Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Hatuongelei uajiri ,tunaongelea video fekiWewe ndo uliwaajiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuongelei uajiri ,tunaongelea video fekiWewe ndo uliwaajiri?
Wew siumesema ndio kazi hiyo ya wakristo..wewe ndo uliwaajiri?Hatuongelei uajiri ,tunaongelea video feki
Kwani Mimi naajiri wakristoWew siumesema ndio kazi hiyo ya wakristo..wewe ndo uliwaajiri?
Kwani Mimi naajiri wakristo
Muulize huyo aliyeleta clip fekiNani sasa anaajiri?
Wewe hujui?Muulize huyo aliyeleta clip feki
hakunaga ujanja mbele ya njaaMfanyakazi wa asili ya Afrika ameonekana akinyonyesha mbwa huko Saudi Arabia
View attachment 2381679
Hii nchi kwanini inachukia na kunyanyasa sana Waafrika? Maana tangu nijue kusoma sijawahi kusoma nchi inayotesa Waafrika kama hii, visa ni vingi sana
Kwanini Waafrika tusiungane na kuisusia hii nchi na kufunga balozi zetu zote huko? Tutakosa nini?
Kwani nimeleta clip fekiWewe hujui?
Kwani nimeleta clip feki
Wew siumesema ndio kazi hiyo ya wakristo..wewe ndo uliwaajiri?
Kisiwani panakuaga na mwenyeji!?..ukimkuta mtu kisiwani katoka baraDuh sijauliza yote hayo....narudia swali mwenyeji wa pale nani?
Alikuambia mchungaji wako?Kisiwani panakuaga na mwenyeji!?..ukimkuta mtu kisiwani katoka bara
Naturally mtu hawezi kuwa mkaazi wa kisiwani bila kuwa na origin ya Bara,Kuna kipindi zenji hapakua na binaadamAlikuambia mchungaji wako?
Wakiishi nani? Na huko bara wakiishi nani?Naturally mtu hawezi kuwa mkaazi wa kisiwani bila kuwa na origin ya Bara,Kuna kipindi zenji hapakua na binaadam
Wa kwanza kufika nan?Kisiwani panakuaga na mwenyeji!?..ukimkuta mtu kisiwani katoka bara
Wazungu huko Europe wanawatimua warudi kwao wamewachoka,Nimekaa na kufanya biashara nchi za kiarabu karibu miaka 10 nawajuatabia zao nje ndan so Mi sio wa kuhadithiwa chief nakuelezea experience ya maisha yangu nchi za uarabun
Europa gani na waafrika wanapanda mtumbwi kukimbilia Ulaya na wengi wanazama siku zoteWazungu huko Europe wanawatimua warudi kwao wamewachoka,
Haijalishi,ni muhamiaji badoWa kwanza kufika nan?
Lugha huzaliwa,hukua,hufa...Kama unaamini uwepo mungu,nabii Adam alikua akiongea lugha gani?Wakiishi nani? Na huko bara wakiishi nani?
Hivi kuna kabila lolote bara wanaongea kitumbatu au kimakunduchi au kikojani?