Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

Nimeelewa
 
Nimeelewa
 
Hivi umewaandikia watoto au sisi members?
 
Kaziiendelee kwa speed,
 
Kama kweli vile
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
Yaani tununue Gaidi Mbowe?!! Hebu acha hizo!!
 
#Tanzania bila CCM imara itayumba sana tuipiganie,
Kabisa hasa kwakua vyma vingine vimeamua ku compromise utaifa wetu...CCM madhubuti iwe ndiyo objective ya kila mtu ili tuondoe wababaishaji wote
 
Kazi waliyotumwa walishaimaliza, Biashara ya Utumwa ilifanywa na hao watu.
Ukweli ni kuwa lengo la JPM kumpa polepole ubunge ilikuwa ni kumtoa kwenye uenezi,
Pia bashiru alisogezwa na kupewa katibu kiongozi, jwa vyovyote ilikua lazima aachie ukatibu
 
Kaziiendelee kwa kasi na weledi Zaidi, CCM tushikamane zaidi,
 
Mkuu hili sio Serikalini ni kwenye Chama tu kama nimeelewa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…