Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Biblia siyo gazeti na wala siyo kitabu cha kawaida cha 4+3= 7:
Ni kitabu chenye kofuli, codes za kiroho.
Unahitaji mtu afanye decoding kwa ajili yako au Mungu akufunulie uwezo kupata decodes kwa ajili ya ufahamu wako.
Katika Ulimwengu wa Mwili, basi ni kama Katiba. Katiba haiwezi kuwa na kila kitu.
1. 😂tushasema "kiroho" ni Chaka ambalo mnajifichia Mkishindwa kueleweka na makosa yenu ya biblia
2. 😂😂Biblia kutoeleweka Hilo sio tatizo langu...we mfano unaomba kazi afu unaandika barua Ina codes zaki "midimay"...muajiriwa asipokuelewa ni kosa lake au langu
3. 😂Huyo Mungu instead of kuchaguwa watu wake wawili wa mchongo wa kuwafungulia ambao wao wenyewe wanapishana ndo maana Kuna madhehebu buku kidogo...si angeandika kitabu Cha kueleweka. Au hawezi..
Conclusion bible is word of man claimed to be of god to control people.
 
Uthibitisho unakuwaje!?..unataka picha au!?
Daah mkuu, lete Uthibitisho wowote ule unaoonesha kwamba chanzo cha mwanadamu na ulimwengu ni Mungu, mbona unazunguka sana wakati swali rahisi tu hilo
 
Daah mkuu, lete Uthibitisho wowote ule unaoonesha kwamba chanzo cha mwanadamu na ulimwengu ni Mungu, mbona unazunguka sana wakati swali rahisi tu hilo
Ndiyo maana nikauliza kwako uthibitisho ni nini,sababu,siyo pekee tangy bali wengi washaeleza jwamba hindi ulimwengu na wewe ulivyo systematic,lazima paws na mhandisi wake,sasa wewe huoni huo uthibitisho ndiyo maana nikauliza unataka uthibitisho wa picha au vipi!?
 
Ndiyo maana nikauliza kwako uthibitisho ni nini,sababu,siyo pekee tangy bali wengi washaeleza jwamba hindi ulimwengu na wewe ulivyo systematic,lazima paws na mhandisi wake,sasa wewe huoni huo uthibitisho ndiyo maana nikauliza unataka uthibitisho wa picha au vipi!?
Sasa ndugu yangu si ndio tunarudi tena pale pale kwenye lile swali letu la mwanzo, kwamba mhandisi wa mwanadamu na ulimwengu naye mhandisi wake ni nani, ikiwa kila kitu lazima kiwe na mhandisi
 
Sasa ndugu yangu si ndio tunarudi tena pale pale kwenye lile swali letu la mwanzo, kwamba je huyo mhandisi wa mwanadamu na ulimwengu naye mhandisi wake ni nani, ikiwa kila kitu lazima kiwe na mhandisi
Nyuma ya hoja yako ni kwamba ulimwengu na walimwengu havina mhandisi,so ndiyo!?
 
Nani alikwambia aliingiza wanyama wote kwenye safina ilikuwa ni dume na jike tu kila aina ya wanyama, wadudu na ndege

Unafikiri kwa uwezo na nguvu za Mungu ambaye amekuumba wewe atashindwa kufanya miujiza kama hiyo?
Kila mmyama akawa anakula chakula gani kwa aina yake?
 
😂😂😂😂😂Plz usihamie uislamu... dini yenu inasema jua usiku linamfata Allah kumuomba ruhsa kuchomoza...😂hebu tukae na wabiblia kwanza we utaaibisha.
Okay,endeleeni Brother,...

Qur'an 25:63: "And the servants of the Most Merciful are those who walk upon the earth humbly, and when the ignorant address them [harshly], they say [words of] peace."
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Anamwongelea nyoka na binadamu nyoka atakung'ata na wewe utamuuwa kwa kuponda kichwa chake...acha kujitoa akili Kama mtoto wa nursery.
[emoji23][emoji23] Lengo la kufurika si kusafisha dunia.... mbona uovu uliendelea...so what's the point si angeacha tu...
[emoji23]Ehe what's ur defense ?
Ndio maana una kuta m bongo anakomaa kuua nyoka ata kama nyoka hana madhara yupo kwenye mishe zake ili kukamilisha unabii.
 
Unaambiwa nyoka akamwambia Hawa [emoji16][emoji16][emoji23] nyoka alikuwa anaongea bana kwahiyo waliongea lugha gan na kati ndo wametoka kuumbwa ? Na ilikuwaje nyoka akaacha kuongea na binadamu ikiwa laana yake hakuambiwa hatooongea???
Mbaya zaidi Mungu akajichelewesha makusudi kama police wa Tz ,mpaka Adam akala tunda , kaja mwishoni kabisa , akaanza kumtafuta Adam , Adamu akajificha ( mungu hakumwon ) akauliza adamu upo wap ? Akajibu nipo huku bwana .
 
