Though hii hotuba ipo kwa kiingereza but naomba aione magufuli,wasaidizi wake I believe watamtafasiliaHivi tatizo ni nini?
Hatuna waandishi wazuri wa hotuba?
Au viongozi wetu wamepungukiwa kiuwezo?
Hebu angalieni hotuba hii hapa chini jinsi ilivyotulia.
Hata hao wamarekani wanaongea upupu mwingi tu. Hao ndio mabingwa wa uteteaji utoaji mimba, ushoga na ubinyaji wa mawazo wasiyo kubaliana nayo. Kwanza Democrats hawaipendi nchi yao ndio maana wako busy wanaangusha sanamu za waasisi wa nchi yao. Na huyo Obama wenu ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea.Mkuu Americans speak about people,watu,utu,maisha bora ya mtu,Uhuru wa mtu ndiyo priority yake,Huyu magufuli anasema pale singida kuwa uchumi wetu ni zaidi ya kitu chochote including uhai wetu, miundombinu ni bora kuliko watanzania,Kama watanzania tungekuwa watu,tungekuwa na akili .it was a good time to say no to Magufuli.
kiongoziMkuu Americans speak about people,watu,utu,maisha bora ya mtu,Uhuru wa mtu ndiyo priority yake,Huyu magufuli anasema pale singida kuwa uchumi wetu ni zaidi ya kitu chochote including uhai wetu, miundombinu ni bora kuliko watanzania,Kama watanzania tungekuwa watu,tungekuwa na akili .it was a good time to say no to Magufuli.
Sina hakika Kama wanaongea shit Kama za akina magu,kuhusu hayo Mambo mengine uliyoyataja ujinga wako wa kushindwa kuusema ukweli ndo unakufanya uwaone hivyoHata hao wamarekani wanaongea upupu mwingi tu. Hao ndio mabingwa wa uteteaji utoaji mimba, ushoga na ubinyaji wa mawazo wasiyo kubaliana nayo. Kwanza Democrats hawaipendi nchi yao ndio maana wako busy wanaangusha sanamu za waasisi wa nchi yao. Na huyo Obama wenu ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea.
Kwa sababu tunapita walipopita wao maana yake hakuna challenge mpya and so tulipaswa kwenda faster,Ila utopolo wa viongozi wetu ndo umetufanya tuendelee kuwa masikinikiongozi
tukirudi Darasani kidogo
Hotuba anayotoa Raisi wa Ulimwengu wa kwanza ambao watu wake wengi kiuchumi wapo kwenye Self actualization haiwezi fanana kabisa na Rais wa Nchi za Ulimwengu wa tatu ambao watu wake hawawezi hata kulipa ada ya shule ya msingi au pengine kujipatia mlo, hawana maji, barabara , nk
Maisha tunayo pitia sasa wenzetu walipita something like 50yrs ago
Usione magorofa hapa mjini na magari barabarani ukajiona sasa umesha kuwa sawa na wao
Think out of the Box brother !!!!!!!
Kiongozi asiyependa kupingwa mahakamani,kukosolea,au kuwepo kwa Uhuru wa mawazo,kiongozi anayetumia vyombo vyetu vya dola kujinufaisha yeye Ni kiongozi huyu?kiongozi
tukirudi Darasani kidogo
Hotuba anayotoa Raisi wa Ulimwengu wa kwanza ambao watu wake wengi kiuchumi wapo kwenye Self actualization haiwezi fanana kabisa na Rais wa Nchi za Ulimwengu wa tatu ambao watu wake hawawezi hata kulipa ada ya shule ya msingi au pengine kujipatia mlo, hawana maji, barabara , nk
Maisha tunayo pitia sasa wenzetu walipita something like 50yrs ago
Usione magorofa hapa mjini na magari barabarani ukajiona sasa umesha kuwa sawa na wao
Think out of the Box brother !!!!!!!
USIBADILI MADA; tulikuwa tunaongelea tofauti ya Hotuba za Viongozi wa Ulimwengu wa Kwanza na Viongozi wetu wa kiafrikaKiongozi asiyependa kupingwa mahakamani,kukosolea,au kuwepo kwa Uhuru wa mawazo,kiongozi anayetumia vyombo vyetu vya dola kujinufaisha yeye Ni kiongozi huyu?
Huo utofauti unaozunguzia ni kwenye lugha? Flow au content.? Please nifafanulie hilo kwanzaUSIBADILI MADA; tulikuwa tunaongelea tofauti ya Hotuba za Viongozi wa Ulimwengu wa Kwanza na Viongozi wetu wa kiafrika
Ulicho uliza ni mada tofauti hivyo inaweza kujadiliwa tofauti kama utaipost ili watu wachangie
Huwa nawashangaa watanzania wenzetu wanaopeteza muda wao na raslimali za nchi hii kulinda watu wasio na faida kwa nchi hii eti tu kwa kuwa wameupata uongoziNi kweli kabisa. Hotuba nyingi za Obama zinazungumza kuhusu watu na utu na namna ya kuifanya dunia kuwa mahali salama kwa kila mtu.
