Designer wa Lamborghini unaweza usimjue,... lakini akija mtu akikuambia Lamborghini haina Designer wake utamuona mjinga wa mwisho.
Artificial human,..AKA robots wapo, Unaweza usimjue Designer wa Robot husika,..lakini akija mtu akisema robots hazina Designer wake.,utamuona mjinga wa mwisho.
Hivi kwa akili tu ya kawaida,...unashindwa kujua kwamba inahitaji ujuzi mkubwa mno Kwa vitu kuwa kwenye balance hii tunayoiona kwenye Dunia,..?
Hapo ulipo hauwezi kuunda Brand new Car, watch, Mobile phone etc..,Kwasababu ujuzi huo huna.
Which is the same kwamba,.. hauwezi kuunda mtu, nyuki, sisimizi n.k Kwasababu ujuzi huo huna.
Brother,..Nakupa mifano rahisi ambayo hata layman anaelewa.
Ahsante.