Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Mbona simple Mkuu,... kwani Mimi na wewe kabla ya kuwa na mwili huu tulikua kitu gani,tulikua wapi?

Kwanini unadhani ni impossible,..kurudishiwa miili wakati hata hii miili tuliyonayo imetokea Kwa namna ya kustaajabisha.
Ndio ujibu ulikuwa wap mimi sikuwepo kbisa .
 
Uliposema anaweza kuwepo mhandisi lakini hapaswi kuabudiwa,nikajua una slots upstairs boy..we endelea tu na shughuli zako,unanichosha tu
Acha kukwepa hoja tangu mwanzo unazunguka tu ilihali swali nililokuuliza limenyooka kabisa na hapo ndipo tunapofeli sisi theists, binafsi siyo atheist ila nilitaka nikuchallenge tu nione kama una hoja zozote juu ya uthibitisho wa uwepo wa Mungu kumbe nawe ni wale wale tu, so mwisho wa siku tusiwalaumu atheists kwa sababu tumeshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu na ukweli ni kwamba theists tunaamini na tunaabudu tusichokijua
 
Sema nini mkuu waumini wengi ata kwa hayo waliyoandikiwa hawayafuati hata chembe ,ni unafki ili waonekane ni wasafi.
😂😂😂We unadhani Kuna mtu angesimama kwa sheria zile...not allowed to eat shellfish, to wear mixed fabrics...😂kupiga mawe mashoga na wazinzi ..😂yaani wakristo Wana Yesu ndo kisingizio hata uwe jambazi ukitubu na kuamini Yahweh yupo bac umetoboa...😂hii system ingekuwepo duniani maisha yangekuwa tabu Sana.
 
Hahh🤣,..hapana usikate tamaa Designer ni msamehevu mno...huenda akatusamehe wewe na Mimi, twende tukastarehe Kwa bikra na vitu vingine vizuri ambavyo macho hayajawahi hata ku imagine kama vipo.

Au hutaki bikra za peponi,..unataka uende kusifu tu. Hahh
😂yaani we mwenyewe unacheka ..unajua both hizo heavens ni imagination tu...
 
Umeathirika na michezo ya betting kijana. Biblia sio kitabu cha ramli na betting unazofanya. Kasome kitabu cha Daniel (Habari za Mnyama) ambapo zilitabiriwa Falme zitakazosimama na kuanguka na imeshatokea hivyo. Hakuna unabii uliopo kwenye Biblia ambao haujatimia na hautotimia.

Wakati Maandiko yanasema kutakua na vita siku za Mwisho, ilikua inataja “dalili” na sio ubashiri kama unavyotaka. Biblia ni kitabu cha maarifa ya kimungu. Wanaofunuliwa kuijua kweli ni wale wanaotafuta hekima ya kimungu na sio wanaokejeli. Kusoma ni jambo moja na kufunuliwa ni jambo lingine. Amka!
😂😂😂😂Taja mstari hapa... Taja utabiri....hamna kitu Cha maana mule...Kama ipo Taja.
😂😂😂So Mungu wako anacheza kombolela Kama mtoto wa kike anataka tumtafute....😂kubali kitabu chenu jau kina makosa hamna kufunuliwa Wala Nini...na that's not my prob...kwa sababu hao waliotafsiri kwa kufunuliwa matokeo yake ndo madhehebu zaidi ya elfu kumi kidogo asa wote wamefunuliwa au...🍰🤣acha utoto kula keki hiyo ulale
 
Mbona simple Mkuu,... kwani Mimi na wewe kabla ya kuwa na mwili huu tulikua kitu gani,tulikua wapi?

Kwanini unadhani ni impossible,..kurudishiwa miili wakati hata hii miili tuliyonayo imetokea Kwa namna ya kustaajabisha.
🤣🤣🤣So kabla ya kuwa na mbili haukuwa cell bali ulikuwa unakula bikra...bac kifaranga kabla hakijatoka kwenye Yai nacho kilikula bikra na kuku ukishamchinja na yeye anaenda kula bikra
 
🤣🤣🤣So kabla ya kuwa na mbili haukuwa cell bali ulikuwa unakula bikra...bac kifaranga kabla hakijatoka kwenye Yai nacho kilikula bikra na kuku ukishamchinja na yeye anaenda kula bikra
Duh,angalia vizuri huenda umekosea ku quote.

Kuwa na mbili umemaanisha nini

Sijakuelewa.
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Hizo habari za Adam, Hawa, Kaini na Habili ni hadithi tu, si habari za kweli za watu ambao walikuwapo.

Makabila mengi yana hadithi za jinsi dunia ilivyoanza. Hata kwetu Afrika ukifuatilia kwenye makabila hizi hadithi zipo.

Na kila kabila katika hadithi hizi, kimsingi linasema Mungu aliwaumba wao kwanza.

Sasa, hawa Wayahudi, kwa namna moja ama nyingine, hadithi yao ya uumbaji imepata nguvu na kuenea sana duniani, ikawa chanzo cha Uyahudi, Ukristo na Uislamu.

Sasa basi, watu wasiojua kuisoma hii hadithi vizuri, wakaielewa kama hadithi tu, huchukulia kwamba hiyo hadithi ni ukweli.

Wakati si hadithi inayosimulia mambo yaliyotokea kweli.

Ni hadithi ya kutungwa na watu tu.
 
