Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Kwani Zanzibar hamna wanaoongea kinyamwezi, kimakonde nk?Lugha huzaliwa,hukua,hufa...Kama unaamini uwepo mungu,nabii Adam alikua akiongea lugha gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Zanzibar hamna wanaoongea kinyamwezi, kimakonde nk?Lugha huzaliwa,hukua,hufa...Kama unaamini uwepo mungu,nabii Adam alikua akiongea lugha gani?
Wanawatimu waarabu wamekuwa wengi,wanahofia kizazi Chao kutowekaEuropa gani na waafrika wanapanda mtumbwi kukimbilia Ulaya na wengi wanazama siku zote
Wanyamwezi ni kabila lisilozidi miaka 1000Kwani Zanzibar hamna wanaoongea kinyamwezi, kimakonde nk?
Na wewe uarabu unahusiana nini na uislaam...?Ukristo unahusiana nini na Saudia?
Umeishawahi kuona wahindi,wapakistan,wa Philippines,wakiteswa huko uarabuni?Mfanyakazi wa asili ya Afrika ameonekana akinyonyesha mbwa huko Saudi Arabia
View attachment 2381679
Hii nchi kwanini inachukia na kunyanyasa sana Waafrika? Maana tangu nijue kusoma sijawahi kusoma nchi inayotesa Waafrika kama hii, visa ni vingi sana
Kwanini Waafrika tusiungane na kuisusia hii nchi na kufunga balozi zetu zote huko? Tutakosa nini?
Tena ni mingi haswaaa 99,99% .Kuna mijamaa ya Zanzibar huwaambii kiti kuhusu waarabu
Mbona waarabu ni wakuu wa vyama vikubwa Denmark, Sweden , Uk nkWanawatimu waarabu wamekuwa wengi,wanahofia kizazi Chao kutoweka
Wametokea wapi?Wanyamwezi ni kabila lisilozidi miaka 1000
Aaah kumbe? Sasa kwann wazanzibar hawapend wabara kuja huko kumiliki maeneo?Haijalishi,ni muhamiaji bado
Nmekuambia unahusiana?Na wewe uarabu unahusiana nini na uislaam...?
(Mohammed) You are only a Warner and for every nation there is a guide." (13:7)Na wewe uarabu unahusiana nini na uislaam...?
Kwani Nani kawalazimisha mwende , Si mwende Vatican mkafanye kazi Kama Mnaona ni kuzuri au kanisa liwapeleke huko?
Ila Waafrica hawajalazimishwa kwenda Saudi Arabia na nchi zingne za kiarabu.
Tena ni mingi haswaaa 99,99% .
Umeishawahi kuona wahindi,wapakistan,wa Philippines,wakiteswa huko uarabuni?
Hata wao wanapitia mateso kiasi Fulani lakini sio kama wanayopitia watu weusi,
Sie hatuna kitu shekh,tunatoka nchi maskini,tukienda Afrika kusini,Waafrika(weusi)wenzetu wanatutia bakora!?!
Cha ajabu nchi zetu hazifanyi kitu,ndio kwanza kama hapa bongo,tunawakumbatia hao nguruwe pori wa kiarabu,tunawapa mpaka mbuga zetu.
Nchi zetu hazina nguvu za kidiplomasia hata za kukemea,tunaogopa kuwasema vibaya,tusije tukanyimwa misaada
Ardhi ndogoAaah kumbe? Sasa kwann wazanzibar hawapend wabara kuja huko kumiliki maeneo?
Kuna nyaraka zinadai Wana unubi. Ila ni dhana tuWametokea wapi?
Nahisi alipokonywa demu na Mwarab.Huwa unapata faida gani kuwachukia/sema waarabu vibaya? Hivi watoto wako watajifunza nini kutoka kwa baba mzazi kama wewe kila kukicha kuwasema waarabu, aise unakazi[emoji28] Mungu aniepushie mbali haya
Bhujiku ng'waka