Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Uelewe kwamba ni taifa zima wako safarini, vijana, wazee, watoto wachanga na mifugo na mali zao hata miaka 100 wanaweza kutumia.

Wenzio hata atheists wanakubaliana na huu ukweli, kataa vitu vingine labda lakini suala la kutoka kwa Waisraeli Misri eti unanishauri nifuatilie Egyptian history, hivi wewe umefuatilie kweli Egyptian history ukaona hawaja document hiki kitu?
Acha kujikosha ,😂😂😂. Hamna kitu kuhusu Jews kuwa enslaved sijui plagues in Egypt sijui watoto wa kwanza kufa... fuatilia documentary zote za historia ya Egypt hautaona huu upuuzi...zaidi utaona story za mafarao wao na story za miungu Yao.
 
Attachments

  • Screenshot_20231027-061016.png
    Screenshot_20231027-061016.png
    132 KB · Views: 2
Unaposema kupitia babu na Bibi to endless una uhakika na ushahidi unao?
Au una force assumptions zako ziwe sahihi na fact 100%?
Na wewe unaposema tumeumbwa na Mungu una ushahidi na uhakika?

Au una force assumptions zako pia?
Hivi kama wewe mwenyewe hujijui umetokea wapi,...utaweza kujua alipotokea Mungu?
Kwanza na wewe umejuaje huyo Mungu yupo?

Ilhali wewe mwenyewe Hujijui ulipotokea.
Nadhani ni rahisi zaidi kujijua wewe kwanza,..
Mimi najijua nimezaliwa na baba na mama na wala haina ubishi hiyo.
.Kisha ndiyo uanze kuhoji Mungu katokea wapi.
Mungu huyo hayupo.
Mfano unaweza kujiuliza:-
Question_Scientifically,between sperms and Human being which was the first to appear,?
Hakuna binadamu wa kwanza.
Answer_Sperms are a part of human reproduction, so technically, human beings came first.

Sasa hapo unapaswa ujiulize kama scientifically Watu walianza kuwepo kabla ya reproduction,. then hao watu walitokea wapi while reproduction haikuwepo?
Na Mungu yeye alitokea wapi?

Hili swali mbona hamjiulizi pia?

Mkiulizwa mnaanza kusema mara Mungu yeye hayupo limited na time.
Unaweza ukajiuliza maswali kama hayo,..huenda moyo wako ukaelewa.
 
Hakuna cha kutunga. Kila kitu ni Halisia. Mwalimu wa wa theology alikueleza ukweli. Biblia katika mwanzo 5:1-2 inasema "Adamu alizaa wana wa kike na kiume". Mwanzo 6:1-2 pia inasema Wana wa "Wanadamu waliopoongezeka juu ya uso wa nchi, wana wa Mungu wakijitwalia wanawake miongoni mwao na wakazaa nao watoto"

Umeeleza vizuri na mwalimu wa theology alikueleza vizuri. Hawakuwa wanahesabu wanawake na pia wasingeweza kuandika majina ya watu wote wawe Bible Characters lakini baadhi ya maandiko nje ya Biblia"Abrahamic Texts" kama 'The book of Jubilee" kinaeleza mke wa Kaini alikuwa ni mmoja wa Dada yake yaani pacha wake aliyekuwa anaitwa "AWAN" na pia ndio chanzo cha kifo cha Habili kwani walimgombea Dada yao.
Kwingine Kote umeeleza vizuri lakini kifo cha Abeli sio kumgombea dada yao

Kaini alimwonea wivu Abeli maana sadaka za Abeli zilikubalika kwa Mungu lakini za Kaini hazikukubalika

Kwa wivu Kaini akamuua Abeli

Mwanzo 4:3-8
Biblia Habari Njema (BHN)
3. Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani,

4. naye Abeli akamtolea Mungu sadaka ya wazawa wa kwanza wa kondoo wake na nyama nono. Mwenyezi-Mungu akapendezwa na Abeli na tambiko yake,

5. lakini hakupendezwa na Kaini wala na tambiko yake. Basi, Kaini akakasirika sana na uso wake ukakunjamana.

6. Mwenyezi-Mungu akamwambia Kaini, “Kwa nini umekasirika, na kwa nini uso wako umekunjamana?

7. Je, ukitenda vyema hutakubaliwa? Na usipotenda vyema, basi, dhambi inakuvizia mlangoni; inakutamani, lakini unapaswa kuishinda.”

8. Baadaye, Kaini akamwambia Abeli nduguye, “Twende nje shambani” Basi, walipokuwa shambani, Kaini akamvamia Abeli nduguye, akamuua.
 
hii itazua taharuki

ila nakumbuka mwalimu wangu wa bible knowledge kasomea theology alikua anatuambia kuna nadharia kwamba adam na hawa walikua na watoto wengine wa kike, lakini tamaduni za kipindi kile watoto wa kike walikua hawahesabiwi ndo maana hawajazungumziwa....

hata mtoto wa yakobo, dinah hakuzungumziwa sana kama mnakumbuka na wala hawakusema kama alipewa ardhi kule kwenye nchi ya ahadi

kiufupi bibilia ya agano la kale inakandamiza sana wanawake

lakini uhalisia ni kwamba kuanzia mwanzo 1-11 ni hadithi za kutungwa, sema hii itakua ngumu kwa wanaoamini kuelewa
Hii itoshe kusema kwamba biblia imetungwa kwaajili ya wanaume, na hata sheria na amri kumi za mungu wametungiwa wanaume, sisi wanawake haituhusu.
 
