Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
😂 😂 😂Tatizo la kuamka tumbo likiwa wazi kwa zaidi ya masaa 8 ndio aya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂Tatizo la kuamka tumbo likiwa wazi kwa zaidi ya masaa 8 ndio aya
Nivicheko tu😂 😂 😂
Wewe huna lolote hakuna mchaga alobaguliwa! Tatizo mnatakaga kila kitu muwe nyinyitu! Saizi ishakula kwenu mlishindwa kutumia fursamiaka ile saizi kila mtu anjua ela na wengi wamesoma! Kuweni wapole !Yule Punguwani aliwachukia Wachaga tena hadharani bila kujua kuwa anawagawa Watanzania kwa Makabila yao kitu ambacho ni hatari sana kwa Taifa letu.
Hizo ndio mbegu za kuliingiza Taifa kwenye Vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Hakufaa kuwa Raisi abadani asilani.
Kusini ameenda? Mbeya? Nyinyi vikaragosi mnatabu sana! Sasa hivi ujue kabisa uchaga wako haukubebi kwa chochote pambana na hali yako!Ukweli ni kwamba mama anawapenda watanzania wote bila kujali makabila wala dini zao. Ni jambo zuri sana katika kutuunganisha Watanzania. Hata kanda nyingine ameenda. Huyu ndio aina ya kiongozi tunae mhitaji.
Nani kakuambia mimi ni Mchaga? Mimi ni "IgembeNsabho" kama unajua maana yake.Wewe huna lolote hakuna mchaga alobaguliwa! Tatizo mnatakaga kila kitu muwe nyinyitu! Saizi ishakula kwenu mlishindwa kutumia fursamiaka ile saizi kila mtu anjua ela na wengi wamesoma! Kuweni wapole !
Wewe mjinga tu! Huyo magufuli ulitaka awafanyie nini ili muone hajawabagua? Mto sami alianzisha ujenzi na kukarabati reli ya dar -tanga -moshi- Arusha! Pia alianzisha mradi wa mahi Arusha wa billion 500 alioasisiwana Kikweteutekelezaji ukaanza awamu ya tano!Nani kakuambia mimi ni Mchaga? Mimi ni "IgembeNsabho" kama unajua maana yake.
100% true hawa ndugu zetu wanajionaga wanajua sana saizi wapo mtaani wengi tu wanalia njaa lakini kipindi cha nyuma akimaliza chuo mara utasikia anaduka kubwa la jumla kumbe anapitisha bidhaa bila kulipia kodi bandarini kisa kuna mjomba pale! Huwa nawaambia hata Rumi ishawahi kuwa dola yenye nguvu lakiini saizi hakuna anahangaika nayo! Wakubali tu mambo yamebadilika!Magu alitaka kufanya regional balance sio keki kuliwa upande mmoja wa nchi niko tayari kuoigwa mawe
Kaskazini mmepata mtetezi mkumbatieni kwa nguvu zote,View attachment 2203354
Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita,
Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani,
Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania,
Mpinzani wa kwanza strong wa CCM alitoka kanda ya kaskazini Mkoa wa Kilimanjaro,
Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo ndio Mtanzania wa kwanza aliyeitikisa CCM vilivyo,
Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo aliwahi kuwa mgombea tishio wa Urais wa JMT kupitia Chama cha NCCR -Mageuzi,
Tangu enzi za Mchaga Dkt Augustino Lyatonga Mrema hadi sasa kwa akina Freeman Mbowe wa CHADEMA mchaga wa Machame Vyama vyote 19 vya Upinzani 83% vinaongozwa na watu kutoka Kanda ya kaskazi,
Kanda nzima ya kaskazini imekuwa ikionesha Upinzani mkubwa kwa CCM karibu katika kila chaguzi tangu Uchaguzi wa mwaka 1995,
Marais wote walioiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi walichagua zaidi kuitenga kaskazini licha ya kaskazini kuwa mbele kimaendeleo kulikofanywa na wamisionari hata kabla ya Tanzania kupata Uhuru wake,
Hali ilikuwa mbaya zaidi awamu ya tano pale ambapo Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alipotamka hadharani kuwa kaskazini inapashwa kusubiri ili na maeneo mengine nayo yapate maendeleo,
Leo mambo ni tofauti sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwani amemwaga miradi ambayo haijawahi kushuhudiwa huko kaskazini tangu Uhuru wa nchi hii,
Kuhusu miradi lukuki ya mabilioni inayojengwa na Rais Samia Suluhu Hassan kanda ya kaskazini nadhani kila anayeishi mikoa ya Tanga, K'njaro,Arusha na Manyara atakuwa shahidi wa yeye mwenyewe,
Nilipoona Rais Samia tena ameichagua na kuiheshimisha Arusha ya kaskazini kwa kuipa heshima kubwa ya Uzinduzi wa "Tanzania Royal Tour Film " hapa Tanzania,
Huu ukawa ushahidi wangu mwingine ulioondoa chembe ya shaka kuwa Rais wa Awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anaipenda sana kanda ya kaskazini kuliko Marais wote waliowahi kuiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992,
Mtakumbuka Rais Samia baada tu ya kuapishwa alikwenda Arusha na akatoa zaidi ya TZS 520BL sawa 80% ya bajeti nzima ya Wizara ya Maji ya Tanzania nzima akawapatia Arusha kwaajili ya Mradi mkubwa wa maji uliokwama tangu enzi za Rais Jakaya Kikwete,
Haya yote yawafungue macho wananchi wa mikoa ya Tanga, K'njaro, Arusha na Manyara kuwa CCM ya Awamu ya Sita Chini ya Mkt wake na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan inawapenda sana,
Lazima Wafahamu kuwa hivi vyama vya Upinzani wanavyovikumbatia ndio haswa mchawi wao kwenye maendeleo yao hasa wakati huu wa mfumo wa vyama vingi,
Kaskazini msipomuunga mkono huyu Mama itawachukua miaka mingi sana kupata mtu wa msaada kwenu kama huyu Mama,
NB, Ifikapo 2025 kaskazini haina chaguo zaidi ya Rais Samia Suluhu Hassan hii ni ndani na nje ya CCM, Kama kweli tunatamani kuiona kaskazini yetu inamea kwa kasi,
"Nani kama Samia? "
factView attachment 2203354

