Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Acha kuchimba mikwara...Mnachokitafuta mtakipata.
Watu wana miaka 30 hawa amini kwenye Mungu na wana kula good time maisha safi, maisha Classic.
Ninyi waamini Mungu ni maskini choka mbaya, kazi kukesha makanisani kutwa kucha mkisali na kupayuka " Napokea Napokea Napokea"
Mwisho wa siku mnapokea umaskini.
Mme aminishwa kwamba Hazina zenu zipo mbinguni 😂😂😂😂
Hamjiulizi kwamba kama hazina zenu ni mbinguni kwa nini hamku umbwa muishi mbinguni?
Kwa nini tuliumbwa duniani kama hazina zetu ni mbinguni?
Kama Hatupaswi kujiwekea Hazina duniani, Hazina hizi ziliumbwa kwa ajili ya nani?
Amkeni amkeni....!!!!