Kwanini Hayati Dkt Magufuli aliichukia sana Kaskazini lakini sasa Rais Samia anaipenda sana hii Kanda?

Yule Punguwani aliwachukia Wachaga tena hadharani bila kujua kuwa anawagawa Watanzania kwa Makabila yao kitu ambacho ni hatari sana kwa Taifa letu.

Hizo ndio mbegu za kuliingiza Taifa kwenye Vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Hakufaa kuwa Raisi abadani asilani.
 
Wewe huna lolote hakuna mchaga alobaguliwa! Tatizo mnatakaga kila kitu muwe nyinyitu! Saizi ishakula kwenu mlishindwa kutumia fursamiaka ile saizi kila mtu anjua ela na wengi wamesoma! Kuweni wapole !
 
Ukweli ni kwamba mama anawapenda watanzania wote bila kujali makabila wala dini zao. Ni jambo zuri sana katika kutuunganisha Watanzania. Hata kanda nyingine ameenda. Huyu ndio aina ya kiongozi tunae mhitaji.
Kusini ameenda? Mbeya? Nyinyi vikaragosi mnatabu sana! Sasa hivi ujue kabisa uchaga wako haukubebi kwa chochote pambana na hali yako!
 
Wewe huna lolote hakuna mchaga alobaguliwa! Tatizo mnatakaga kila kitu muwe nyinyitu! Saizi ishakula kwenu mlishindwa kutumia fursamiaka ile saizi kila mtu anjua ela na wengi wamesoma! Kuweni wapole !
Nani kakuambia mimi ni Mchaga? Mimi ni "IgembeNsabho" kama unajua maana yake.
 
Nani kakuambia mimi ni Mchaga? Mimi ni "IgembeNsabho" kama unajua maana yake.
Wewe mjinga tu! Huyo magufuli ulitaka awafanyie nini ili muone hajawabagua? Mto sami alianzisha ujenzi na kukarabati reli ya dar -tanga -moshi- Arusha! Pia alianzisha mradi wa mahi Arusha wa billion 500 alioasisiwana Kikweteutekelezaji ukaanza awamu ya tano!
 
Magu alitaka kufanya regional balance sio keki kuliwa upande mmoja wa nchi niko tayari kuoigwa mawe
 
Magu alitaka kufanya regional balance sio keki kuliwa upande mmoja wa nchi niko tayari kuoigwa mawe
100% true hawa ndugu zetu wanajionaga wanajua sana saizi wapo mtaani wengi tu wanalia njaa lakini kipindi cha nyuma akimaliza chuo mara utasikia anaduka kubwa la jumla kumbe anapitisha bidhaa bila kulipia kodi bandarini kisa kuna mjomba pale! Huwa nawaambia hata Rumi ishawahi kuwa dola yenye nguvu lakiini saizi hakuna anahangaika nayo! Wakubali tu mambo yamebadilika!
 
Kaskazini mmepata mtetezi mkumbatieni kwa nguvu zote,
 
fact
 
Safi Sana Rais Samia Suluhu,
 
Wanasema kuna watu ata uwabebe vip lakini bado watakusema vibaya tu!

Hiyo mikoa ya Kaskazini ilikosa Treni kwa miaka zaidi ya 15 ila Magufuli aliamua kuwarudishia wenyewe ata hawaoni ilo kwao bora Royal Tour

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achen upuuz kawajengea daraja la wami, kukufua bandari Tanga na tren bado mnalalamika na mengine kibao
 
Tuko na mama mpaka 2030
 
😍
 
Babu hakuna tatizo la pesa kwenye mradi huu wa maji wa jiji la Arusha narudia hata wakati wa awamu ya tano fedha iliendelea kutolewa whether Rais alitaka au laa kwasababu ni mkopo wa Bank AfDB na sio hela ya serikali. Kumekuwa na notion kuwa Rais kaleta hiki kaleta kile wakati huu ni mradi ambao upo full financed, na whether Rias anataka au laa na as far as ulishapitishwa hawezi pindisha na kuupeleka pengine katikati ya mradi. Wakandarasi wote wanalipwa na AfDB sio serikali elewa hili. Msiweke siasa kwenye vitu visivyo vya kisiasa. Rais hajatoa fedha yoyote kwenye mradi huu mkubwa wa maji Arusha wala haujawahi kukwama hata awamu iliyopita.
 
Du siamini chuki uliyonayo pole. Utapigana upande wako peke yako.
 
CHADEMA tupa kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…