Kabisa kaka, chamsingi tuwe na ile 'religious tolerance' tuvumiliane mitazamo yetu tuishi kwa amani.
Nchi zisizo fungamana na dini yeyote ile ndio most peaceful country na nchi zenye furaha.
Rejea ripoti ya "world happiest countries" nchi nyingi ni ambazo wakazi wake ni Atheists na wengine hawa amini kwenye dini. Finland, Denmark, Netherland, Sweden, Norway, Switzerland, Luxembourg na Iceland.
Njoo sasa kwenye nchi zinazo jifanya kumjua Mungu ndio zina ongoza kwa Vita, mauaji, umaskini, ukandamizaji wa haki za binadamu, ukatili, mateso na wananchi wake hawana furaha.
Na nchi hizo nyingi ni kutoka Afrika na Asia. Mifano ni mingi angalia nchi za Afghanistan, Israel & palestina, Yemen, Pakistan, Iraq, Iran suadi Arabia n.k
Angalia nchi za Afrika kama Somalia, Sudan n.k
Yaani nchi zenye dini na kujifanya kumjua sana Mungu ndio nchi zenye maendeleo duni na Umaskini mkubwa sana kwa raia wake.