na wa iran wepi upo juu

Iran inatengeneza mpaka hypersonic missiles ambozo marekani imeahindwa alafu wewe mjinga unakuja kulinganisha irani na vitu vya kijinga. Idiot

Iran Wamewekewa vikwazo chungu mzima ili kuwadhoofisha lakini lakini wawekaji vikwazo wamebaki wakishanga maendeleo yanayopigwa na Iran. Iran imeingia ktk orodha ya nchi chache zenye uwezo wa kuunda saterati na kuziweka angani. Israel na kakayake USA wanaishi kubweka tu kwa kuitishaia kuishambulia. Dogo acha kabisha kulinganisha iran na ujinga
 
Vita haitokwisha ikiwa maayuni wataendelea kushikilia ardhi ya Wapalestina na wenye ardhi wao kuwaweka kambi za mateso.

Hapo ndipo wapenda haki wote walipaswa kuwa upande wa HAMAS. Hapo wala haikuhitaji dunia nzima bali hata nchi moja tu ya kiungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…