Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Rudi kwenye uzi na uache broken zako.You did not get the "Irony"
Ndio maana nilisema kuhusu IQ za hii nchi ni za zinjanthropus level
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi kwenye uzi na uache broken zako.You did not get the "Irony"
Ndio maana nilisema kuhusu IQ za hii nchi ni za zinjanthropus level
Naked truth..Waache Wakenya na Waganda wasome matakataka lakini siyo sisi
Wewe unaeishi Mahuta Shimoni Newala huwezi kuelewaRudi kwenye uzi na uache broken zako.
Unatumia past perfect kwa maandishi yaliyojibiwa baada ya dakika moja?Na umeiacha "irony" inaelea bila kisaidizi cha kuiweka kiufasaha?Kwa ubongo wako unadhani unabadilishana miandiko na watoto wa madrasa?Wewe unaeishi Mahuta Shimoni Newala huwezi kuelewa
Nyinyi ambao mnatuabisha kila siku kwenye mijadala ya twitwa, na wenye ubongo uliojaa tope hata watoto wa wadogo kikenya wanawatoa kamasiWaache Wakenya na Waganda wasome matakataka lakini siyo sisi
Safari ijayo uwakilishe wewe ili uvae na talawanda zako.Nyinyi ambao mnatuabisha kila siku kwenye mijadala ya twitwa, na wenye ubongo uliojaa tope hata watoto wadogo kikenya wanawatoa kamasi
Ndio maana mna chekwa sana twitani na huu upupu wa kufuatilia vitenzi na vishirihishiUnatumia past perfect kwa maandishi yaliyojibiwa baada ya dakika moja?Na umeiacha "irony" inaelea bila kisaidizi cha kuiweka kiufasaha?Kwa ubongo wako unadhani unabadilishana miandiko na watoto wa madrasa?
Tafuta paspoti na uende ndani Liverpool ukakutane na Scouse kwa wenye lugha yao ndio utajua hujuiSafari ijayo uwakilishe wewe ili uvae na talawanda zako.
Mara ya mwisho ulipokua unavuta uradi na wenzako walikusimulia nipo wapi kwani?Tafuta paspoti na uende ndani Liverpool ukakutane na Scouse kwa wenye lugha yao ndio utajua hujui
Sio unang'ang'ania kujifunza ukiwa maporini
Wewe unakula vumbi maporiniMara ya mwisho ulipokua unavuta uradi na wenzako walikusimulia nipo wapi kwani?
Wewe jamaa,kiingereza haujui kama ambavyo haujui nilipo.Tumia kiswahili angalau unaeleweka.Wewe unakula vumbi maporini
I dare you to prove me otherwise
Then utakuwa umeshinda bato
Haya umeshinda 🤣🤣🤣Wewe jamaa,kiingereza haujui kama ambavyo haujui nilipo.Tumia kiswahili angalau unaeleweka.
You seem reasonable.Upumbavu wa wanajf ni kuleta udini katika mambo ya kweli,wakati mwingine tukubali ukweli maboss
Mzee wetu analeta historia kwa vielelezo makini halafu wanatokea wapumbavu wachache wanaleta porojo zao hapa
Tukubali ukweli waislamu walikuwa mstari wa mbele katika harakati za uhuru period.
Akijibu kwa weledi apewe zawadi ya kifuko cha tende atafune polepole.You seem reasonable.
Mimi sitaki kujua uhuru uliletwa na 'dini' gani, nachojua watanzania weusi ndiyo walipigania uhuru.
Labda Nkuulize wewe, kuclassify hao wapigania uhuru kwa dini zao kunaleta faida gani?? Kwanni mnafanya hivyo?
Umeelewa kwanini nimejibu hivyo,,kuna sababu ya watu wanaclassify ndio nikasema hivyoYou seem reasonable.
Mimi sitaki kujua uhuru uliletwa na 'dini' gani, nachojua watanzania weusi ndiyo walipigania uhuru.
Labda Nkuulize wewe, kuclassify hao wapigania uhuru kwa dini zao kunaleta faida gani?? Kwanni mnafanya hivyo?
Huihui...
Umeghadhibika sana.
Lakini mimi nasomwa na kusikilizwa sana Tanzania na kwingi duniani.
Video zangu zinatizamwa na watu wanafika 30K.+
Angalia hii kwa siku 3 ina 38K:
View: https://youtu.be/FLGgUz7i8mA?si=vK486rw8HeAUlqtC
Ndio maana nawatafuta mbuzi brain kama nyinyi mnaokuwa na narrow minded religious brain na itoshe kusema kama mwanzoni akili yako imejaa tope linalotokana na vumbi unalokula huko maporiniAkijibu kwa weledi apewe zawadi ya kifuko cha tende atafune polepole.
Una changamoto ya akili aisee.Kwani hauwezi kuandika jambo bila matusi?Na kiingereza kinakupiga mitama tu.Tumia kiswahili.Ndio maana nawatafuta mbuzi brain kama nyinyi mnaokuwa na narrow minded religious brain na itoshe kusema kama mwanzoni akili yako imejaa tope linalotokana na vumbi unalokula huko maporini
Turudi kwenye mada
Makao makuu ya ukoloni nchini yalikuwa wapi ?
Na yalipokuwepo, ni idadi gani ya watu wenye imani gani ndio walikuwa wazawa na wingi wa idadi?
Kwa nini nyerere asingebaki huko uzanikini na kutetea uhuru ?
Lakini aliona mikoa ya pwani ndio iliyokuwa na vuguvugu la uhuru ndio akatia timu?
Na bado kwa ulokole mavi wenu mnabisha alikaribishwa wapi na nani na kupewa nyumba ya kuishi
Sio kosa lakoUna changamoto ya akili aisee.Kwani hauwezi kuandika jambo bila matusi?Na kiingereza kinakupiga mitama tu.Tumia kiswahili.
Unajitoa kwenye mada aidha kwa wembamba wa akili yako au umeshindwa kuenenda nayo.Unaelezwa mambo ya maana,wewe unaleta mambo ya mapori yenu,vumbi,mahindi mara kupunjwa ugali.Upo timamu kweli?Hebu hapohapo ulipo lia kidogo uhakikiwe utimamu wako.Sio kosa lako
Kaa hukohuko maporini, usije mijini bila ya debe la mahindi unakofikia ili usilaumu unapunjwa ugali wa mgeni