Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

Mkuu hili sio Serikalini ni kwenye Chama tu kama nimeelewa vizuri

Jiwe alikuwa hamuongezei mtu cheo kingine iwapo alikuwa anatumikia nafasi nyingine sio kwenye chama na hata serikalini!!
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Hawezi kupumzika kwa amani mtu mshenzi kama yule.

Asante Mungu kwa kutuondolea huyu shetani bila umwagaji damu.🙏🙏
Astakafilullah!!😊😊😊, Mwe muwe na lugha za stara wajemeni
 
Ndio maana Hayati aliwatimua hawa mabwana
 
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Mzee aliona mbali
 
Mwache i Bashiru aendelee na mabo yako.
Yeye katulia kimya kama hayupo . Wewe na Bulembo mnamchokoza chokoza kama mna wivu nae kwa nafasi alizo bahatika kuteuliwa (hakujiteua).
 
aliyempa ubunge wa viti maalum Pole pole ni magufuli au Samia?
 

Ni either una usahaulifu au mahaba yamekuelemea

Mbowe ndie mtu wa kwanza kusaliti kambi ya Chadema kwa kumpokea waliyemuita fisadi papá Lowassa na kumpa tiketi ya moja kwa moja kugombea urais kupitia chamani 2015

Kisha akaamuru jina la Lowassa lifutwe kwenye The List of Shame kwenye website ya Chadema
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…