Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Umeshindwa kuthibitisha juu ya uwepo wa Mungu halafu unaniuliza if I am okay, kweli wonders shall never end, hivi unahisi kati ya mimi na wewe nani atakuwa wa kwanza kuwa doubted kama yuko okay upstairs
Uliposema anaweza kuwepo mhandisi lakini hapaswi kuabudiwa,nikajua una slots upstairs boy..we endelea tu na shughuli zako,unanichosha tu
 
Kwa hiyo wewe ukitengeneza kitu Inakupa sifa ya kuitwa wewe ni Mungu?
Mjadala kwa wasiofikiri ndo unakuwepo,huwezi kwenda mfugale interchange,ukute site za kupitia na taa za kuingozea magari halafu useme mfugale imetokea tu hakuna aliyeiplan na kuijenga
 
Ndiyo maana nikauliza kwako uthibitisho ni nini,sababu,siyo pekee tangy bali wengi washaeleza jwamba hindi ulimwengu na wewe ulivyo systematic,lazima paws na mhandisi wake,sasa wewe huoni huo uthibitisho ndiyo maana nikauliza unataka uthibitisho wa picha au vipi!?
😂😂😂Hizi ni claims...mtu anaweza sema the moon is made up of cheese...doesn't mean Yuko sahihi just because me n u hatujaenda mwezini kuprove false...cjui unanielewa. The answer is we don't know..na hata Kama Kuna mhandisi..sisi hatuna shida..ila tuna shida na dini zinavyoruka from ujinga uo to mambo ya mhandisi wa ulimwengu kujali unamwaga shimo gani ukilalana
 
Ndio maana una kuta m bongo anakomaa kuua nyoka ata kama nyoka hana madhara yupo kwenye mishe zake ili kukamilisha unabii.
😂😂😂Asa mbona unachanganyikiwa...so before that watu walikuwa hawaui nyoka au...lemme tell u something Ile ni story na jamii zamani iliview nyoka Kama kiumbe hatari na mbaya ndo maana walimpa hiyo character... na pia if u haven't noticed jamii za zamani zilibagua wanawake so it made sense dini nyingi from Adam n Eve, Pandora's box, epic of Gilgamesh shida na taabu za dunia zimesababishwa na mwanamke...
Ukianza kusoma dini zote ukaelewa in a cultural context...huwezi kuwa mjinga mjinga. Elewa the context
 
Hilo fungu hata halihusiani na yesu, umenambia nikutajie fungu alaf hata hujasumbuka kulisoma, ina maanisha nikikuwa sahihi, nyie watu mshajitengenezea kuta, hamtaki tena kuamini, mi naelewa kwasababu nilikuwa kama wewe.

This conversation is over.
😂Sema utabiri huo tuuskie mbona unakimbia mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Asa mbona unachanganyikiwa...so before that watu walikuwa hawaui nyoka au...lemme tell u something Ile ni story na jamii zamani iliview nyoka Kama kiumbe hatari na mbaya ndo maana walimpa hiyo character... na pia if u haven't noticed jamii za zamani zilibagua wanawake so it made sense dini nyingi from Adam n Eve, Pandora's box, epic of Gilgamesh shida na taabu za dunia zimesababishwa na mwanamke...
Ukianza kusoma dini zote ukaelewa in a cultural context...huwezi kuwa mjinga mjinga. Elewa the context
Kabisa mkuu tena ilipaswa wanawake wawe wakwanza kukataa haya ma vitu.
 
 
Hahh[emoji1787],..hapana usikate tamaa Designer ni msamehevu mno...huenda akatusamehe wewe na Mimi, twende tukastarehe Kwa bikra na vitu vingine vizuri ambavyo macho hayajawahi hata ku imagine kama vipo.

Au hutaki bikra za peponi,..unataka uende kusifu tu. Hahh
Bikra utazipatia wap wakati mwili utakua umeoza na kuisha kabisa. Au ndio abunuasi nyingne tena za mwili mpya?
 
▪ “Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, mke wa Kaini alitoka wapi?” Ingawa mara nyingi wachambuzi wa Biblia huuliza swali hilo ili tu kuwavuruga watu, Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa.

Katika Mwanzo sura ya 3 na ya 4 tunapata habari zifuatazo: (1) Hawa alikuwa “mama ya kila mtu anayeishi.” (2) Muda fulani ulipita kuanzia wakati Kaini alipozaliwa mpaka wakati alipotoa dhabihu ambayo ilikataliwa na Mungu. (3) Baada ya kufukuzwa na kuwa “mwenye kutanga-tanga na mkimbizi,” Kaini alikuwa na wasiwasi kwamba huenda ‘mtu yeyote akakutana naye’ na kujaribu kumuua. (4) Mungu aliweka ishara ya kumlinda Kaini, jambo lililoonyesha kwamba ndugu au dada zake, au watu wengine wa ukoo wangejaribu kumuua. (5) “Baadaye” Kaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.

