Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Acha kuchimba mikwara...Mnachokitafuta mtakipata.
Hahahaaa huwezi sema wewe umetokea wapi,na ni wewe ambaye huna ujualoWewe ukiweza kusema Mungu katokea wapi na mimi nitaweza kukujibu bila hivyo hakuna unalojua .
Hahahaha uelewa wako mdogo,kwamba Mungu aliposema anateremsha maji mawinguni ulidhani anamimina toka kwenye mapipa!...aliposema katuumba kwa hatua kwenye matumbo ya mama zetu ninkwamba Yuko bize na vidole vyake anachanganya mambo tumboni!?..fikiri😂Kutojua doesn't mean god did it...ukishaelewa hivi bac...watu walisema mvua ni maji kutoka mbinguni yanamwagwa na Mungu mbona Leo Hadi watoto wa primary wanajua how rain is formed hili Chaka la kumficha Mungu linazidi kupungua day by day tu
Biblia ni sawa na Hekaya za Abunuwasi au Hekaya za Alfu Lela ulelakwa kweli majibu ya utafiti wangu yako sahihi kwamba biblia na vitabu vingine vya dini vimejaa visa vya kubuni na hadithi za vitu vya kusadikika.anaenipinga anipinge kwa hoja sasa mke wakaini alitoka wapi hapo? wakati biblia au quran inatuaminisha Adam na hawa ni watu wakwanza kuumbwa?
Wewe unayejua, Eleza na thibitisha Mungu alitokea wapi?Hahahaaa huwezi sema wewe umetokea wapi,na ni wewe ambaye huna ujualo
Wewe tangu umemtafuta huyo Mungu ushawahi kumpata?Mnachokitafuta mtakipata.
Genius wewe!hii itazua taharuki
ila nakumbuka mwalimu wangu wa bible knowledge kasomea theology alikua anatuambia kuna nadharia kwamba adam na hawa walikua na watoto wengine wa kike, lakini tamaduni za kipindi kile watoto wa kike walikua hawahesabiwi ndo maana hawajazungumziwa....
hata mtoto wa yakobo, dinah hakuzungumziwa sana kama mnakumbuka na wala hawakusema kama alipewa ardhi kule kwenye nchi ya ahadi
kiufupi bibilia ya agano la kale inakandamiza sana wanawake
lakini uhalisia ni kwamba kuanzia mwanzo 1-11 ni hadithi za kutungwa, sema hii itakua ngumu kwa wanaoamini kuelewa
KAINI NA Abel walikuwa 2 tu, hao laki 6 hiyo story nyingine, jibu swali, huyo aliyebaki alipata wapi mke?Idadai ya Waisrael wakati wanatoka utumwani Misri kwenda Nchi ya Kaanani, walikuwa watu laki 6, bila kuhesabu wanawake na watoto
Yesu aliwalisha kwa samaki mmoja na mikate mitano watu elfu tano, bila kujali wanawake na watoto
Sijui kama nitakuwa nimejibu swali lako
Thibitisha kwanza kuwa wewe imetokea tu hukuumbwa...ntakuonesha Mungu alikotokeaWewe unayejua, Eleza na thibitisha Mungu alitokea wapi?
Na huko aliko tokea, kulitoka wapi na kuumbwa na nani?
Hayupo wa kuniangalia. Ndio maana wewe pia unaandika kwamba inawezekana. Sasa nikupe uhakika haiwezekani kwa sababu hawapo mahala popote, sio kwenye mawazo wala kwenye uhalisia, hawapo na hawajawahi kuwepo.Inawezekana hayupo kwenye mawazo yako na inawezekana wapo wanakuangalia, mmoja anafurahi mwingine anasikitika.
👍Hahahaaa huwezi sema wewe umetokea wapi,na ni wewe ambaye huna ujualo
Habari zenu,
Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:
"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."
Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?

Nimesoma ila nilichoona ni kuwa ulikwepa hoja badala ya kujibu swali mara sijui ili kujadili chanzo cha Mungu inabidi kwanza mtu akubali kama huyo Mungu yupo, hiyo inahusiana nini wakati wewe unayeamini kwamba kuna Mungu kwa kigezo cha kwamba kila kilichopo lazima kiwe na chanzo chake, ndio unatakiwa ueleze chanzo chake ni kipi kabla ya kumshawishi kwanza huyo mtu kwamba Mungu yupoKarudie kusoma Tena uelewe,yaani soma nilichoandika siyo alichoandika mwenzio katika imani
Mwandishi alijichanganya, subiri tutafanya marekebisho.Habari zenu,
Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:
"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."
Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Adamu na Hawa walizaa mapacha wa kwanza ambapo alikua Ni kain na Dada ake baada ya hapo wakazaliwa mapacha wengine ambao n habili na Dada akeHabari zenu,
Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:
"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."
Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Quran ni zaidi, kifupi hivyo vitabu ni masela flani walikaa chini wakaunda maneno.Biblia ni hadithi za kutungwa sawa na Hekaya za Abunuwasi au riwaya za kusisimua za joka la Mdimu.
Bible is a Fairytale, Mythology, Fictional book.
Kwamba Kaini alipokimbia alikimbia na dada yake?Adam na Eva waliiwahi kuzaa watoto wa kike pia, ila hawakutajwa kwenye Biblia na mmoja wao ndiyo huyu aliyekuja kuolewa na Kaini. Walikuwa wanaruhusiwa kuoana mtu na dada yake
Ukiichimba ya Kiislam ndo utachana kabisa lile jarida.Biblia inajichanganya kwenye Adam kubwa mtu wa kwanza,maana Inasema baada ya Adam kufukuzwa edeni,huko walikoenda wakakuta watu,sishangai wazungu kukataa dini,ukiichimba Imani ya kikiristo sharti uone kizunguzungu
Hahahaha utachanganyikiwa wewe.Wanaoamini QUR'AN imetoka kwa Mungu Wana uthibitisho