Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Huu sasa wivu..!!Jokate kutwa picha zake na alikiba wakishikana mapaja na kulambana lips zinatrend mitandaoni halafu unampa kuwa kiongozi jumuia ya wazazi huko ni kuidharau jumuia.
Bora huko walipompeleka akacheze na vijana wenzake.