Acha kukwepa hoja tangu mwanzo unazunguka tu ilihali swali nililokuuliza limenyooka kabisa na hapo ndipo tunapofeli sisi theists, binafsi siyo atheist ila nilitaka nikuchallenge tu nione kama una hoja zozote juu ya uthibitisho wa uwepo wa Mungu kumbe nawe ni wale wale tu, so mwisho wa siku tusiwalaumu atheists kwa sababu tumeshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu na ukweli ni kwamba theists tunaamini na tunaabudu tusichokijua
Nimekwambia fanya mambo yako unanichosha,kama unaabudu usichokijua ni wewe
 
Kwamba Adam hakuwa mpweke Eden,Mungu hakumuumba eve kwa ubavu wa Adam!?..umeona mkanganyiko!?
Adam na Lilith ndio waliumbwa kutokana na udongo. Soma vizuri biblia. Ndiyo maana baada ya mtafaruku wao na kuachana Mungu alipompa Adamu usingizi mzito na kumuumba Eva, Adamu alipoamka na kumuona Eva alijua huyo siyo Lilith tena na akasema HUYU SASA ni nyama katika nyama yangu na mfupa katika mfupa wangu. Habari ya kwamba Mungu alimuumba mtu mke na mtu mume imesemwa kabla ya simulizi la kuumbwa kwa Eva ila waliokusanya maandishi ili kutengeneza Biblia waliyaacha maandiko mengi kama kitabu cha Henoko kwa hiyo soma vitabu vingine ili upate picha kamili.
 
😂😂😂Hizi ni claims...mtu anaweza sema the moon is made up of cheese...doesn't mean Yuko sahihi just because me n u hatujaenda mwezini kuprove false...cjui unanielewa. The answer is we don't know..na hata Kama Kuna mhandisi..sisi hatuna shida..ila tuna shida na dini zinavyoruka from ujinga uo to mambo ya mhandisi wa ulimwengu kujali unamwaga shimo gani ukilalana
Una umri gani!?..jinsia!?..naona unsjichekesha bila sababu za msingi
 
Kuwa na mwili... sorry
Usiwaze mkuu,..ipo hivi kabla ya kuwa na mwili hata hukuwa seli.

Hukuwa kitu chochote as per our knowledge,...wewe kama una elimu&ushahidi kwamba mtu kabla ya kuwa na mwili alikuwa seli lete tuelimike sote.
 
Adam na Lilith ndio waliumbwa kutokana na udongo. Soma vizuri biblia. Ndiyo maana baada ya mtafaruku wao na kuachana Mungu alipompa Adamu usingizi mzito na kumuumba Eva, Adamu alipoamka na kumuona Eva alijua huyo siyo Lilith tena na akasema HUYU SASA ni nyama katika nyama yangu na mfupa katika mfupa wangu. Habari ya kwamba Mungu alimuumba mtu mke na mtu mume imesemwa kabla ya simulizi la kuumbwa kwa Eva ila waliokusanya maandishi ili kutengeneza Biblia waliyaacha maandiko mengi kama kitabu cha Henoko kwa hiyo soma vitabu vingine ili upate picha kamili.
Mbona unajichanganya!?..kama mungu aliumba mtu me na ke kabla ya adam,means pslikua na watu nje ya adam na eve,so nashangaa tunazozana nini maana nilisema kwa mujibu wa biblia palikua na watu mbaki ya adam na mkewe
 
🤣🤣🤣🤣Again...hii sio shida yangu...okay so umejua Kuna vitu vipo vingine havipo....why...nani kaamua hivi...kwa mamlala gani....how do we know vitabu tunavyo ni correct na sio propaganda za watu kututawala... 🤣🤣In short katuni
 
Usiwaze mkuu,..ipo hivi kabla ya kuwa na mwili hata hukuwa seli.

Hukuwa kitu chochote as per our knowledge,...wewe kama una elimu&ushahidi kwamba mtu kabla ya kuwa na mwili alikuwa seli lete tuelimike sote.
🤣Asa si shahawa na yai ndo zinaunda kitu ambacho baadae kitadevelop kuwa mwili...au umeishia la nne mkuu...mbona common knowledge
 
🤣Asa si shahawa na yai ndo zinaunda kitu ambacho baadae kitadevelop kuwa mwili...au umeishia la nne mkuu...mbona common knowledge
Achana na shahawa&yai,..kabla ya hapo ulikua nini,au ulikua wapi?

Kwanini unaruka stage?,..
 
Umeuliza swali zuri kabisaa, ajabu utaletewa majibu ya kihisia zaidiii wakati ww unataka jibu kutoka kwenye maandiko ya kibiblia
 
Mbona unajichanganya!?..kama mungu aliumba mtu me na ke kabla ya adam,means pslikua na watu nje ya adam na eve,so nashangaa tunazozana nini maana nilisema kwa mujibu wa biblia palikua na watu mbaki ya adam na mkewe
Tunaongelelea kuhusu wake wa Adamu. Mke wake wa kwanza ni Lilith siyo Eva. Kama unataka tuongelee kuhusu uwepo wa watu wenginine kabla ya Adam unaweza kufungua uzi mwingine tukajadili hilo mkuu. Nilitaka niweke hili sawa kwamba mwanamke aliyeumbwa pamoja na Adam ni Lilith siyo Eva maana naona hata huko vyuo vikuu vya theology sijui ni makusudi au hawajui wanafundisha ndivyo sivyo!!
 
Back
Top Bottom