Na ili kuzungumza hayo lazima uwe na uelewa mpana sana wa jamii na maisha ya watu.
Hii sio kitu rahisi kabisa kwa hawa waswahili wapiga blah blah!
Kuiakisi jamii nzima na kuizungumzia kwa mapana na marefu yake inahitaji mtu mwenye tafakuri na utulivu mkubwa sana wa akili.
Hawa akina magufuli sijui kama wanaweza hilo. Wazee wa mabarakoa!
Mradi tu wamebwatuka basi siku imeisha wanasubiri siku nyingine!
contentHuo utofauti unaozunguzia ni kwenye lugha? Flow au content.? Please nifafanulie hilo kwanza
Ni kweli kabisa. Hotuba nyingi za Obama zinazungumza kuhusu watu na utu na namna ya kuifanya dunia kuwa mahali salama kwa kila mtu.
Na ili kuzungumza hayo lazima uwe na uelewa mpana sana wa jamii na maisha ya watu.
Hii sio kitu rahisi kabisa kwa hawa waswahili wapiga blah blah!
Kuiakisi jamii nzima na kuizungumzia kwa mapana na marefu yake inahitaji mtu mwenye tafakuri na utulivu mkubwa sana wa akili.
Hawa akina magufuli sijui kama wanaweza hilo. Wazee wa mabarakoa!
Mradi tu wamebwatuka basi siku imeisha wanasubiri siku nyingine!
kiongozi
tukirudi Darasani kidogo
Hotuba anayotoa Raisi wa Ulimwengu wa kwanza ambao watu wake wengi kiuchumi wapo kwenye Self actualization haiwezi fanana kabisa na Rais wa Nchi za Ulimwengu wa tatu ambao watu wake hawawezi hata kulipa ada ya shule ya msingi au pengine kujipatia mlo, hawana maji, barabara , nk
Maisha tunayo pitia sasa wenzetu walipita something like 50yrs ago
Usione magorofa hapa mjini na magari barabarani ukajiona sasa umesha kuwa sawa na wao
Think out of the Box brother !!!!!!!
I beg to differ! Maisha tunayopitia sasa wao waliyapitia zaidi ya miaka 100 iliyopita sio 50!kiongozi
tukirudi Darasani kidogo
Hotuba anayotoa Raisi wa Ulimwengu wa kwanza ambao watu wake wengi kiuchumi wapo kwenye Self actualization haiwezi fanana kabisa na Rais wa Nchi za Ulimwengu wa tatu ambao watu wake hawawezi hata kulipa ada ya shule ya msingi au pengine kujipatia mlo, hawana maji, barabara , nk
Maisha tunayo pitia sasa wenzetu walipita something like 50yrs ago
Usione magorofa hapa mjini na magari barabarani ukajiona sasa umesha kuwa sawa na wao
Think out of the Box brother !!!!!!!
Sasa hapo uliposema nabadiri mada hasa hasa ukisikiliza content ya hotuba hiyo ya Obama ulikuwa una maanisha nini?content
Ccm imeasisi siasa chafu,Magu nae kaja na siasa uchwara,so siasa chafu plus siasa uchwara,hiyo mixer unapata utopolo wa kiwango Cha SGR hivyo watu wenye akili hawawezi na wameamua kuachana na siasa na wale wachache walioamua kujitoa muhanga,wako upinzania Ila siasa uchwara zimeerode akili za watu walioko kwenye vyombo vyetu vya serikali ndo maana unakuta mtu ni jaji au ana master degree lakini anaamini mshahara wake analipwa na Magu na si watanzania.Katika mazingira hayo,tegemea kuongozwa na viongozi vilaza hadi tutakaposhikana mashati ili kubadirisha huu upepo..nimeleta hotuba ya John Kennedy ya mwaka 1962 bado unaona kuna tofauti kubwa kati yake na viongozi wetu hata ktk uwasilishaji tu.
..hata hotuba za kiswahili za viongozi wetu hoja wanazozijenga ni ndogo-ndogo mno, na siyo zile zinazoweza kuliinua na kuliunganisha taifa.
..pia ukiangalia uwezo wa viongozi wetu kuitawala lugha ya Kiswahili, na uwezo wa viongozi wa nchi za wenzetu kuzitawala lugha zao za taifa, utaona tofauti kubwa sana.
..ni kweli kwamba nchi za wenzetu wamepiga hatua kubwa kimaendeleo, hivyo hotuba zinazotolewa huko maudhui yake yatakuwa tofauti na maudhui ya hapa nyumbani.
..ninachoangalia ni CONTENT ya hotuba zinazotolewa hapa nchini kwa kiwango chetu cha maisha, nikilinganisha CONTENT ya hotuba za viongozi wa nchi za wenzetu na viwango vyao vya maisha.
H.E President John Pombe Magufuli speech 2017
Miongoni mwa hotuba boraaa kabisa kutoka kwa Dr. Jakaya.