GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jukumu langu Kubwa GENTAMYCINE katika huu Uzi ni Kusoma tu Maoni yenu ili niujue Udhaifu wa Asili wa Mtu, Taasisi zake na Wasaidizi wake Wapuuzi na Wasioijua Kazi yao vyema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili tule wote keki ya TAIFAJukumu langu Kubwa GENTAMYCINE katika huu Uzi ni Kusoma tu Maoni yenu ili niujue Udhaifu wa Asili wa Mtu, Taasisi zake na Wasaidizi wake Wapuuzi na Wasioijua Kazi yao vyema.
Wanakula walewale. Joketi amezungushwa kama tiaraIli tule wote keki ya TAIFA
Vetting ilikuwa inafanyika ile ya ukweli..!!Jukumu langu Kubwa GENTAMYCINE katika huu Uzi ni Kusoma tu Maoni yenu ili niujue Udhaifu wa Asili wa Mtu, Taasisi zake na Wasaidizi wake Wapuuzi na Wasioijua Kazi yao vyema.
Hakuna kitu kama hicho, kuna dc mmoja alitenguliwa, baada ya miezi 3 akateuliwa tena kuwa dc wilaya nyingine!! Huwa ni sandakalawe tu,Shida wanaingia ofisini bila kusoma "Job Descriptions" zao...
Kisha wanaishia kufanya kazi kwa kujaribu kumu-impress bosi wao...
Mwisho wa siku lazima ujikute umevuka mstari wako au haujaufikia mstari, na hapo ndipo kutumbuliwa kunapofuata..
Kila kazi ina descriptions zake, ina malengo ambayo muhusika anapaswa ayafuate na ayatimize..
SahihiJk ilikuwepo sana
Kwa nini wasitue hao watu wenye uwezo??Sasa kama mwaka 1961 UDSM ina wanafunzi 14 tu ingewezekanaje kutengua hovyo. Sasa hivi watu wenye uwezo ni wengi sana kwahiyo ukizingua unazinguliwa. Hata wewe popoma sio kwamba unachukia teuzi. Unachukiwa wewe kutoteuliwa.
Wanaoteuliwa wote wana uwezo. Hata kwenye kwenye biashara zetu huwa tunachukua watu wenye uwezo ila uhakika wa wao kuwa vyema kwa muda mwingi kama tulivyodhani haupo. Mtu anaweza kuja mikono nyuma kwa adabu ila baadae akageuka na kuwa mshenzi.Kwa nini wasitue hao watu wenye uwezo??
Hapa ninakubaliana nawe kwa 100%.Vetting ilikuwa inafanyika ile ya ukweli..!!