Kwanini historia anayosimulia Sheikh Mohammed Said haipingwi hadharani?

Kwanini historia anayosimulia Sheikh Mohammed Said haipingwi hadharani?

Huyu mzee shida yake anaamini nchi hii ni waislam pekee yao

So unapokuwa na mwana historia mwenye perspective ya upande mmoja hawez keta history ya kweli
.
Kama walivyo waislam wengine duniani kuamini kuwa wao ndo watu bora zaidi kuliko wengine na wenye uelewa zaidi kuliko wengine basi pia mzee said anaamini waislam wa tanzania ni bora zaidi na walifanya mengi zaidi kuliko wengine

Pia anaamini waislam ndo wasomi zaidi kuliko watu wengine n wana uelewa zaid kuliko watu wengine

Kwa mantiki hiyo huyu mzee ni mwanahistoria wa jamii ya kiislamu na maandiko yake yataishia kwa jamii husika kuja kwenye jamii ya kisomi ni ngumu yataishis kwenye misikit vijiwe vya kahawa nje ya misikiti..... huko zanzibar maana maandiko yake ni ya jamii hiyo tu na mara nyingi kulalamika mara mfumo kristo mara sijui tunaonewa

LA MWISHO MZEE SAID UKISOMA COMMEMT HII ANDIKA KITABU KITACHOFANYA WAISLAM WENZIO WAPENDE ELIMU DUNIA ......SIO KUKAA TU ELIMU ZA MADRASSA BAAADAE KUJA KUANDIKA HISTORIA ZA MALALAMIKO
Elimu hii unayosema, sehemu nyingi ni uongo fikra za watu waovu na kututengeneza wanavyotaka, mfano sasa hivi wanatufunza tuwe mashoga na wasagaji, kuoana jinsia moja na haki ya sawa kwa sawa.
Je, ndio hii unayosema Waislam au wakristo wasome?....

Elimu haina muongo mzuri, haifundishi Utu na tabia njema, haina tufunzi kujitegemea na inatufanya tuwe watawaliwa na tegemezi wa kila kitu, fikra, uchumi nk
 
Mkiambiwa mna akili fupi mnasema mnatukanwa,nikuulize wewe Jagina mada mezani unai-relate vipi na ulichokiandika hapa?
Wewe mbuzi tokea mada imeaanza hakuna cha maana ulichochangia zaidi ya mbaambaa za kilokole
Umeambiwa ulete research kupinga hoja unaleta hadithi za Sungura
Kaa kwa kutulia shwain wewe kama hoja inayoyobebwa na UTAFITI
 
Labda kama mwanamke lakini kama mwanaume aliyekamilika (kama umekamilika lakini) ukishafikia hatua ya kutumia kauli za hovyo kama hizi kwenye mjadala halafu ukataka upewe fact na waliokuzidi akili wewe moja kwa moja unakuwa mbuzi kama mbuzi wa khitma unakufa kuburudisha wanaohuzunika!
 
kkkk

Shut up baba paroko,
Wewe kilaza huna zaidi ya mbaamba ulizorudinazo maana yake huna uwezo hata wa kujitutumua wa kiakili kujibu yaliyoletwa na hii mada.
 
Back
Top Bottom