Kwanini Hayati Magufuli alikuwa hapendwi jimboni kwake?

Kuna dada yake alifariki kwenye hali ya ufukara sana, jeneza lilipangwa juu ya stuli. Sitamsahau yule baba
Mbona mmnabwabwaja sana, ni nani hana mapungufu kwao hatokako.....au ndani ya familiya yake.
Muwe na moto wa shukurani, kwani we we huna ndugu yako aliyefukara na ukashindwa kumsaidia ....kwa taharifa yako ni kwamba hutoweza ifikia level ya maendeleo familiya ya Magu even before being president or after president... Relax... Povuuuu
 
Yaani ni hivi kaka magu alikua wa kipekee imagine mtu ana roho mbaya ila hapohapo kuna watu walikua tayari kufa wakiimba jina lake!! Ila me huu mwaka nimejifunza kitu "watu au jambo linaloacha alama ya uhakika huja kama mzaha! Mfano ni Yesu kristo ambae leo anaonekana maarufu kuliko binadam yeyote aliewahi kuishi alizaliwa katka zizi la ng'ombe!!!😶😶 tupunguze dharau hatujui maisha ymetupangia nini?
 
Kwakweli umeandika upuuzi, na kikukumbushe tu jpm anapendwa kila kona, duniani, kaburini , ulimwengu mzima na mbinguni.

Ati ulimfanyia kazi aiiiiiiiiiiiii[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] bureeee.
Nyinyi wengine hamkunjua Magufuli. Mlikuwa mnamsikia tu na kuamini fix zake.

Mleta mada amesema ukweli kwa asilimia kubwa!
 
Unaifahamu kasenga,mwangaza naichwankima?nañi wengihuko Kama siyo waha watupu?usiisahau bwanga minkoto na nyakayondwa!!!
 
Ni kwa sababu alikuwa akilipenda sana kiasi cha kuchaguliwa mbunge wake kwa zaidi ya miaka 20
 
Lengo lako hapa ni nini wakati mwenyewe eshajiondokea zamani na hii itatusaidia nini?
 
Mbona unajieleza sana? Una wasiwasi kuwa Kuna takaye kustukia?
 
Mkuu paschal Mayalla, usimtete huyo bro wako.
1. nenda kwa sende, alinyimwa umeme wakati nguzo ya tanesco wilaya ndo angeitumia. kisa dr sende aliutaka ubunge 2005. fast boti zikanyimwa kibali.

2. mwaka 2010 kuna dogo anaitwa deusdedith katwale aligombe ubunge kupitia ccm, mwamba alipopata urais akampa uhujumu uchumi, katolewa na maza.
3. mwaka 2010 hiyo dr lukanima, wa mzumbe alitaka ubunge kupitia chadema, alifukuzwa kaz alipopata ukulu.

MUNGU NI WA KUSHUKURU SANA, AMINA.
 
Aiseeee !!!
 
Kuna dogo wa ankaree kwa sasa bilionea gordian, alihamishwa nyumban kwao kwa difenda chini ya ocd mkama, kwa sasa rpc songwe.
Vitoto vilikuwa vinakamatwa, vinaulizwa wewe mtoto wa nani, wa kijb wa goro anawekwa kwenye tenga. Wakaenda kutelekezwa mtaani. Ndipo baba mkwe wa gordian akawapa hifadhi.

Dingi alikuwa mtemi haswa.

Na kuna dogo mmoja mtoto wa dada yake. Alipomaliza kidato cha nne akawa hajafanya vzr ndipo akatakiwa kwenda dsm asimamie miradi ya anko wake. Dogo akakataa.

Dogo akaanza kurisit na pepa akapga, lakin hajaona matokeo hadi leo. Hapo anko akiwa waziri.
 
Na bado kwenye uchaguzi mkawapa ccm kura za kutosha. Wamakonde kwa ccm hampindui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…