melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,746
Kuna mijamaa ya Zanzibar huwaambii kiti kuhusu waarabu
Umeona ehh [emoji35]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mijamaa ya Zanzibar huwaambii kiti kuhusu waarabu
Samia ana wajomba zake kabisa ni raia wa Oman.Samia ndio amekazana kutuunganisha nao
Wavaakobazi wanawaona waarabu kama malaika..kumbe ni takataka umbwa wale..wametuharibia jamii yetu.
#MaendeleoHayanaChama
Kwanini wasiondoke kuwapishaArdhi ndogo
True kabisa wamavimavi tu hao walahi![emoji35]
Kwanini wasiondoke kuwapisha
Nahisi alipokonywa demu na Mwarab.
[emoji23] (Jokes)
Waje bara kuna maeneo lukukiWaondoke waende wapi?
Kwani kwenye hii ishu uislam umeingiaje?Msidhani kuwa waarabu wote ni waislam Saudia pia wapo wakristo na wapagani
Mkuu,unahara!?Kwanini wasiondoke kuwapisha
Jibu swali shekhe kwani tupo foleni ya chooni hapa?Mkuu,unahara!?
mipumbav ndo km ww , ngoz yoyote ya rangi haitupend na sabab ni nyiny wachache msio na akili kutwa kuwashobokeaEndelea kukaririshwa, ipo siku utaambiwa dada yako ametembea na salman nawe kwa haraka haraka utaamini, waafrika wengine bwana!
Maghayo uwe unawapa somo hawa wakaririshwaji
iman ya kuletewa ? kwann mtume hakufika bongo ? muwe mnajielewa aseee , baadh ya wakristu wameanza zistukia hiz din za kuletewa kwa minyororo , ila hawa wala tende za bure kum kichwa ni zero kbsWewe kila siku waarabu tu, tutafute hela aise,
Kwa taarifa yako, upende usipende waarabu ni ndugu zetu haswaa katika imani, na unavyoendelea kutiririsha mada zako za uchonganishi/ubaguzi usifikiri utatubadilisha na kufuata matendo yako, ishia huko huko mzee..
Hakuna jamii watu wake wakarimu, wana imani na huruma kama waarabu, japo sio wote, lakini most of them wako poa haswaaa.
Olenimala nkoi? Au niandike kichina utanielewa?
iman ya kuletewa ? kwann mtume hakufika bongo ? muwe mnajielewa aseee , baadh ya wakristu wameanza zistukia hiz din za kuletewa kwa minyororo , ila hawa wala tende za bure kum kichwa ni zero kbs
mipumbav ndo km ww , ngoz yoyote ya rangi haitupend na sabab ni nyiny wachache msio na akili kutwa kuwashobokea
Waje bara kuna maeneo lukuki
Aaah basi waliopo visiwan wasilete chokochoko maana kile kisiwa ni cha kila mtuWapo wengi tu mbona
Aaah basi waliopo visiwan wasilete chokochoko maana kile kisiwa ni cha kila mtu