Kwanini hii nchi inatuchukia na kututesa sana Waafrika? Tuungane tuisusie

Umeishawahi kuona wahindi,wapakistan,wa Philippines,wakiteswa huko uarabuni?
Hata wao wanapitia mateso kiasi Fulani lakini sio kama wanayopitia watu weusi,
Sie hatuna kitu shekh,tunatoka nchi maskini,tukienda Afrika kusini,Waafrika(weusi)wenzetu wanatutia bakora!?!
Cha ajabu nchi zetu hazifanyi kitu,ndio kwanza kama hapa bongo,tunawakumbatia hao nguruwe pori wa kiarabu,tunawapa mpaka mbuga zetu.
Nchi zetu hazina nguvu za kidiplomasia hata za kukemea,tunaogopa kuwasema vibaya,tusije tukanyimwa misaada
 
Na wewe uarabu unahusiana nini na uislaam...?
(Mohammed) You are only a Warner and for every nation there is a guide." (13:7)

"And this (Quran) is a blessed book which we have revealed, confirming that which was (revealed) before it, so that you (O prophet) may warn the mother of the cities (Makkah) and those around her." (6:92)
 
Ika waarabu bhanaa...

Maana naskia hata michezo ya kula ndogo ndo mafundi[emoji23][emoji23][emoji23]
Waarabu bhanaa dah.
Wazee wakobasi vijana wa Mtume alie fia Madina
 
Kwani Nani kawalazimisha mwende , Si mwende Vatican mkafanye kazi Kama Mnaona ni kuzuri au kanisa liwapeleke huko?

Hawa jamaa chuki ipo kwenye damu dhidi ya waarabu,, na ndiomaana hata kifo cha saddam na gadafi walichekekelea. Wewe anzisha tu mada ya kumsifia gadafi au saddam utaona wengine wakitokwa mapovu mpaka sura zinatisha
 
Tena ni mingi haswaaa 99,99% .

Kwahiyo waarabu kuwaita nguruwe ni sawa? Ila wewe kufananishwa na kima/nyani sio sawa sio!! Japo haijawahi kutokea waarabu kufanya huo upumbafu.

Au Ulishawahi kuambiwa na mwarabu neno baya au kufananishwa na mnyama au kutupiwa tunda lolote la kuashiria ubaguzi!!!
 
Huwa unapata faida gani kuwachukia/sema waarabu vibaya? Hivi watoto wako watajifunza nini kutoka kwa baba mzazi kama wewe kila kukicha kuwasema waarabu, aise unakazi[emoji28] Mungu aniepushie mbali haya

Bhujiku ng'waka
Nahisi alipokonywa demu na Mwarab.
[emoji23] (Jokes)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…