Sabaya anakutafutaSamia anatumia akili, Meko alikuwa anatumia ubuyu.....
Safi Sana Rais Samia Suluhu,View attachment 2203354

Tuko na mama mpaka 2030View attachment 2203354

😍View attachment 2203354

Babu hakuna tatizo la pesa kwenye mradi huu wa maji wa jiji la Arusha narudia hata wakati wa awamu ya tano fedha iliendelea kutolewa whether Rais alitaka au laa kwasababu ni mkopo wa Bank AfDB na sio hela ya serikali. Kumekuwa na notion kuwa Rais kaleta hiki kaleta kile wakati huu ni mradi ambao upo full financed, na whether Rias anataka au laa na as far as ulishapitishwa hawezi pindisha na kuupeleka pengine katikati ya mradi. Wakandarasi wote wanalipwa na AfDB sio serikali elewa hili. Msiweke siasa kwenye vitu visivyo vya kisiasa. Rais hajatoa fedha yoyote kwenye mradi huu mkubwa wa maji Arusha wala haujawahi kukwama hata awamu iliyopita.Ku plan mradi fulani halafu usipeleke pesa ni sawa haujafanya chochote! Huu mradi wa maji unawezekana ulikuwa ni mpango tangu awamu ya Kikwete lakini kama Samia ndo amepeleka pesa kwa asilimia 100 anafaa kupongezwa sana kwenye ili na sio awamu ya nne!!
Biashara ya utalii Arusha hata kabla ya Covid ilianza kufanya vibaya. Yule aliyekuwa DC wa hai - anayejisahidia kwenye ndoo sasa hivi - alichangia sana kuiharibu. Ulisikia alikuwa hakivamia mahoteli ya kitalii usiku na kuimiza wamiliki kutoa rushwa. Mahoteli makubwa kama Impala yalianza kufa, bureau de change zilifungwa. Jitihada nyingi zilitumika kuamishia wanyama mkoa mwingine.
Samia ameonyesha nia za kuinyanyua tena hii sekta ya utalii kupitia Royal tour na miradi aliyopeka Arusha. Lakini Changamoto bado zipo, waliopo chini yake waanze kufikiria nje ya boksi!!!!
Du siamini chuki uliyonayo pole. Utapigana upande wako peke yako.CCM ya kina Kinana hii, imejaa upuuzi tu hamna hata wasomi wa kujenga hoja za kueleweka. Majungu na fitna. CCM sio baba yenu wala mama yenu, tutawatoa upepo 2025.
Uongozi ni character, msimamo wa Mangula sio cheo ile kaliba. Yule ndio alivyoumbwa vile na Kinana haupo hivo.
Katibu wa CCM unatembea na helikopta kwenda kuongea na wananchi vijijini kweli? Mangula hawezi kufanya hivyo.
Hii nchi vita itatokea na sisi tunajua tutakuwa upande upi.
CHADEMA tupa kuleView attachment 2203354