Kwanini historia anayosimulia Sheikh Mohammed Said haipingwi hadharani?

Mwanahistoria Mohammed Said anaeleza, "Hermann von Wissmann alifanya mauwaji makubwa. Ndiye aliyemkamata na kumyonga Abushiri kisha akaendesha vita sehemu nyengine katika Tanganyika".
 
Hatua hii ina maana gani?​

Baada ya hatua ya Ujerumani kuomba radhi Watanzania kwa ukatili wakati wa ukoloni, Regina Mziwanda wa BBC amezungumza na mwanahistoria Mohamed Saidi, ambaye kwanza anaeleza maana ya hatua hiyo.
 
Upumbavu wa wanajf ni kuleta udini katika mambo ya kweli,wakati mwingine tukubali ukweli maboss

Mzee wetu analeta historia kwa vielelezo makini halafu wanatokea wapumbavu wachache wanaleta porojo zao hapa

Tukubali ukweli waislamu walikuwa mstari wa mbele katika harakati za uhuru period.
 
Wekeni na nyie wagalatia angalau kapicha kamoja tu hamna,
Labda muanze kutengeneza na kuedit
za uongo uongo
 
Nani apinge? Wana ubavu kwanza
Wanabaki kuruka ruka na kutusi tu
Bila waislam uhuru wangeusikia kwenye redio tu
 
Kwa vile tumemdharau na uwongo wake. Mtu anayesifia wazee wake wa Kariakoo kwa nini uhangaike naye?

Kama ni vitabu vya maana basi hata Wizara ta Elimu wangeviweka kwenye mitaala ya elimu. Lakini vimeishia kuuzwa misikitini tu hasa msikiti wa Kwa Mtoro
 
Hui...
Tuna maduka ya vitabu katika misikiti mitatu Dar-es-Salaam: Msikiti wa Mtoro, Manyema na Kichangani kama vile Wakatoliki walivyokuwa na duka la vitabu la pale St. Joseph's Cathedral.

Kuhusu Wizara ya Elimu na vitabu vyangu hiyo inataka muda ila kwa ufupi wamekwepa kitabu changu, "The Torch on Kilimanjaro," cha Oxford University Press, Nairobi (2006).

Kitabu hiki kinasomeshwa Kenya, Uganda na kwengineko ila Tanzania.
 
mtunga mitaala ndio wewe, hapa umeonesha chuki zako zidi ya msikiti. ndio utaiweka katika mitaala ya shule ambapo mwanao asome?
 
WATU WAMEMDHARAU .... HATA NYUZI ZAKE KAANGALIE KAMA ZINA WATU WANACHANGIA SIKU HIZI. WATU WAMEMWACHA AONGEE ANAVYOJISIKIA APATE AHUENI. AANDIKE ANACHOJISIKIA. SI KILA KITU CHA KUJIBU
 
WATU WAMEMDHARAU .... HATA NYUZI ZAKE KAANGALIE KAMA ZINA WATU WANACHANGIA SIKU HIZI. WATU WAMEMWACHA AONGEE ANAVYOJISIKIA APATE AHUENI. AANDIKE ANACHOJISIKIA. SI KILA KITU CHA KUJIBU
bbc swahili, Germany wanamsikiliza na wanamualika. Nyinyi wachungaji wa makanisa ya Mbagala ndio mnaambia waumini wenu wasisome huku nyinyi hata historia ya kanisa unaliloongoza hujui, umejengewa wala huulizi pesa zimetoka wapi
 
UNAMFAHAMU SALMAN RUSHDIE? AMEHOJIWA NA WATU WENGI SANA NA MASHIRIKA MAKUBWA. UMESOMA KITABU CHAKE MAARUFU?
" AYA ZA KISHETANI"
 
UNAMFAHAMU SALMAN RUSHDIE? AMEHOJIWA NA WATU WENGI SANA NA MASHIRIKA MAKUBWA. UMESOMA KITABU CHAKE MAARUFU?
" AYA ZA KISHETANI"
Waislam wamejibu hadharani mpaka akawa anajificha na kulindwa.
 
Komeo...
Kuwa nadharauliwa hapana.

Hapa JF nimechaguliwa mwandishi bora mara mbili 2021 na 2022.
Hongera sheikh Moahmmed Said, wapagani wakisikia hio wanatype kwa uchungu humu, wao hata kitabu cha faida ya kufuga kuku hawajuwi kuandika,
 
Hahahahaha akaamua kuweka ktk vitabu ,akaita historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…