Acha kujikosha ,😂😂😂. Hamna kitu kuhusu Jews kuwa enslaved sijui plagues in Egypt sijui watoto wa kwanza kufa... fuatilia documentary zote za historia ya Egypt hautaona huu upuuzi...zaidi utaona story za mafarao wao na story za miungu Yao.
Haya mkuu, fanya ujitungie na wewe mastori flani amazing uje ule kula vichwaaa
 
Biblia inajichanganya kwenye Adam kubwa mtu wa kwanza,maana Inasema baada ya Adam kufukuzwa edeni,huko walikoenda wakakuta watu
Hakuna sehemu inasema alipotoka nje ya Edeni alikutana na watu

Mwanzo 3:23-24 BHN
23. Basi, Mwenyezi-Mungu akamfukuza Adamu nje ya bustani ya Edeni, ili akailime ardhi ambamo alitwaliwa.

24. Alimfukuza nje, na kuweka mlinzi upande wa mashariki wa bustani ya Edeni na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia iendayo kwenye mti wa uhai
.
 
Kwingine Kote umeeleza vizuri lakini kifo cha Abeli sio kumgombea dada yao

Kaini alimwonea wivu Abeli maana sadaka za Abeli zilikubalika kwa Mungu lakini za Kaini hazikukubalika

Kwa wivu Kaini akamuua Abeli

Mwanzo 4:3-8
Biblia Habari Njema (BHN)
3. Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani,

4. naye Abeli akamtolea Mungu sadaka ya wazawa wa kwanza wa kondoo wake na nyama nono. Mwenyezi-Mungu akapendezwa na Abeli na tambiko yake,

5. lakini hakupendezwa na Kaini wala na tambiko yake. Basi, Kaini akakasirika sana na uso wake ukakunjamana.

6. Mwenyezi-Mungu akamwambia Kaini, “Kwa nini umekasirika, na kwa nini uso wako umekunjamana?

7. Je, ukitenda vyema hutakubaliwa? Na usipotenda vyema, basi, dhambi inakuvizia mlangoni; inakutamani, lakini unapaswa kuishinda.”

8. Baadaye, Kaini akamwambia Abeli nduguye, “Twende nje shambani” Basi, walipokuwa shambani, Kaini akamvamia Abeli nduguye, akamuua.
🤐Mpo serious kabisa na hizi hekaya
 
Hii itoshe kusema kwamba biblia imetungwa kwaajili ya wanaume, na hata sheria na amri kumi za mungu wametungiwa wanaume, sisi wanawake haituhusu.
😂 Si ndo hivyo nashangaa Mungu Gani mbaguzi...😂Lutu anataka kuwapa watoto wake bikra mtaa mzima wawabake afu ndo mtu mwema mtaa mzima...😂huyu Mungu huyu
 
Haya mkuu, fanya ujitungie na wewe mastori flani amazing uje ule kula vichwaaa
😂😂😂😂Siwezi...coz dini haipo hivyo...dini ni kuteka akili tu .. unamwambia mtu kuwa yeye ni mgonjwa na anahitaji dawa haraka Sana na hii ndo dawa Kama hutaki utaugua milele...that's religion...
 
Hakuna sehemu inasema alipotoka nje ya Edeni alikutana na watu

Mwanzo 3:23-24 BHN
23. Basi, Mwenyezi-Mungu akamfukuza Adamu nje ya bustani ya Edeni, ili akailime ardhi ambamo alitwaliwa.

24. Alimfukuza nje, na kuweka mlinzi upande wa mashariki wa bustani ya Edeni na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia iendayo kwenye mti wa uhai
.
😂😂Yaani hii story kadri navyozidi kukua naona ni utoto...so wait...hakukuwa na kifo ryt...so Simba alikuwa anakula majani tu au...na kifo by wat sense...cells zinakufa that's why tuna nywele na kucha...ooh wait...Mungu wa biblia hajasoma biology sorry...😂
 
Ulichoandika sijakuelewa mkuu
 
Sema wakristo na waislamu wa jamii forums Wana Imani kinoma yaani big up.
Unajua mtu wa dini wa kawaida wa mtaani hawezi kuona hizi point so anaishi akiamini dini yake haina makosa
😂😂Ili humu ndani point zote hizi kuonyesha dini ni za uwongo ila bado Kuna watu wanaamini seriously...mi nisingeweza kwa kweli... au wanatuaktia tu
 
😂😂Ni hekaya ndio...mtu ana miaka 600 anaingiza wanyama wote duniani kwenye boti dunia inajaa maji...nyoka na punda na kichaka kuongea ..😂😂fimbo kuwa nyoka...yaani imekaa ki Disney
Nani alikwambia aliingiza wanyama wote kwenye safina ilikuwa ni dume na jike tu kila aina ya wanyama, wadudu na ndege

Unafikiri kwa uwezo na nguvu za Mungu ambaye amekuumba wewe atashindwa kufanya miujiza kama hiyo?
 
Back
Top Bottom