😂😂😂Ni utabiri wa Yesu au...yaani ni sawa kwenye infinity war waseme Thanos atakufa afu kwenye endgame afe...😂ndo maana nasema hauna la maana...Ile ni storybook so of course lazma ijitabirie mbeleni kukoje na itimize...na Kuna contradictions nyingi kwenye story ya Yesu kwa sababu ya hizo forced prophesies.. Mara kaenda Egypt Mara Jerusalem Mara mama bikra Mara haitajwi Mara uzao wa Solomon Mara Nathan...yote haya coz wameforce kutimiza maandiko ambayo mengine yalikuwa hata hayamhusu Yesu.
Leta tabiri iliyotabiriwa ndani halafu nje ya bible ikatokea
Hilo fungu hata halihusiani na yesu, umenambia nikutajie fungu alaf hata hujasumbuka kulisoma, ina maanisha nikikuwa sahihi, nyie watu mshajitengenezea kuta, hamtaki tena kuamini, mi naelewa kwasababu nilikuwa kama wewe.

This conversation is over.
 
Biblia sio kitabu cha sayansi

Ila kipo sahihi kwenye mambo machache ya kisayansi ambayo hata wanadamu hawakuyafahamu mwanzoni

Nikupe mfano mmoja tu Biblia ilishasema kitambo dunia ni duara wakati ambapo wanasayansi walikuwa wakiamini duniani si duara

Isaya 40:22 SRUV
Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia
Vp kuhusu yoshua kusimamisha jua ?
 
Nyuma ya hoja yako ni kwamba ulimwengu na walimwengu havina mhandisi,so ndiyo!?
Hoja yangu ni kwamba haijalishi vina mhandisi au havina, siyo lazima huyo mhandisi awe Mungu au apewe jina la Mungu, au kuabudiwa na kupewa sifa lukuki ambazo hazina uhalisia
 
Hoja yangu ni kwamba haijalishi vina mhandisi au havina, siyo lazima huyo mhandisi awe Mungu au apewe jina la Mungu, au kuabudiwa na kupewa sifa lukuki ambazo hazina uhalisia
Are you ok upstairs son!?
 
Kuna baadhi ya maandiko katika Biblia ambayo yanapingana.

1. Kuhusu jinsi ya kuwaokoa watu:
- Yakobo 2:24: "Basi mnaona ya kuwa mwanadamu huhesabiwa haki kwa matendo, si kwa imani peke yake."
- Waefeso 2:8-9: "Maana kwa neema mmeokolewa, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu."

2. Kuhusu namna ya kumtazama Mungu:
- Kutoka 33:20: "Akasema, hutaweza kuuona uso wangu; kwa kuwa mwanadamu hataweza kuniona, akawa hai."
- Mathayo 5:8: "Heri walio safi wa moyo, maana hao watamwona Mungu."

3. Kuhusu kuchukua maisha ya wengine:
- Kutoka 20:13: "Usiue."
- 1 Samweli 15:3: "Basi sasa, enenda ukampige Amaleki, utiwe jivu kwa moto yote."

Tusimame na lipi?
 
Are you ok upstairs son!?
Umeshindwa kuthibitisha juu ya uwepo wa Mungu halafu unaniuliza if I am okay, kweli wonders shall never end, hivi unahisi kati ya mimi na wewe nani atakuwa wa kwanza kuwa doubted kama yuko okay upstairs
 
Aya zinazopingana ndani ya Qur'an.

1. Aya za Utumwa:
- Qur'an ina aya zinazohimiza watumwa kutendewa kwa haki (Qur'an 24:33), lakini pia ina aya ambazo zinaelezea jinsi watumwa wanavyoweza kununuliwa na kumilikiwa (Qur'an 2:178).

2. Aya za Amani na Vita:
- Qur'an inatoa maelekezo juu ya amani na uvumilivu (kwa mfano, Qur'an 8:61), lakini pia ina aya ambazo zinazungumzia vita na kujihami (kwa mfano, Qur'an 9:29).

3. Aya za Dini na Ushirikina:
- Qur'an inasisitiza Tawhid (umono wa Mungu mmoja) na kukataza ushirikina (Qur'an 112:1-4), lakini pia ina aya zinazoelezea jinsi ya kuwaadhibu washirikina (kwa mfano, Qur'an 9:5).
 
Idadai ya Waisrael wakati wanatoka utumwani Misri kwenda Nchi ya Kaanani, walikuwa watu laki 6, bila kuhesabu wanawake na watoto
Yesu aliwalisha kwa samaki mmoja na mikate mitano watu elfu tano, bila kujali wanawake na watoto
Sijui kama nitakuwa nimejibu swali lako
Hili ndo jibu sahihi.
 
Back
Top Bottom