Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yaani wewe ni kama mchezaji anakaribia kufunga goli afu anajikosesha...yaani contradiction umeona kabisa ila unaifumbia macho...haya bana..mjinga sio mimi
Sasa si uandike hapa hiyo contradiction na wengine waione
 
Si unaona sasa majibu yenu
Mm nimejibu kama mtaalamu wa historia za kale za binadamu na sio mwanadini au mfia dini.
Na nilikua namjibu mleta mada ,,swali alilouliza kuhusu Adamu wa kwenye torati ya wayahudi.
NB : HATUBISHANI BALI TUNAJADILIANA
 
Why Mungu katokea jamii moja jangwani afu kaacha kutokea wengine miaka yote hii? Why tuamini Mungu wao wa ukweli na wetu wa uwongo?
Huyo ni Mungu wa wayahudi na torati yao na mapokeo yao
Na wewe si una imani yako ya kibantu?
Bas ifuate hiyo
 
Gen 4:7Cain knew his wife. Cain’s wife obviously was one of Adam’s later daughters (5:4). By Moses’ time, this kind of close marriage was forbidden (Lev. 18:7–17), because of genetic decay. Enoch. His name means β€œinitiation,” and was symbolic of the new city where Cain would try to mitigate his curse.
 
Thibitisha kwamba hukuumbwa,ueleze ulikotokea
Nimesha kwambia hivi πŸ‘‡

Binadamu hatuja umbwa.

Tumezaliwa kupitia baba na mama.

Na wao walizaliwa kupitia babu na bibi, hivyo hivyo tu endless.


,siyo unataka nikupe picha ya Mungu muumba
Ni kwa vile Hayupo.
unayemkataa wakati huwezi kunionesha ulikotokea
Bado hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Kama binaadam,nioneshe umetokea wapi,nitaacha kuamini juu ya Mungu muumba leoleo
Binadamu hajatokea popote pale.
Binadamu hana mwanzo wala mwisho.
 
 
Namaanisha binaadam wa kwanza ambaye wewe ndipo ulikotoka
 
Utafiti wako umeufanyaje? Maana majibu yametolewa na ushahidi wa maandiko umewekwa sasa wewe njoo na uthibitisho wako wa kitafiti utuambie ni kwa vipi Biblia imejaa visa vya kubuni
 
Huyo anayesema Mungu muumba hayupo,atushawishi tunasema yupo kwa kutueleza yeye katokea wapi ili pasiwe na muumbaji
Vipi kama yeye akisema hajui na kumbuka kutokujua kwake hakukufanyi wewe kuwa sahihi au hakulifanyi jibu lako kuwa kweli kiasi cha kutaka akuamini bila uthibitisho, mfano Mtu anaweza asijue jibu la 1Γ·0 halafu wewe ukamuambia tu jibu ni 1 na akibisha unamuambia hatakiwi kubisha sababu hajui jibu kwahiyo akubaliane tu na hilo jibu lako ulilompa bila uthibitisho, kwa kifupi ni kwamba anayepinga uwepo wa Mungu hana jibu la nini chanzo cha mwanadamu na ulimwengu hivyo wewe mwenye jibu ndio uthibitishe hilo jibu lako
 
Namaanisha binaadam wa kwanza ambaye wewe ndipo ulikotoka
Hakuna binadamu wa kwanza.

Hayupo.

Ndio maana Duniani kuna watu wa aina tofauti tofauti, Wenye utofauti mbalimbali kwanzia kwenye DNA hadi kwenye muonekano wa nje.

Kama tungekuwa binadamu wote origin yetu ni moja, DNA zetu zingekuwa sawa.
 
Uthibitisho unakuwaje!?..unataka picha au!?
 
Hakuna binadamu wa kwanza.

Hayupo.

Ndio maana Duniani kuna watu wa aina tofauti tofauti, Wenye utofauti mbalimbali kwanzia kwenye DNA hadi kwenye muonekano wa nje.

Kama tungekuwa binadamu wote origin yetu ni moja, DNA zetu zingekuwa sawa.
So walitoka wapi ikiwa source yao si moja!?..mbona una arguments za kiwaki!?
 
Kutoka misri mpka Israel ni km 623, ila musa na genge lake walitembea miaka 40, wastani wa km 15 kwa mwaka ,sawa na km 125 kwa mwezi, saw na mita 42 kwa siku sawa na uwanja wa mpira wa miguu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah ila kuna watu humu kavu kweli,,, Eti musa na genge lake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…