Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Apr 5, 2024 #21 othuman dan fodio said: Jokate kutwa picha zake na alikiba wakishikana mapaja na kulambana lips zinatrend mitandaoni halafu unampa kuwa kiongozi jumuia ya wazazi huko ni kuidharau jumuia. Bora huko walipompeleka akacheze na vijana wenzake. Click to expand... Huu sasa wivu..!!
othuman dan fodio said: Jokate kutwa picha zake na alikiba wakishikana mapaja na kulambana lips zinatrend mitandaoni halafu unampa kuwa kiongozi jumuia ya wazazi huko ni kuidharau jumuia. Bora huko walipompeleka akacheze na vijana wenzake. Click to expand... Huu sasa wivu..!!
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Apr 5, 2024 Thread starter #22 LICHADI said: Yaani Samia atamaliza miaka 5 hajafanya kitu Click to expand... Kwani Wewe ulitegemea au unategemea jipya kutoka Kwake? Nakuonea mno Huruma Mkuu na nakupa Pole pia.
LICHADI said: Yaani Samia atamaliza miaka 5 hajafanya kitu Click to expand... Kwani Wewe ulitegemea au unategemea jipya kutoka Kwake? Nakuonea mno Huruma Mkuu na nakupa Pole pia.