Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Unataka kutuambia kuwa, Yesu hakutambua wanawake na watoto?
Ina onekana Yesu huyo alikuwa ana bagua wanawake na watoto.

Yesu alifanya Gender discrimination.

Halafu eti ndio wanadai alihuburi upendo..πŸ˜„
 
Anakupotezea muda wako huyo. Analazimisha ubishi tu. Hoja nyingi tulishazijibu sasa anaruka ruka tu.
Umejibu nini wewe?

Nakwambia hivi Biblia yenu hiyo imejaa ma Contradiction ya kutosha nimekupa mifano hujajibu umekimbia.

Halafu unasema umejibu hoja..!!!
 
Mke wa kwanza wa Adam ni Lilith na siyo Eva/Hawa. Walipokorofishana na Lilith kuondoka ndipo akaja Eva
Kwamba Adam hakuwa mpweke Eden,Mungu hakumuumba eve kwa ubavu wa Adam!?..umeona mkanganyiko!?
 
Genesis 4:16-17
 
Mbona simple,naona unazunguka sana. Turudi hapa⬇️
Hivi kwa akili tu ya kawaida,...unashindwa kujua kwamba inahitaji ujuzi mkubwa mno Kwa vitu kuwa kwenye balance hii tunayoiona kwenye Dunia,..?

Hapo ulipo hauwezi kuunda Brand new Car, watch, Mobile phone etc..,Kwasababu ujuzi huo huna.
Which is the same kwamba,.. hauwezi kuunda mtu, nyuki, sisimizi n.k Kwasababu ujuzi huo huna.

Inashangaza kama unashindwa ku acknowledge uwepo wa MJUZI(Designer wa punje ya harage πŸ‘Š...
 
Jua kuzama matopeni ikoje hiyo?
Mudi kupasua mwezi vipande viwili ikoje?
Sawa,..Hakuna Aya ya Qur'an inayozungumzia kwamba jua linazama na kuchomoza kwenye matope.
Bali Qur'an inasema hivi kuhusu jua na mwezi... ⬇️
The Quran mentions in Surah Ya-Sin (36:40): "It is not for the sun to overtake the moon, nor does the night outstrip the day. They all float, each in an orbit." This verse is often cited in discussions about celestial bodies and their orbits.


Kuhusu mwezi kupasuka mbona simple,...kama Muumbaji aliweza kuuumba mwezi at first, kwanini ashindwe kuupasua sasa? au shida ipo wapi hapo
 

Alimuoa ndugu yake wewe unafikiri ni kaini na abeli tu ndo walikuwa Watoto wa Adamu
 
Kwamba Adam hakuwa mpweke Eden,Mungu hakumuumba eve kwa ubavu wa Adam!?..umeona mkanganyiko!?
Kuna story mbili hapo....Kuna Mungu kuumba wote at the same time afu Kuna hio ya Eva. Mhuni aliyoandika genesis akazichanganya zote... fuatilia biblical historians wanaelezea hata kwenye Noah pale Kuna story mbili ..ukizitenganisha unaona kabisa inaflow bila contradictions...πŸ˜‚ndo kitabu hicho tutafanyaje
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Again car watch phone Sina ujuzi ila wapo wenye ujuzi na wewe wanaweza kukufundisha na ukatengeneza pia kwani mtu anazaliwa anajua?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Balance gani
Kuna ma disaster kibao
Magonjwa kibao
Cancer kwenye watoto.
Jua lenye mionzi mikali
Meteors zimeanguka duniani Mara kibao
Kuna balance gani hapo ...
πŸ˜‚Plus huyo Mungu wako....source yake ni nani? Kaumbwa na nani? Katokea wapi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Plz usihamie uislamu... dini yenu inasema jua usiku linamfata Allah kumuomba ruhsa kuchomoza...πŸ˜‚hebu tukae na wabiblia kwanza we utaaibisha.
 
[emoji23] Si ndo hivyo nashangaa Mungu Gani mbaguzi...[emoji23]Lutu anataka kuwapa watoto wake bikra mtaa mzima wawabake afu ndo mtu mwema mtaa mzima...[emoji23]huyu Mungu huyu
Ubaguzi wake ni nini?.Ingekua ni ubaguzi angeumba watu wa jinsia moja.Hayo mengine ni mienendo tu ambayo ipo kila mahali.Hatuwezi kua sawa kwenye kila kitu ndo maana wewe uko tofauti na mwingine.Kuna nyumba za ibada wanawake hawakai pamoja na wanaume je nayo ni ubaguzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]Ni hekaya ndio...mtu ana miaka 600 anaingiza wanyama wote duniani kwenye boti dunia inajaa maji...nyoka na punda na kichaka kuongea ..[emoji23][emoji23]fimbo kuwa nyoka...yaani imekaa ki Disney
Gharika haikunyesha hadi uko kwako.Ukiambiwa dunia maana yake ni kule mashariki ya kati.Ata biblia imeandika stori zote zinazowahusu wao kuwakilisha wanadamu wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia siyo gazeti na wala siyo kitabu cha kawaida cha 4+3= 7:
Ni kitabu chenye kofuli, codes za kiroho.
Unahitaji mtu afanye decoding kwa ajili yako au Mungu akufunulie uwezo kupata decodes kwa ajili ya ufahamu wako.
Katika Ulimwengu wa Mwili, basi ni kama Katiba. Katiba haiwezi kuwa na kila kitu.
 
Mimi namuamini MUNGU lakini kila mtu aombe kwa njia zake, haiwekani wazungu na waarabu watese na kuua babu zetu alafu hao hao wakuoneshe njia ya kwenda mbinguni hii haiingii akilini... Dini zinafungama na utamaduni na kila mwenye dini yake ana maendeleo kinyume na sisi tuliocopy dini za watu..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ishu sio kukaa pamoja ishu ni why Mungu mpenda wote awe mbaguzi, aruhusu unyanyasaji, utumwa, mauaji etc....huyu Mungu ni reflection ya Tabia za jamii waliyomtunga. Kuna mstari unasema vilema cjui wasiingie kanisani ...wat the f is that asa.
 
Hatukucopy mkuu tulipagawishwa na ukoloni na utumwa
 
Lengo la nasa nikumfikia Mungu.Soma kisa chote ukielewe,kwasababu hicho kisa kina mengi ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Usizuge...this proves bible lacks knowledge... πŸ˜‚Na hata waliojenga mnara hawakutaka kumfikia Mungu walitaka kufikia mawinguni...Mungu wa mawinguni ambae saa hivi kahama coz kila siku tunapita na ndege hatumuoni...ndo akapanic...πŸ˜‚all in all ni katuni
 
Gharika haikunyesha hadi uko kwako.Ukiambiwa dunia maana yake ni kule mashariki ya kati.Ata biblia imeandika stori zote zinazowahusu wao kuwakilisha wanadamu wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Eti kuwakilisha ...mbona visingizio kibao....so wanyama wakichukuliwa wa huko huko sio...πŸ˜‚wapi bible imesema bana mvua itanyesha hapa mpaka hapa sio dunia nzima...πŸ˜‚acha kutetea katuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…