Kutokana na habari hizo, tunaweza kusema kwamba mke wa Kaini, ambaye haijulikani alizaliwa wakati gani, alikuwa mzao wa Hawa. Andiko la Mwanzo 5:4 linasema kwamba katika miaka 930 ambayo Adamu aliishi, ‘alizaa wana na mabinti.’ Bila shaka, Biblia haisemi waziwazi kwamba mke wa Kaini alikuwa binti ya Hawa. Hata hivyo, kwa kuwa mke wa Kaini anatajwa baada ya Kaini kufukuzwa, jambo hilo linaonyesha kwamba wakati wa kutosha ulikuwa umepita na angeweza kuwa mmoja wa wajukuu wa Adamu na Hawa. Kwa hiyo, tafsiri ya Biblia The Amplified Old Testament inasema tu kwamba mke wa Kaini alikuwa “mmoja wa watoto wa Adamu.”

Mfafanuzi wa Biblia wa karne ya 19 Adam Clarke, alionelea kwamba hatua ya Mungu ya kuweka ishara kwa sababu Kaini aliogopa kuuawa, ilitokana na kuwapo kwa vizazi kadhaa vya wazao wa Adamu—vizazi vingi vya kutosha “kuanzisha vijiji kadhaa.”

Wazo la kwamba Kaini alimwoa dada yake au mzao wa baadaye wa Adamu kupitia mmoja wa wana au mabinti zake, ni jambo lisilokubalika katika jamii fulani leo. Sababu ni kuwa jamii hizo huliona hilo kuwa jambo lisilokubalika au huogopa kwamba litasababisha kasoro za kimaumbile. Hata hivyo, F. LaGard Smith anasema hivi katika kitabu The Narrated Bible in Chronological Order: “Inaelekea kwamba ndugu na dada hao wa karibu walioana ingawa ndoa kama hiyo ingeonekana kuwa jambo lisilofaa katika vizazi vya baadaye.” Inafaa kuzingatia kwamba ngono kati ya watu wa ukoo haikukatazwa waziwazi mpaka Musa alipopokea sheria za Mungu kwa ajili ya taifa la Israeli mwaka wa 1513 K.W.K.—Mambo ya Walawi 18:9, 17, 24.

Leo, maelfu ya miaka imepita tangu wazazi wetu wa kwanza wapoteze ukamilifu wao. Huenda matatizo yanayotokana na chembe za urithi leo hayangewapata. Isitoshe, uchunguzi wa hivi karibuni, kama ule uliochapishwa katika jarida Journal of Genetic Counseling, unaonyesha kwamba watoto wanaozaliwa katika ndoa kati ya binamu wa karibu, hawana kasoro nyingi za urithi kama inavyowaziwa na wengi. Kwa kweli, hayo hayangekuwa mambo yenye kutia wasiwasi mwingi siku za Adamu au hata kabla ya siku za Noa. Kwa hiyo, tunaweza kukata kauli kwamba mke wa Kaini alikuwa mmoja kati ya watu wake wa ukoo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tabiri za kipuuzi za biblia eti mwisho wa dunia kutakuwa na vita sijui matetemeko...[emoji23]hizi sio tabiri hizi story za kitoto...ukitaka utabiri uwe direct sema nchi fulani mwaka fulani itatokea kitu fulani...where does the bible do that...hamna utabiri wa maana kwenye bible.
Siamini bible coz Ina mauongo mengi watu wameweka afu wametishia watu ni ya Mungu na mijitu imeamini coz ni mijinga na mioga Kama wewe

Umeathirika na michezo ya betting kijana. Biblia sio kitabu cha ramli na betting unazofanya. Kasome kitabu cha Daniel (Habari za Mnyama) ambapo zilitabiriwa Falme zitakazosimama na kuanguka na imeshatokea hivyo. Hakuna unabii uliopo kwenye Biblia ambao haujatimia na hautotimia.

Wakati Maandiko yanasema kutakua na vita siku za Mwisho, ilikua inataja “dalili” na sio ubashiri kama unavyotaka. Biblia ni kitabu cha maarifa ya kimungu. Wanaofunuliwa kuijua kweli ni wale wanaotafuta hekima ya kimungu na sio wanaokejeli. Kusoma ni jambo moja na kufunuliwa ni jambo lingine. Amka!
 
Bikra utazipatia wap wakati mwili utakua umeoza na kuisha kabisa. Au ndio abunuasi nyingne tena za mwili mpya?
Mbona simple Mkuu,... kwani Mimi na wewe kabla ya kuwa na mwili huu tulikua kitu gani,tulikua wapi?

Kwanini unadhani ni impossible,..kurudishiwa miili wakati hata hii miili tuliyonayo imetokea Kwa namna ya kustaajabisha.
 
Back
Top Bottom