SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
1. 😂tushasema "kiroho" ni Chaka ambalo mnajifichia Mkishindwa kueleweka na makosa yenu ya bibliaBiblia siyo gazeti na wala siyo kitabu cha kawaida cha 4+3= 7:
Ni kitabu chenye kofuli, codes za kiroho.
Unahitaji mtu afanye decoding kwa ajili yako au Mungu akufunulie uwezo kupata decodes kwa ajili ya ufahamu wako.
Katika Ulimwengu wa Mwili, basi ni kama Katiba. Katiba haiwezi kuwa na kila kitu.
2. 😂😂Biblia kutoeleweka Hilo sio tatizo langu...we mfano unaomba kazi afu unaandika barua Ina codes zaki "midimay"...muajiriwa asipokuelewa ni kosa lake au langu
3. 😂Huyo Mungu instead of kuchaguwa watu wake wawili wa mchongo wa kuwafungulia ambao wao wenyewe wanapishana ndo maana Kuna madhehebu buku kidogo...si angeandika kitabu Cha kueleweka. Au hawezi..
Conclusion bible is word of man claimed to be of god to control people.