Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Yaani wewe ni kama mchezaji anakaribia kufunga goli afu anajikosesha...yaani contradiction umeona kabisa ila unaifumbia macho...haya bana..mjinga sio mimi
Sasa si uandike hapa hiyo contradiction na wengine waione
 
Si unaona sasa majibu yenu
Mm nimejibu kama mtaalamu wa historia za kale za binadamu na sio mwanadini au mfia dini.
Na nilikua namjibu mleta mada ,,swali alilouliza kuhusu Adamu wa kwenye torati ya wayahudi.
NB : HATUBISHANI BALI TUNAJADILIANA
 
Gen 4:7Cain knew his wife. Cainโ€™s wife obviously was one of Adamโ€™s later daughters (5:4). By Mosesโ€™ time, this kind of close marriage was forbidden (Lev. 18:7โ€“17), because of genetic decay. Enoch. His name means โ€œinitiation,โ€ and was symbolic of the new city where Cain would try to mitigate his curse.
 
Thibitisha kwamba hukuumbwa,ueleze ulikotokea
Nimesha kwambia hivi ๐Ÿ‘‡

Binadamu hatuja umbwa.

Tumezaliwa kupitia baba na mama.

Na wao walizaliwa kupitia babu na bibi, hivyo hivyo tu endless.

,siyo unataka nikupe picha ya Mungu muumba
Ni kwa vile Hayupo.
unayemkataa wakati huwezi kunionesha ulikotokea
Bado hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Kama binaadam,nioneshe umetokea wapi,nitaacha kuamini juu ya Mungu muumba leoleo
Binadamu hajatokea popote pale.
Binadamu hana mwanzo wala mwisho.
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?takwimu za wanawake katika biblia hazikuchuliwa wala kuandikwa.ni wanaume na watoto wa kiume Adam na Eva walikuwa na watoto wa kike ila
 
Nimesha kwambia hivi ๐Ÿ‘‡

Binadamu hatuja umbwa.

Tumezaliwa kupitia baba na mama.

Na wao walizaliwa kupitia babu na bibi, hivyo hivyo tu endless.

Ni kwa vile Hayupo.

Bado hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Binadamu hajatokea popote pale.
Binadamu hana mwanzo wala mwisho.
Namaanisha binaadam wa kwanza ambaye wewe ndipo ulikotoka
 
kwa kweli majibu ya utafiti wangu yako sahihi kwamba biblia na vitabu vingine vya dini vimejaa visa vya kubuni na hadithi za vitu vya kusadikika.anaenipinga anipinge kwa hoja sasa mke wakaini alitoka wapi hapo? wakati biblia au quran inatuaminisha Adam na hawa ni watu wakwanza kuumbwa?
Utafiti wako umeufanyaje? Maana majibu yametolewa na ushahidi wa maandiko umewekwa sasa wewe njoo na uthibitisho wako wa kitafiti utuambie ni kwa vipi Biblia imejaa visa vya kubuni
 
Huyo anayesema Mungu muumba hayupo,atushawishi tunasema yupo kwa kutueleza yeye katokea wapi ili pasiwe na muumbaji
Vipi kama yeye akisema hajui na kumbuka kutokujua kwake hakukufanyi wewe kuwa sahihi au hakulifanyi jibu lako kuwa kweli kiasi cha kutaka akuamini bila uthibitisho, mfano Mtu anaweza asijue jibu la 1รท0 halafu wewe ukamuambia tu jibu ni 1 na akibisha unamuambia hatakiwi kubisha sababu hajui jibu kwahiyo akubaliane tu na hilo jibu lako ulilompa bila uthibitisho, kwa kifupi ni kwamba anayepinga uwepo wa Mungu hana jibu la nini chanzo cha mwanadamu na ulimwengu hivyo wewe mwenye jibu ndio uthibitishe hilo jibu lako
 
Namaanisha binaadam wa kwanza ambaye wewe ndipo ulikotoka
Hakuna binadamu wa kwanza.

Hayupo.

Ndio maana Duniani kuna watu wa aina tofauti tofauti, Wenye utofauti mbalimbali kwanzia kwenye DNA hadi kwenye muonekano wa nje.

Kama tungekuwa binadamu wote origin yetu ni moja, DNA zetu zingekuwa sawa.
 
Vipi kama yeye akisema hajui na kumbuka kutokujua kwake hakukufanyi wewe kuwa sahihi au hakulifanyi jibu lako kuwa kweli kiasi cha kutaka akuamini bila uthibitisho, mfano Mtu anaweza asijue jibu la 1รท0 halafu wewe ukamuambia tu jibu ni 1 na akibisha unamuambia hatakiwi kubisha sababu hajui jibu kwahiyo akubaliane tu na hilo jibu lako ulilompa bila uthibitisho, kwa kifupi ni kwamba anayepinga uwepo wa Mungu hana jibu la nini chanzo cha mwanadamu na ulimwengu hivyo wewe mwenye jibu ndio uthibitishe hilo jibu lako
Uthibitisho unakuwaje!?..unataka picha au!?
 
Hakuna binadamu wa kwanza.

Hayupo.

Ndio maana Duniani kuna watu wa aina tofauti tofauti, Wenye utofauti mbalimbali kwanzia kwenye DNA hadi kwenye muonekano wa nje.

Kama tungekuwa binadamu wote origin yetu ni moja, DNA zetu zingekuwa sawa.
So walitoka wapi ikiwa source yao si moja!?..mbona una arguments za kiwaki!?
 
Kutoka misri mpka Israel ni km 623, ila musa na genge lake walitembea miaka 40, wastani wa km 15 kwa mwaka ,sawa na km 125 kwa mwezi, saw na mita 42 kwa siku sawa na uwanja wa mpira wa miguu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Dah ila kuna watu humu kavu kweli,,, Eti musa na genge lake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom